paul makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Mganguzi

    Paul Makonda na vijana wenzake ndio kizazi kilicho bora zaidi kitakacholeta mageuzi makubwa

    Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi. Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu...
  2. U

    Video - Interview ya Tundu Lissu: Afafanua kwa ufasaha zaidi uhusika wa Paul Makonda kuratibu jaribio la kumuua kwa risasi Septemba, 2017

    Kwa ufupi; ##Pamoja na kusimulia kwa kina juu ya uhusika wa Paul Makonda kuratibu shambulio la jaribio la kumuua kwa risasi mwaka 2017, Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa upande wa Tanganyika ameeleza mambo mengine mengi yakiwemo; 1. Maoni yake juu ya ziara za Paul Makonda mwenezi...
  3. Roving Journalist

    Paul Makonda: Tuishi katika kweli, tusitengenezeane ajali

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amewasihi Watanzania kuwa na desturi ya kuzungumza mazuri ya mtu akiwa bado yupo hai badala ya kusubiri afariki. Makonda ameyasema hayo kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na kueleza kuwa baadhi ya watu hawakuwahi kwenda kumuona...
  4. F

    Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

    Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema. 1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka. 2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi...
  5. mtwa mkulu

    Yanayojiri ziara za Ndugu Paul Makonda maeneo mbalimbali nchini

    Karibu! Katika uzi huu tujadili yanayojiri moja kwa moja ziara za Muenezi Taifa Ndugu Paul Makonda. Tuanze na Makambako alipokuwepo siku ya jana 09 /02/2024.
  6. F

    Paul Makonda bado ni kijana mdogo na asitumike vibaya kama Sabaya

    Makonda bado ni kijana mdogo na bado hana utashi uliokamilika, bado anafanya mambo kwa kufuata hulka, hisia za kiujana na kutegemea watu wanamwona vipi. Hulka hizi hutumika sana na wakubwa kuwatafuta watu wa kushirikiana nao katika jambo fulani kwa manufaa yao. Wanajua vyema mtu kama Makonda...
  7. L

    Makonda: CHADEMA wamekimbia kufanya mikutano na kuanza kulilia vyombo vya habari kufanyiwa mahojiano

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na Jabali la siasa na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara hapo jana aliitetemesha Mbeya kwelikweli,alilisimamisha jiji na kuteka mioyo ya wananchi , shughuli zote zilisimama na kubaki na shughuli moja tu ya kutega masikio kwa Mwamba...
  8. Influenza

    Makonda: Kwa taarifa yenu sifi! Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu

    Katibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Paul Makonda akiwa katika ziara yake Tunduma Mkoani Songwe amesema "Si nimepewa usemaji? nitasema kweli bila kumung'unya maneno na kwa taarifa yenu sifi na Mungu hana mpango wa kuniondoa kwanza. Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu, mtafute waganga...
  9. Idugunde

    CHADEMA wamepotezwa na Paul Makonda

    Ndio maana hata maandamano yao yalidorola. Wananchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda ambaye anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata. Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea. Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu.
  10. Cheology

    Barua ya wazi kwa Paul Makonda msaada wa dharula unahitajika tunakufa

    Paul Makonda baba Keagan tafadhali tunaumizwa huku. Ni miezi na miezi maji hayatoki tunaendelea kukosa pamoja na mvua na mafuriko makubwa wakati maji hayohayo yakotoka baadhi ya maeneo. Leo tumepokea hii taarifa Sisi hayo masaa ambayo maji hayatatoka.mbona sisi tuna masaa, wiki na miezi...
  11. Lidafo

    PreGE2025 Paul Makonda ni Karata ya muhimu kwa Rais Samia kuelekea uchaguzi wa 2025

    Habari wanajamvi! Kwa anayefuatilia siasa za Tanzania atakubaliana na mimi kuwa kwa sasa Mh. Paul Makonda Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye anayetamba katika anga za Kisiasa hapa nchini, Ujio wake umekuwa wa kishindo sana na hii ni karata muhimu kwa Rais Samia kuelekea mbio za...
  12. B

    Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

    Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni. Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu. Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani...
  13. BigTall

    Paul Makonda amuweka Afisa Madini wa Katavi kikaangoni

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amemtaka Afisa Madini Mkoa wa Katavi, Mhandisi Andrew Mwalugaja kuhakikisha anafuata sheria na taratibu za kuhakikisha utoaji leseni za uchimbaji madini unazingatia uzalendo huku uongozi wa mkoa ukisisitizwa kumaliza mgogoro...
  14. U

    Video: Paul Makonda na harakati za hila za kuulinda mfumo wa serikali tawala ya CCM ulioshindwa. Atafanikiwa au anasukuma anguko lake?

    This video is Courtesy of SK Media Online TV. ===================================================== KWA UFUPI; 1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo barabarani anatembea nchi mzima hata sasa kwa kinachoitwa "ziara ya kuimarisha uhai wa chama..." 2...
  15. B

    PreGE2025 Paul Makonda: Wahuni wameingia tena msituni nini? Siyo kwa ukimya huu

    Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo. Lakini kwa bahati mbaya pia kuna WAHUNI ambao wakipewa kazi, wanaliibia Taifa hili na kukalia kupiga majungu! Lakini...
  16. Mjanja M1

    Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

    Tumekuwa tukiona Mhe. Paul Makonda akiingia na Toroli, Bulldozer, Baiskeli n.k kwenye ziara zake mikoa tofauti nchini. Je ulishawahi kujiuliza ni jinsi gani msafara wa magari wa Makonda unavyoonekana akiwa anaelekea kwenye ziara zake huko mikoani.? Hapa nimekuletea picha tofauti za muonekano...
  17. L

    PreGE2025 Paul Makonda asimikwa kuwa Chifu Nsumbantale, yaani Msaidizi wa Chifu Mkuu Hangaya ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda kuwa Chifu Nsumbantale,yenye...
  18. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

    Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi. Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?. Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?. Katibu Mwenezi...
  19. Mwande na Mndewa

    PreGE2025 Je, tatizo la kukatika Umeme na Maji bado lipo eneo lako? Je, Mwenezi Paul Makonda amepita eneo lako?

    Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!? Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!? Je, shida zako zimetatuliwa!? Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais Magufuli, je wewe una maoni gani!? Je, umefarijika na ziara anazofanya mwenezi paul makonda kutatua...
  20. B

    LGE2024 Uchambuzi ziara ya muenezi Paul Makonda, serikali ya CCM 2024 kukosa kura?

    January 2024 TATHMINI YA ZIGO ZITO ALILOTWISHWA MUENEZI PAUL MAKONDA KURUDISHA IMANI KWA RAIA Ziara ndefu ya Paul Makonda ambaye ni katibu uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM imeibua na kuweka wazi jinsi chama hiki kongwe dola kimeshindwa kuweka mifumo ya utawala bora. '...
Back
Top Bottom