pesa

  1. JamiiForums Tanzania Ila waislamu nchini wana pesa ndefu

    Fikiria tu hii kashfa mpya wanakwapua shilingi 600 kwa kila lita ya mafuta. Piga hiyo mahesabu kila lita ya mafuta nchini sh 600 na haiendi hazina. Na hizo hela zinahifadhiwa kwenye account za kiislamu ambazo riba ni haramu. Ndio maana kobaz wanaongoza kwa utajiri nchini. Al-mukheef Jagina...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu ni kwamba pesa mtaani hamna au?

    Salaam. Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama wakati huu tangu nianze hii biashara,yaani pesa hakuna mteja anakuja analia vibaya sana. Wazee ni kwangu...
  3. JamiiForums Tanzania Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

    Wazeee twende speed muda wa salamu hamna tutasalimiana kwenye comment.. Asee Biashara ni nzuri sana kama ukiwa umetuliza akili ukajua unaingia kufanya biashara gani na biashara ya nini... Kuna mambo mawili naomba nirudie 1.Kufanya Biashara 2.Kujua naenda Kufanya biashara ya Kuuza nini Watu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshwaji wa pesa ya kujikimu halmashauri ya Nyang’hwale

    Mnamo tarehe 4 Juni 2026, Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitoa barua iliyoonesha kiasi cha fedha zilizotolewa kwa ajili ya malipo ya posho za kujikimu na nauli kwa watumishi wapya wa afya walioajiriwa kati ya Januari 2025 na Aprili 2026. Katika barua hiyo, Wakurugenzi wa Halmashauri walitakiwa...
  5. JamiiForums Tanzania SERIKALI KUU YA STRUGLE KULIPA WAZABUNI PESA HAITOSHI YAHAHA ISHIKE LIPI

    Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao...
  6. JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi sana yasiyo na majibu ,nisaidieni

    Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi. 1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa kuwapiga waandamanaji ili kuchafua sura ya nchi yetu na mtu huyu amekamatwa na ametoa siri nyingi...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini now days hauwezi kuokota pesa kama zamani

    Mifaano batiri, uwezi okota pesa Kwa miaka yetu hii, nasababu sa7 za kuerezea, mwaka 1760 BARTER: ilikuwa Biashara ya mabadilishano example unang'ombe lakini unahitaji mahindi mnakubaliana mnabadilishana, (2) mwaka 1860 GOLD: wakagundua dhahabu wakawa wanaieyusha Na kutengeneza mapambo mbali...
  8. JamiiForums Tanzania Usikubali kulipwa uandamane ,kuna watu wamepanga kupiga waandamanaji na pesa haiwezi kurejesha uhai.

    Waziri Mkuu amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Juni 27, 2026, wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wilayani Ikungi...
  9. JamiiForums Tanzania Wenzetu mliotumia pesa za kujikimu (BOOM) la chuo mkatoboa mmefanyaje huenda wadogo zenu wakasaidika

    Kwangu mimi niliweza ku-save lakini sio kiasi kikubwa sana hadi namaliza chuo ni kama naanza upya Sasa nimekutana na mdada katika story mbili tatu ananiambia pesa ya Boom ndio iliyomfikisha hapo, kiukweli na biashara anayofanya na zile pesa za kila baada ya miezi miwili ni mbingu na ardhi...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiacha pesa, ni kitu gani kingine kikubwa ulichowahi kupoteza ukapunguza kubeti?

