pesa

  1. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania Naweza Vipi Ku-deal na Mwanamke Mwenye Kiburi cha Pesa na Tabia ya Ubinafsi?

    Wadau naomba ushauri wenu. Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo. Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza: Je...
  2. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya pesa na furaha?

    Kipi bora kati ya pesa na furaha?
  3. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hapa mjini pesa ipo sana

    Cha msingi ujue namna ya kua anonymous (Don't blame anyone to be addicted for something) Uzi tayari 🧵 🍺 🍻
  5. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa mahari Millioni 18. Sina Pesa hiyo na nataka kuoa, nifanyeje?

    ‎Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta. Back to the topic, Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu. Nina binti niliingia...
  6. Asantehene

    JamiiForums Tanzania Safaricom wanajali faragha kwa kuficha namba za anayetuma pesa

    Wakuu, Nimeona kampuni ya Safaricom wamekuja na mfumo mpya wa kuficha baadhi ya tarakimu kwenye namba za mtu anayetuma pesa, nadhani ni wazo zuri sana. Mfano, ukituma pesa, mpokeaji ataona namba kama 0754****00. Ikitokea ukitaka kujua namba nzima, wewe mpokeaji utalazimika kufoward huo muamala...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuchangisha pesa Wafanyabiashara kila kunapokuwa na ugeni wa kitaifa (siasa) katika Mkoa

    Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo, ni kama unafanya biashara kwa hisani, wakati kodi unalipia na fee zote unalipia. Sasa kwanini...
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Msitoe pesa CRDB ATM ya Royal Dodoma. Ni wezi

    Wakuu hawa wanaiba pesa na hutapata notification kwa sms. ATM za CRDB zimejaa wezi Msizitumie. Ukiweka ATM card ile ya kuscan. Ukitoa tu, Wanadetails zako zote. Hiyo ATM ya hapo Royal imejaa wezi watupu. Wanaiba na hawana aibu.
  9. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusimamia wasanii ni biashara kichaa usithubutu kuwekeza pesa zako huko

    Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki . Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager. Manager kiuhalisia inabidi yeye ndiye awe analipwa na msanii ili amsimamie kazi zake lakini kibongo bongo ni tofauti. Kibongo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbulu DC kuna kikundi kinatumia STAHIKI ZA WATUMISHI! Mamlaka chunguzeni

    Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi hatulipwi pesa ya mda wa ziada. Kuna miezi walisema pesa zimechukuliwa zinaenda kulipa mwenge, mwezi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Pesa za Kujikimu Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

    Habari wadau, Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa Tamisemi Sumbawanga municipal council. Watu wanalalamika hawalipwi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wale tunaopenda mambo ya geo politics, vita, siasa za kimataifa tuanze kuweka mizigo tunufaike na pesa, tusiishie kulumbana tu humu

    Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tume mgogoro Ngorongoro: Serikali isitishe ujenzi wa Nyumba kwa ajili ya Wananchi wanaohamia Msomela, Kitwai (B) na Saunyi badala yake wapewe pesa

    Mapendekezo ya Tume ya Rais iliyofanya tathimini kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro Eng. Musa Iyombe amesema uamuzi wa Serikali kujenga nyumba kwa wakati huo ulikuwa sahihi hata hivyo imebainika kuwa utekelezaji wake ulikuwa na dosari zinazohitaji kufanyiwa kazi. Tume...
  14. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Pesa haitaki shida, inataka watu wenye suluhisho

    PESA HAITAKI WATU WENYE SHIDA, INATAKA WATU WENYE SULUHISHO. Pesa ina njia zake. Ina tabia ya kupita mbali na mtu anayelalamika, anayetafuta msaada kila wakati, au anayeomba omba na kulialia shida kila mara. Lakini ina tabia ya kumtembelea kwa ukaribu mtu anayetoa thamani, anayeleta...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mikeka, uliwahi kushinda kiasi gani kikubwa cha pesa?

    Mimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo, Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M, nikaibetia yote ikapigwa... Lengo langu lilikua ni kufikisha 1B na ilibaki mara moja tu. Kilichonisaidia...
  16. Bhizabhityo BB

    JamiiForums Tanzania Pesa mfukoni ≠ faida: Biashara ni zile zile, kwanini Watu hawadumu?

    Wajasiriamali wengi hapa Tanzania wanashindwa kudumu kwa muda mrefu hapa nchini kwa sababu mbalimbali. Kodi kubwa ya pango, madeni, kodi za TRA na Halmashauri n.k Lakini bahati mbaya wengi wao hawajatambua kwamba wanafanya maamuzi ya kimkakati wakitumia takwimu zisizo sahihi kama dira yao ya...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kununua ardhi halafu huna pesa ya kujenga ni ujinga, Bora hiyo hela ufanyie biashara

    Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa vijana wenye Elimu Ndogo Pesa Nyingi Tanzania ni mkubwa sana; wanaongea ujinga na kuweka mbele kujionyesha na kujisifia mafanikio yao

    Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Big Yes or Big No

    Kwenye video hii kuna mwanamke anayewapatia ushauri watoto wa kike. Baadhi ya wanawake wamemuunga mkono sana huku wanaume wakionesha kuwa ameongea tope. Ukitazama ushauri wake ni sawa na kusema “When You Get a New Girlfriend, Tell Her You will be Fired from Job in Two Months Away and See What...
  20. haszu

    JamiiForums Tanzania Ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala?

    Habari za Dominica, Wanasema usipoweza kuingiza pesa ukiwa umelala, utafanya kazi maisha yako yote, sasa naomba kujua ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala? Natanguliza shukran.
Back
Top Bottom