paul makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Maswali ya kujiuliza ni kuwa; 1. Makonda anatoa litahizi za mafuta kama mtu binafsi au serikali? Kama anatoa kama mtu binafsi vyanzo vya mapato haya ni nini? Mkuu wa Mkoa anatoa wapi pesa za kugharamia mafuta lita zote hizi? 2. Bajeti inayotengwa upande wa vyombo vya ulinzi ikijumuisha mambo...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda amkumbuka Hayati Magufuli, asema kilikuwa chuma. Asikitika fimbo kuondolewa mashuleni

    Paul Makonda akiwa kwenye mkutano jijini Arusha ameongelea mambo kadhaa ikiwemo kumkumbuka Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli jinsi alivyokuwa makini na mkali inapofika suala la uongozi. Paul Makonda: Ametoa takwimu hapo Ngorongoro girls watoto wanashindwa kuendelea na masomo, yaani...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

    Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao. Pia soma: Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo. Makonda amesema hayo wakati...
  5. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Makonda hafai kuwa kiongozi kabisa. Uongozi unahitaji busara na hekima kama Rais Samia alivyo

    Hii nchi Samia asingeinusuru baada ya torture tulizozipitia surely akina tundu lisu na lema au mbowe wangekuwa bado wako ughaibuni kuogopa kuuawa. Hii nchi mama kaitoa mbali sana tulikuwa tunaishi kama vile tuko motoni. Ukiamka hijui kama leo ni zami yako kutekwa au la. Hata information muhimu...
  7. reuben mwasanjobe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia rubani mkuu kwenye safari ya maendeleo kwa Tanzania tuitakayo

    Utangulizi. Katika kipindi cha robo karne ijayo, Tanzania inaweza kuwa taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kiteknolojia barani Afrika kwa kuwekeza katika teknolojia ambazo zinaweza kuleta mageuzi katika sekta zote za uchumi na jamii. Maendeleo haya yanaweza kusaidia kuboresha hali ya maisha ya...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia apishe 2025 Philip Mpango agombee urais, Makonda awe Makamu wa Rais

    Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli. Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru. Mama apishe 2025 yakae majembe yatakayorudisha nidhamu ya kizalendo. Nawakilisha Mimi Idu wa Igunga.
  9. Revolution

    JamiiForums Tanzania Natoa pongezi kwa Jerry Silaa na Paul Makonda kwa kushughulikia matatizo ya Watanzania maskini

    Nikiwa kama mwananchi ninapenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa hawa Waheshimiwa wawili. Kwa kweli wamekuwa ni viongozi wa mfano ambao kwa kiasi kikubwa wanashughulikia matatizo ya watanzania maskini na wenye uhitaji. Hivi ndivyo viongozi wote wanapaswa kuwa na ili kuweza kumsaidia Mhe. Rais...
  10. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kumuunga mkono Paul Makonda kuanzia sasa

    Mimi ni miongoni mwa watu ambao walimchukia sana makonda hasa enzi za mwenda zake , na hii ni kutokana na namna alivyo kuwa akiwatenda baadhi ya watu kwa jeuri na kibri kwa wakati huo. Lakini sasa naamini kuna mambo aliyo yatenda wakati huo amesha yaombea toba kwa mungu ingawa sijajua kama...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Bunge la Dkt. Tulia lenye Paul Makonda na David Kafulila ndani yake litawaka moto na kuteka mioyo ya watanzania hapo mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna wakati nilishuhudia kwa macho yangu Mwenyewe watu wakiacha na kusimamisha kazi ili wafuatilie mijadala ya Bunge, nilishuhudia watu wakiwa vikundi vikundi vibanda umiza wakiwa wanafuatilia kwa ukaribu sana bunge na kujuwa kabisa akitoka fulani kuchangia anafuata...
  12. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Unakuabaliana na mimi kuwa tungekuwa na Wakuu wa Mikoa kama Makonda tusingekuwa na haja ya Wabunge?

    Naomba kukana kutumika kwa hii tathmini yangu ninayoenda kuisema hapa bali ni kwa uhuru wangu wa kutoa maoni na utimamu wangu wa kuweza kuona na kutambua mema na mabaya. Ni hivi wakuu, mimi kwa ufatiliaji wangu wa utendaji kazi wa RC Makonda tangu aanze majukumu yake km Mkuu Wa Mkoa wa Arusha...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Makonda aomba kupangiwa kazi nyingine Januari 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuanzia sasa hadi Januari 1, 2025 atakuwa amekamilisha kazi ya kuwanyoosha watumishi wa umma wasiokuwa wazalendo na wanaotanguliza masilahi yao binafsi. Makonda amemwomba Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenda...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mtoto abakwa kwa nguvu, bibi yake ampigia magoti Makonda amsaidie kupata haki yake

    Inasikitisha mtoto abakwa na jirani, bibi yake ashindwa kesi Mahakamani, amlilia Rc Paul Makonda.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda anafanya kazi kama ambavyo Ma-DC wa Mkoloni walivyokuwa makini Tanganyika

    Ukipitia diary / shajara za waliokuwa ma DC wakati wa serikali ya mkoloni utaona walipewa majukumu mengi ya jinsi ya kuendesha tawala za mikoa na serikali za mitaa. Ambapo DC hakutakiwa kukaa ofisini bali alifunga safari kupitia maeneo waliyopangiwa kuangalia masuala ya utoaji haki, makusanyo...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa na Paul Makonda ni viongozi wa mfano wa kuigwa

    Appreciation post to MAKONDA na SILAA Niliwahi kuwaeleza huko nyuma kwamba kwa dunia ya sasa hivi haiwataki watu imara, yaani watu haiwataki wale waliokuwa na misimamo yao, haiwataki wale wapiga kazi, inawataka watu walegevu. Namwangalia Paul Makonda anavyofanya kazi yake, kiukweli ni mtu...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Vijana achaneni na siasa, hailipi. Pesa ndiyo inalipa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye uchaguzi huchaguliwi! Pale ambako mwanasiasa anakwambia siasa hailipi! Kama hailipi mbona haachi...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Is Makonda imagining an unthinkable future for Tanzania?

    𝗣𝗥𝗘𝗦𝗜𝗗𝗘𝗡𝗧 𝗣𝗔𝗨𝗟 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗡𝗗𝗔? ◾It's almost laughable to fathom the thought that the abrasive and pseudo-populist Arusha Regional Commissioner could even be considered as a future President of Tanzania ◾A chequered past, questionable education background, authoritarian streak and unhinged personality...
  19. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Sitamani Ukuu wa Mkoa - ikitokea nikawa basi ukali wangu ni zaidi ya Paul Makonda

    Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona. * Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti ananyanyasa! * Makonda akisimamisha watumishi kwa tuhuma kadhaa ili wapishe uchunguzi - waovu eti haki...
  20. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara aidai milioni 227 halmashauri ya Monduli kwa miaka 18 ni baada ya kujenga shule ya Sokoine

    Mfanyabiashara na mkazi wa jiji la Arusha, Patrick Swai ameangua kilio mbele ya mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akilalamikia halmashauri ya Monduli kushindwa kumlipa malipo yake ya sh, milioni 227.7 kwa muda wa miaka 18 baada ya kukamilisha ujenzi wa shule. Akiongea na vyombo vya habari...
Back
Top Bottom