Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

verify

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2024
Posts
1,306
Reaction score
3,119
Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa kwa moyo wote?
 
Kuajiriwa sio gereza kusema una shinda humo siku nzima, no one is busy we just differ in priorities.

uki toka kazini saa 8 au 10 jaribu kupanga hustle zako nyingine, kasome na jifunze kuhusu leverage.
Nimekuelewa lakini ni ngumu, yani utoke kazini saa kumi uingie mtaani kufanya kazi utafute pesa? Unapumzika saa ngapi kujiandaa na kesho job? Ukisema ufungue biashara umuweke mtu ndio unakula za uso kwasababu naamini biashara inakuhitaji wewe mwenyewe mda mwingi.
 
Narudia no one is busy we just differ in priorities, kitu kikiwa muhimu kwangu naki fanya hata kama the odds are against me.

saa 10 mbona bado mapema mkuu?, kuna kipindi nilikuwa nina session 4 za mishe zangu.

Saa 11 asubui hadi saa 3, saa 3 hadi saa 8, 8 - saa 12 , saa 12 -4.

Bado Nilikuwa active jf, hadi trudie ali wahi uliza nalala Saa ngapi 🤣 😂.

Kuibiwa haku epukiki, ina tegemea na muhusika Ume jipanga vipi.
 
Narudia no one is busy we just differ in priorities, kitu kikiwa muhimu kwangu naki fanya hata kama the odds are against me.

saa 10 mbona badi mapema mkuu?, kuna kipindi nilikuwa nina session 4 za mishe zangu.

Saa 11 asubui hadi saa 3, saa 3 hadi saa 8, 8 - saa 12 , saa 12 -4.

Bado Nilikuwa active jf, hadi trudie ali wahi uliza nalala Saa ngapi 🤣 😂.

Kuibiwa haku epukiki, ina tegemea na muhusika Ume jipanga vipi.
Nakubali mkuu.
 
Back
Top Bottom