pesa

  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO Kutokulipwa pesa za kujikimu zaidi ya miezi 10 sasa Halmashauri ya manispaa ya Geita

    Ni zaidi ya miezi 10 sasa tangu tuajiriwe katik halmashauri ya manispaa ya geita. Kila tukiuliza wanasema hela hazijatolewa kutoka serikali kuu. Muda mwengine tukiuliza wanatujibu kikejeli sana kwamba "kwani mshahara si mnapata?, kama mnashida na hela mkakope si vigezo mnavyo" Hii ni kuonesha...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Vikampuni vya mikopo online ni vikundi vya kausha damu, hivi Benki kuu imevisajili kweli? Mbona Zuri pesa wanatukana hivi?

    Aise, kwema wadauh? Leo nimecheka sana mwanangu mmoja alikopa elfu 40,000 wakampa 24,000/= badala ya 40,000 aise nilishangaa jamaa akala kiapo cha kutokulipa deni hilo, sasa hizo simu kutoka kwa zuri pesa ni balaa. Jamaa akaamua kuwatandika block la maana weee! UJUMBE uliofatia hapo ni balaa...
  3. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ukijitoa out huwa unatumia kiasi gani cha pesa?

    Ukijitoa out huwa unatumia kiasi gani cha pesa?
  4. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli wanawake wanapenda pesa au ni uongo unaoenezwa na watu wasio na pesa?

    Wakuu naomba nielewe kidogo bila kubishana 😅 Je ni kweli wanawake wengi wanapenda pesa, au ni kauli tu ya watu waliopitia experience tofauti na wale wanaotafuta excuses na faraja ya umasikini wao Nauliza kwa ajili ya kuelewa mtazamo wa watu 🙏 NACHANGANYIKIWA MIMI Funny boe
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Iingize Pesa za Kujenga Kiwanda Cha kusafisha Mafuta Kwa Kushirikiana na Dangote Kenya na Uganda Zinaona Italeta Ushindani Kwa Mafuta Yao.

    Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta. Kwa...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KSh 200 imeleta majonzi! Mzee (100) akufa kwa stampede, siasa za pesa zawekwa kwa spotlight

    Wasee hii story imechafua timelines mbaya sana Video inayosambaa online inaonyesha fujo na msukumo mkubwa kwa rally ya huko Kisii. Ndani ya hiyo chaos, mzee wa miaka 100, Ombui Orandi, alianguka aka-trampled—akapoteza maisha… all this ikisemekana ilikuwa kwa rush ya pesa kidogo Wakati hii...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Tanapa Nyanda za juu kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji

    Habari iliyopo mezani Tanapa mikoa ya kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu mpya za kuhifadhi pesa za vikundi naona vm-koba kazi inataka kuwashinda

    Dalili ya Mvua ni Mawingu ndungu zangu, Hawa Mkoba online naona kama kazi inataka kuwashinda! Naomba tupeane Mbinu mpya ya kuhifadhi pesa za vikundi ambapo unaweza kuhifadhi kirahisi na kuipata kwa haraka muda wowote 24/7
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Pesa haileti mafanikio ila pesa inamfata aliyefanikiwa

    Habari Karibu tufungue ubongo . Kwanza nikueleze pesa haiendi kwa mtu asiye na potential cha kwanza uwe mtatua matatizo fulani basi pesa ndio itakufata
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Selcom inatukata pesa nyingi kama 'penalty' kila unapokosea muamala

    Kero yangu ni selcom penalty, Selcom ulikuja kama mtandao (mobile wallet) mbadala kutokana na kuwa na makato madogo. Ila kwa sasa hali imebadilika umekua ni mtandao wa kukata watu hovyo ukifanya muamala imepelea hata shilingi moja pengine kwa kujua au kutokujua hawatumi meseji kuwa salio...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga Watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga , watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu, pesa za Kupanda kwa madaraja, pesa za Uhamisho tusaidie...
  12. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Kama una nyota ya ng'e tamka maneno haya kuvutia pesa kwako

