Wawili wakamatwa mkoani manyara wakiwa na pesa za kitanzania na simu 27

Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,989
7,098
Jeshi la polisi mkoani manyara linawashikilia watu wawili, mohamed said na diana lozi wakazi wa dsm kwa tuhuma za kukutwa na fedha taslimu za kitanzania wakihiswa ni za wizi na simu za mkononi 27 , katika nyumba ya kulala wageni mjini babati. Mwenye taarifa kamili tunaomba msaada.
 
Ungetafuta taarifa kamili uitoe kwa ukamilifu. Umewahi huku bado unataka watu wajaze nyama skeleton yako
 
Humu tuko watu tofauti wa maeneo tofauti kujazia nyama ni kawaida kwenye thread . Hii ni jamii actually, i may know the shell wengine wakajazia chchte zaidi inakua taarifa iliyokamilika tu. Kama hamna zaidi watu wanachofahamu
 
Back
Top Bottom