pesa

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania CRDB mnapata wapi kiburi hiki? Hebu tupeni pesa zetu wakulima wa Kyerwa tupeleke watoto shule

    CRDB hii bank imejaa uozo mwingi, Leo sitasema yote Wakulima wa Kyerwa huwa tunalipa na Chama cha ushirika (KDCU) kupitia benki ya CRDB, tuliuza kahawa katika mnada tarehe 30 na pesa ikawekwa kwenye account zetu CRDB, Ajabu tukifika benk wafanyakazi wanasema mtandao hamna tusubiri mtandao...
  2. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Mtu mweusi akikamata pesa ndefu anakuwa limbukeni

    Watafiti wanadai hii inatokana na mazingira duni "darkie" anapitia. Nigger anasavaivu shida na dhiki anavyokua. Na akizikamata anatafuta attention kwa fujo, dhihaka na madharau.
  3. Stability

    JamiiForums Tanzania Mwamba kajichanga pesa za uganga, huyooo! Sasa hivi kanunua basi. MGANGA HAJIGANGI KWELI??🤣

  4. W

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Upendo na tabia ya mwanaume utaijua akipata pesa?

    Baada ya kumsikiliza huyu jamaa nimeelewa vitu vingi sana. Mwenye bebi wake aje kumchukua huku
  5. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Pesa, Uhuru, Muda, Furaha, na Maana ya Maisha Ndio Utajiri wa Kweli.

    Je, unakubaliana naye?
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kagua salio lako CRDB, kuna pesa hazionekani kwenye akaunti

    Zaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB. Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea. Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…
  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi ili upate hela ushafeli maisha

    Mo-Dewji alishawahi kuulizwa hili swali, "Mpaka sasa wewe ni billionea, is it worth it" akajibu "hapana, nlifanya kazi kwa bidii sana nkapoteza muda wa kua katika ukuaji wa familia yangu hivo ningeweza kurudi nyuma nisingefanya haya tena" nmesahau ilikua ni kituo gan but hivi ndo alijibu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Za ndani: Inadaiwa baadhi ya wasanii wanatumika kutakatisha pesa za kifisadi

    Wanajamvini Poleni sana, imenibidi ninunue VPN nzuri ambayo nalipia 81,000 Kwa mwaka. Sasa Enyi ndugu zangu , tunajua na tunaona kabisa kipato Cha wa wasanii wengi ni Cha kati au ulala hoi, kulingana na soko la mziki la Tanzania, nimekuja kuambiwa kumbe gape kubwa la utajiri baina ya wasanii...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maisha kwenye miradi inayohusu ufadhili wa pesa za wahisani

    Habari zenu Wana Jambi Kwa miaka kadhaa nimefanya kazi kwenye eneo la miradi hasa inayohusu maswala ya ukimwi! Nikapata uzoefu kwenye maeneo kadhaa Kwanza mara nyingi ni maisha ambayo most of the time mpo under pressure mnakimbizana na performance vikao daily simu kila wakati maBoss wanataka...
  10. R

    JamiiForums Tanzania An imaginary terrible situation: CRDB nimekutana na mtu analia ameshindwa kutoa pesa kufanya dialysis

    Msirudie kosa hili! Kungelikuwa Western world , huyu mgonjwa mngemlipa fidia magunia ya hela! Mngeliweka alternative service to at least save "lives"
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu: Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo fees na Hela ya ada.sasa siku moja huyo mdingi kamwekea dogo Hela ya ada kama kawa na baadae dingi...
  12. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa uheshimike

    Mwanaume ukiwa na pesa hata kama ni Mzee utakula chochote unachohitaji Mwanaume ukiona unalazimika kujieleza sana na hata unapojieleza unaonekana kituko tu au unaonekana unaleta fujo kwenye kikao cha familia/ukoo na hata unapojieleza wala hueleweki ujue bado uko mbali sana na pesa. Wenye...
  13. Diwani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna pesa inabadilisha vijana kwenye mahusiano.

    Hapa nazungumzia sana vijana ambao wanajitafuta kwa wakati huu; mara nyingi jamii inawapa msukumo wa kutafuta hela na inawathibitishia kwamba bila kuwa na pesa wao si kitu na hawana nafasi ya kimaamuzi au ushawishi wowote kwenye jamii na hata kwenye mahusiano. Vijana (ME) kwa sababu ya fikra...
  14. P J O

    JamiiForums Tanzania Pesa ya msaada wa El nino ilienda wapi?

    Kwa miaka mitatu sasa maeneo ya Vigunguti ukiwa unatoka Tabata Barakuda unavuka kwenda Upande wa pili wa mto msimbazi kumekua na magari yanachukua mchanga wa mtoni wanasafirisha. Magari ni Makubwa na kutokana na hili mto msimbazi umekua ukitanuka na wakati wa mvua kumesababisha mafuriko Makubwa...
  15. P J O

    JamiiForums Tanzania NI LINI SERIKALI ITAWAJIBIKA KWA KUHARIBU PESA YA MIRADI?

    Kuna Miradi mkubwa Magufuli aliacha na Mingine ya awamu ya sita haijazinduliwa mpaka Leo. Ucheleweshwaji wa uzinduzi au kufunguliwa wa miradi hii hupoteza mabilioni ya mapato ya pesa kodi na fursa za kiuchumi Kwa watanzania. Mfano: Masoko Makubwa yalikua yamepangwa kufunguliwa kama la...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Tokea Fred Vunjabei aweke Jezi mpya za Yanga zilidoda ila tangia aweke Jezi mpya za Simba anauza hadi anachoka kupokea Pesa

    Yaani Jezi zitengenezwe Italia zisiuzike halafu zile zilizotengenezwa Tandahimba na kupigwa Chapa Tandale ndiyo ziuze?
  17. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma pesa online nikiwa Pakistan kuja nyumban Tanzania?

    Habar za majukumu ndugu zangu,kuna jamaa tunahitaji kufanya biashara ya yeye kununua bidhaa hapa Tanzania na mimi kumtumia kwenda Pakistan, sasa yupo mbali sana na bank maana njia nyepesi ingekuwa ni western union au money gram kwahiyo hatoweza kuwa anaenda huko mara Kwa mara kutuma pesa. Je...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haya tufanye pesa zinachotwa kama anavyowaongopea Polepole na Mange Kimambi. Nyie mnasemaje? Mna la kufanya?

    Nikiwaita wajinga mnakasirika. Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga. Polepole ana madudu mengi sana. Kesho nitayaanika hapa. Mange baada ya kukosa Ubunge ndipo kaja na utetezi uchwara. JPM alimpa...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wengi humu ni kutokujua kuwa hata viongozi wa dini wanaichangia pesa ccm ibaki madarakani

    Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia ccm Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa ccm
  20. D

    JamiiForums Tanzania Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
Back
Top Bottom