Heshima yenu wakuu ,
Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka ..Basi na pesa ya nauli ya likizo hawalipi tena .
Kulingana na mwongozo wa serikali ni lazima...
Anonymous
Thread
likizo
pesa
serikali
taasisi
taasisi za serikali
tena
wake
watumishi
Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa.
Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.
Wakuu
Mtia nia wa ubunge kupitia CCM Hussein Gonge akiomba kura kwa wajumbe ameahidi kuifuta mikopo ya kausha damu huku akieleza kuwa anfahamu mahali atakapotoa fedha zisizokuwa na riba.
Kuna TAPELI huwa anakuja kwa sura ya kutoa msaada au huduma mwisho wa siku ni maumivu na kurudi nyuma
Kuna WAZAZI mara nyingi wazazi wa ki Africa wanataka watoto waishi kwenye mawazo Yao na kusahau kua alie zaliwa ana mawazo yake na falsafa yake
MARAFIKI the way ulivyo mzoesha rafiki ndivyo...
Imeandaliwa na Smart Finance SW
Siku hizi, watu wengi wanapenda kusikia kuhusu habari za passive income. Wanavutiwa na njia za kutengeneza pesa kupitia mfumo huu. Kama hujui passive income ni nini, nitaeleza kwa ufupi lakini unaweza pia kufanya utafiti wako binafsi.
Passive income ni kipato...
Mtoto wa Jumanne Maghembe,amekusanya wamama masikini wenye kadi za CCM Wana anawapa 50,000 Kila mmoja hapa Kijiji Cha mgagao kilichopo wilaya ya mwanga !! Anapata wapi fungus fungus kubwa hivyo!?
https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h
Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn
Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani — hata kwa kutumia simu yako tu.
Watu wengi Tanzania wanapata maelfu hadi mamilioni kila mwezi kupitia simu...
Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
Mkoa wa Arusha umepokea TZS3.5Trilioni pesa ambayo ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi ambayo haizidi TZS5Trilioni.
Rais Samia ametoa kiasi cha fedha cha TZS3.5Trilioni ambazo hata hivyo zilitumika ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye sekta mbalimbali kama...
Kuhusu wale wanaofahamu utapeli wa mtandaoni.
Mtu akikutumia text msg "Umepokea sh. Million saba kutoka kwa Biko" Piga namba hii ili uchukue hizo hela,
Hii ina maana gani. Ukipiga hiyo namba hawapokei. What is the racket?
Wanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu.
Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi?
Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi?
Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?
Nimeshaapa haiwezekani nife kabla sijamiliki hata kandege kadogo kama haka wakuu.
Hivi kwa mahesabu ya harakaharaka kanaweza kuwa sh ngapi kandege kadogo kama hako hapo chini wakuu?
Si kwa ubaya, ila sisi wahindi especially wa jamii ya ponjoro, tunajulikana zaidi kwa kuchezesha kamari, kutumikiaha watu kwa ujira kidogo na kulalamika tunapata hasara.
Hiyo ni jadi yetu na hakuna wa kutubadilisha.
#SijamtajaMtu.
Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa .
Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital...
Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa kwa moyo wote?