Pesa za moto

Pesa za moto

hivi mlivyo wajinga mnafikiri kwamba ulaya hakuna wapiga dili

wanakwambia kila kwenye dili kubwa kuna white folk waiting for his cut
 
Majuu kuna kitu kinaitwa financial tracking. Ukipata pesa ya ghafla tu, benki wana-freeze account yako mpaka utoe proof of funds. Bongo mianya ya kukwepa kodi na mifumo dhaifu ndio inayolea hizo dirty money unazoziita za moto.
Hii ni kwa sisi tu akina kajamba nani awe wa ulaya au wa wapi. Ila kuna makonnki yanapitisha hela zao kama kawaida na hakuna wa kusema thuu!
 
Hahaha soga kama hizi ndio zinafanya jukwaa liwe changamfu na lenye mafunzo kwa wengine wanaosoma.
Ni sawa lakini akili kubwa sana inatumika siyo uchawi mzee, sasa hivi the game has changed, hata hao makonnki unawaona wanavyofanywa vibaya?

Angalia mastaa wakubwa kama Diddy yuko lupango, na mabilionea wa crypto kama Sam Bankman-Fried na CZ wa Binance wote wameonyeshwa cha mtema kuni.
 
Back
Top Bottom