Wsalaam wana JF
Hawa wasomi, wabobezi, wanaotumainiwa kuwa ni kielezo cha kuelimika na kusimamia yale waliyobobea wanakua ni laughingstock.
Of cause adui wa kwanza ni njaa, na hii sometimes ni individual case, a case to case basis. Ila inapokua systematic, yaan the whole bunch of population...