Rais Samia atoke hadharani aseme hizo pesa za goli la mama zinatoka mfukoni mwake au ni Kodi ya raia maskini

Riskytaker

Member
Mar 14, 2024
90
453
Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko.

Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao

Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan.

Hakuna kuendekekeza visivyo na faida nchi kama china Japan na south Korea ,zimeendelea kwa kuach upuuzi na kudeal na mambo yenye tija
 
Pesa ambazo raisi anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko.

Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao

Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan.

Hakuna kuendekekeza visivyo na faida nchi kama china Japan na south Korea ,zimeendelea kwa kuach upuuzi na kudeal na mambo yenye tija
anatafuta cheap popularity...na pesa anachota hazina.
Anajua watanzania wana ugonjwa wa football, sasa anatafuta uungwaji mkono kwa kugawa fedha .....ndiyo maana akina Bashiru and Co. Ltd walitaka kupindia katiba as per CDFs inrterview...... (ingawa walitaka kufanya hivyo for their own good)
 
jinga tu kama liendazake tu ndiomaana watu wenye akili tangu zamani hawakukubali kuongozwa na wanawake maana wanawajua kuwa hawana akili upeo wao uko jikoni , kuzaa na kujiremba full stop.
 
Mambo yenye tija yatashughulikiwa na kina Madelu?

Hivi, hata ile ya kuongea ongea tu, umeshawahi sikia tena habari ya UHAKIKI WA MALI zao?
- Mwamba alikuwa mbioni kuanzisha Life style vetting

Wengi wangekimbia nchi, mtu basic salary 1.2m, work experience 4yrs, age 28, life style sasa;
  • Gari X3 moja, Forester 1 na IST, zote ziko road daily
  • Watoto 2 wapo english media schools
  • Nyumba 3 za 120m kila moja
  • Viwanja vya starehe, ndo analetewa vinywaji kwa kuwashiwa vitaa kila weekend.

Anakwambia anazo side hustle, nini, eti liquor store, mini supermarket, uber taxi etc.

Sasa, kama huyo anaishi hivyo, unajiuliza kuhusu mtu anayevaa saa ya mkononi ya gharama ya 118m?
 
Wanaweza kukuambia ni Mapato kutoka kodi ya makampuni ya betting. Au maingizo ya ndani ya wizara ya michezo
 
Kipi bora , achote pesa kwenye hazina na kuzigawa kama motisha ,au achote pesa na kutumbua kimya kimya bila wewe kujua?
 
Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko.

Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao

Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan.

Hakuna kuendekekeza visivyo na faida nchi kama china Japan na south Korea ,zimeendelea kwa kuach upuuzi na kudeal na mambo yenye tija
anatoa mfukoni mwake,rais analipwa pesa nyingi sana,kama sikosei si chini ya milioni 100,acha posho za safari,meal allowance n.k....na anajua kabisa simba au yanga ata zikishinda mechi zao{kabahati} hawawezi kushinda zaidi ya mabao wawili,,,,na kimkakati,,hapo anatamani mnyama asishinde ingawa anajua mnyama lazima ashinde,,,,lakini lengo lake hasa ni kuamsha ari ya UTOPOLO ili aishinde MAMELODI [ingawa anajua haiwezekani]..so ametangaza hiyo offer huku roho yake ikiuma,kwani anajua 'PESA INAENDA KWA MNYAMA MKALI,MLA NYAMA PORI}...
 
Uko sahihi, kwa Africa bado sana. Huyu ndiye kawaangusha moja kwa moja. Total failure!
jinga tu kama liendazake tu ndiomaana watu wenye akili tangu zamani hawakukubali kuongozwa na wanawake maana wanawajua kuwa hawana akili upeo wao uko jikoni , kuzaa na kujiremba full stop.
 
Back
Top Bottom