    Watu wenye nyota ya ng'e ni watu wote waliozaliwa kati ya tarehe 23 oktoba mpaka tarehe 21 Novemba Kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lako hasa linalohusu uchumi na kuvutia pesa kwako jizoeshe kujitamkia maneno yafuatayo mara kwa mara, sema : 1. Ninapokea na ninaikubali hela yoyote au zawadi...
  13. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

    Ndoa si Biashara: Kujibu Hoja za Wanaokimbia Ndoa kwa Hofu ya Kiuchumi Katika miaka ya hivi karibuni, kumezuka Wimbi jipya la wanaume wanaopania kukaa mbali na ndoa. Hoja yao kuu? "Wanawake wanatumia ndoa kama mradi wa kujitajirisha." Ingawa ni kweli kuwa kuna visa vya watu kutumia vibaya mfumo...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Pesa halafu Hendisamu kuna vitu huwezi fanya kwa mwanamke

    Huwezi hangaikia mwanamke. Kumfukuzia au yeye akuzungushe. Na ukiwa naye huhitaji kumfanya mpaka amalize. Ukimaliza wewe mwenye uhitaji inatosha. Sisi wenye pesa na mvuto mwanamke anamaliza kwa wakati. Mi nawaza issues za maana nikazane masaa mawili ili akojoe? No way. Siwezi. Nina pesa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi kwenye starehe?

    Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi Kwenye maisha kuna mambo mengi sana, kuna wakati mtu unaamua kujipa kafuraha unatumia pesa, ukistuka kibinda kimeenda kikubwa kiasi unataka kuumia roho ila unatafuta kamsemo ka kujifariji...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini unavumilika ukiwa unajitegemea, hakuna umasikini mbaya kama unapokuwa na familia inayokutegemea halafu huna pesa

    Fikiria mtoto wako, damu yako ameptwa na tatizo la kiafya. Matibabu yake ni shilingi laki 8, lakini huna pesa. Unashuhudia kila pumzi yake ikijaa uchungu, bila kuwa na uwezo wa kumsaidia, ni huzuni ambayo inavunja moyo kwa kiwango kisichoweza kuelezeka. Fikiria familia yako, wakiketi mezani...
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutafuta pesa kwa jasho na damu

    Linapokuja suala la pesa unatakiwa uweke mambo mengine pembeni, HURUMA,DINI,HOFU leo nmemfunza kitu huyu bodaboda. Nilikua nataka nyama ya nguruwe kwa ajili ya kulia na pilau ya pasaka, nikamcall bodaboda akanifuatie nyama akadai yeye muislamu habebi kitimoto, nikamwambia sawa. Alivyokata...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Jamaa Kila akifunga shop anaweka PESA bank na kuxitoa KWENYE ATM siku hiyo hiyo

    Nilivyomuuliza huoni unapoteza fedha nyingi Kwa MAKATO akasema lengo lake ni kuchukua noti mpya akatunze home. Ilikuwa kicheko na masikitiko. Basi namkumbuka Rafaeli, Tukalewa Tukalewa tukalewaaaa..... Mbege ya kibosho
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Mkinga -Tanga hatujapewa Pesa ya Kujikimu

    Sisi Waalimu wa Halmashauri ya Mkinga -Tanga, Tumekua Tukiahidiwa Pesa ya Kujikimu kuwa tutapewa lakini mpka Sasa pesa hiyo imekua ni danadana, Halmashauri wamekua na maneno Matamu ya KESHO , KESHO na ukizingatia Tunafanya kazi katika mazingira magumu Sana, Awali tuliambiwa Tusaini fomu , fomu...
  20. Paul Da Ud

    JamiiForums Tanzania Kwanini fikra zetu kuhusu pesa ni hasi?

    Kama ilivyo picha ya huyo mwanamke hapo juu, ndo zilivyo fikra za watu wengi linapokuja swala zima la kuwa tajiri. Ukisikia neno tajiri nini kinakuja kichwani kwako haraka? Kila Muda neno tajiri linapotajwa watu hufikiria kuhusu mtu mwenye mavazi ya kisasa, anaye miliki saa ya milioni kadhaa...
Back
Top Bottom