pesa

  1. JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

    Habari wadau, Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
  2. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Tumeacha kutekeleza maendeleo kwa kutumia pesa zitokanazo na mapato na tozo na sasa tumerudi kwenye mikopo?

    Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili kutekeleza maendeleo tutachelewa. Swali je mapato na tozo havikusanywi? Je, hayatoshi? Je tumeamua...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iachane na malipo kwa masikini wa TASAF bali ianze kuwalipa pesa walemavu wote wasio na ajira

    Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
  4. JamiiForums Tanzania Polisi saba mbaroni wakituhumiwa kulamba mabilioni ya pesa

    Dunia haiishi maajabu aiseeee. "Geshi" letu linachekesha sana kama sio kusikitisha. Anyway habari kamili hii hapa. --- Maofisa saba wa Jeshi la Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiwa na mashtaka ya wizi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh1.16 bilioni...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA waonesha umoja, wamchangia mtoto wa Lingwenya ada na pesa ya vifaa vya shule

    @bavicha_taifa wameongoza wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi ya Mhe. Mbowe na wenzake kumchangia ada na vifaa vya shule mtoto Mariam Mohamed Ling'wenya, mtoto wa mshitakiwa Mohamed Ling'wenya. Aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya baba yake. Imechangwa sh. 545,000.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hisia za wananchi mtaani: Kilichomfukuzisha Ndugai ni kuhoji kwake kwa nini Pesa nyingi za mkopo kupelekwa Zanzibar licha ya idadi ndogo ya watu

    Kujiuzulu kwa Ndugai kumeambatana na hisia tofauti za wananchi. Lipo kundi la wananchi libalooamini kuwa kilichomfanya Samia akasirike, kuwa mbogo na kukunjua makucha dhidi ya Ndugai kinyume cha haiba yake ya upole ambayo wananchi wameizoea ni. kutokana na Ndugai kuonyesha mshangao bungeni wa...
  7. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata pesa Dar es salaam ni hii

    Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa. Nenda kanunue vile vichupa vidogo vinauzwa around 200 tsh. kama sitakosea, kisha unaingia kando ya mji unachukua magome...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua makadirio ya pesa nyumba hii

    Habari nyingi wakuu. Tumeanza mwaka na mipango mipya. Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah. Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom) Jiko Dining Kitchen Store Sitin room Public toilet...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

    Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Bank Mkononi: Pesa inatumika kama upepo, najuta kujiunga

    Sitakuwa na maneno Mengi! Hii ni ile huduma ya bank mkononi! Nilivyotaka kujiunga kale ka kahudumu ka benki kaliunganisha fasta fasta kwa bashasha! Kumbe wanajua inavyowalipa vizuri huduma hiyo! Nilifurahi sana kuunganisha bank mkononi ili kuepusha usumbufu wa kwenda bank/ATM. Lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana kama hamna pesa msilazimishe mapenzi

    Leo niko mkoani kwa ajili ya mapumziko kabla ya kuuanza mwaka, ingawa nishaona wazi kabisa mama yetu Samiah keshazidiwa kete na watoto wa mjini na madume ya Magufuli. Tukirudi kwenye kichwa cha habari kama kawaida yangu sikutaka kulaza damu nikasema ngoja nijichanganye katika moja wapo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

    Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja. Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine. Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni pesa, mapenzi hayana umri ukiwa na pesa

    Mwanadada Regina Daniels(21) asherehekea mume wake huyo Ned Nwoko(61) kumtumia zawadi ya Xmas dola $50,000 ambazo ni zaidi ya milioni 115 za Kibongo. Mrembo huyo ambaye ni mwigizaji maarufu Nigeria ametupia screenshot ya hamisho la pesa hizo Wawili hao walifunga ndoa 2019 na wana mtoto mmoja...
  14. JamiiForums Tanzania Tafadhari leo Xmas kwa wale wapenda sifa kutumia akiba ya pesa kwa pupa

    Tafadhari kaa mbali na simu usijekutumia simbanking kaa mbali na atmcard leo siyo siku nzuri kwa wale wapenda masifa 😎😎 January school fees
  15. I

    JamiiForums Tanzania Waamuzi ligi Kuu wadhulumiwa PESA zao tangu mzunguko WA nne,Tff,azam,bodi ya ligi,nbc,gsm mko wapi?

    Hali ya waamuzi wa ligi kuu Tanzania ni mbaya, hawajapewa malipo yao tangu mzunguko WA nne WA ligi Kuu,licha ya uwepo wa wadhamini wengi. Si haki hata kidogo watu wanaenda vituoni wanachezesha mechi wengine wanazaidi ya mechi tatu hadi nne bila kupewa pesa yao. Kwa mazingira haya kweli tutapata...
  16. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa. Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini...
  17. JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe elimu ya pesa kuanzia awali

    HABARI
  18. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: tafsiri ya ndoto ya kuokota pesa na biashara ndogo.

    Habari zenu wakuu. Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja. Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupokea/ku-withdraw Pesa Kutoka Upwork Au Fiverr (Beginners Freelancing Guide)

    Hii ni special kwa all internet money hustlers! (Read more....) Kama umekuwa interested au umefanya research kuhusiana na freelancing then utakuwa umekutana na platforms za freelancing kama vile Upwork, Fiverr, Freelancer na zaidi. Lakini, swali linalokujia akilini at the beginning ni namna...
  20. JamiiForums Tanzania Yupi ni mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?

    Hello guys, good morning! Ukosefu wa nguvu za kiume na ukosefu wa fedha vyote ni tatizo. Je, yupi ni mchawi mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…