    Wawekezaji wenzangu mko poa? Ilikuwa usiku wa fainali ya UEFA mwaka 2026, nilipoweka dau la mshahara wangu wote wa mwezi nikiwa na uhakika wa kushinda mamilioni. Baada ya filimbi ya mwisho na timu yangu kufungwa, nilibaki nimepoza macho nikiiangalia simu, huku nikijua sina hata senti ya...
  11. JamiiForums Tanzania Huu ni Ushuhuda wangu wa Kweli kuhusu pesa

    Katika Dunia hii ambayo wote tumezaliwa tumekuja hatuna hata soksi, kila kitu tumekikuta basi tambua kuwa hakuna kitu HAKIWEZEKANI. Mitandao hii hii ambayo tunatumia kila siku. Kuna watu ndiyo inawaendeshea maisha. Kuna watu wamejenga, wamenunua magari, kuna ambao hawataki kuajiriwa. Iko Hivi...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna pesa rahisi wakuu

    Wakuu habari Zenu Dah wimbi kubwa la vijana tumekuwa tunapenda matokeo ya haraka sanaaa yaan boom baah 💥 Manoti hayooo Hii kitu inapelekea baadhi ya vijana 😂 kutumia fursa hii ya vijana tupendao matokeo overnight kupiga pesa Wanafungua platform wanaipromote mitandaon kwamba ukijiunga...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pesa haimpi kiburi Mwanamke bali humpa uwezo wa kutovumilia ujinga

    Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii. Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na...
  14. JamiiForums Tanzania Tafuta pesa Kwa nguvu, dunia ni katili Kwa maskini

    Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way unavyotegemewa kwenye maamuzi yatakayohitaji pesa ......... Mambo Yale ya mwanaume busara hayapo kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Sikupi pesa ila nakupa mchongo, amua wewe

    Siku chache zilizopita niliwapa stori ya rafiki yangu wa kijani ambaye amenisaidia kuona upande mwingine wa dunia ya freelancing. Wengi mliuliza: "Huyo rafiki ni nani?" Leo nimeamua kumleta rasmi. Jina lake ni FIVERR. Usichanganyikiwe na kizungu, ngoja nikuelezee kwa lugha rahisi. Fikiria una...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Anne Kilango: Serikali ina Pesa, Madiwani waongezewe Posho

    Mbunge wa Jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akichangia Bajetia Kuu ya Serikali 2026/2027 Bungeni leo Juni 2026, ameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuboresha maslahi na posho za madiwani nchini. "Nimwombe Rais Samia kwa unyenyekevu, kwa hali ilivyo sasa, ni vyema serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Wasouth Kuwafurusha Wageni kimetoa funzo kwamba Nguo ya kuazima Haisitiri matako. Tafuta pesa ugenini wekeza nyumbani

    Kitendo Cha Wasouth Kuwafurusha Wageni kimetoa funzo kwamba Nguo ya kuazima Haisitiri matako. Tafuta pesa ugenini wekeza nyumbani My Take Unaweka mayai yote kwenye kapu Moja la kuazima unategemea nini? Hata hizi chokochoko za Muungano Kuna siku kitakuja kuwalamba.
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni Kazi ili nipate pesa. Sichagui kazi

    Ndugu zang mm ni mtu wa kazi kazi ilimradi pesa,,,,napenda kuwaomba ndugu zang wana JF kama kuna kazi yyte ya kibarua mimi nipo tayari kuifanya,,,,au Kama kuna connectio au mchongo wa kuingiza pesa mm nipo..namb zang no 0634362673
  19. JamiiForums Tanzania Kama Dhambi zako hazikuingizii Fedha achana na hizo Dhambi.

    Matendo yanayoonekana kama Dhambi lakini yanaingiza Pesa nyingi. Katika jamii yetu na jamii za kidini, kuna mielekeo ambayo inasifika kuwa ni "dhambi" lakini kwa kweli inaingiza pesa nyingi. Uelimishaji huu ni muhimu ili watu wajue ya kwamba si matendo yote yanayoonekana kuwa si safi kidini...
  20. JamiiForums Tanzania Aisee yani tulikopa mpaka nchi ya IRAQ na tuna daiwa pesa

    Hii nchi hipo siku tutasikia somalia tulienda kukopa pesa. Hapa nacho kiona tuna subiri majini nao waje kuleta shutuma zao nao walikopwa na huyu mama pesa. Hivi tumefikia steji mbaya sana na pesa zote zimefanya nini ?.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…