Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi waufungie mtandao huo hapa nchini.
Na kama hayo yote hayawezekani basi Watanzania wazalendo wajulishwe...
Pazia la kuichukua fomu za kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020.
Sina hakika na ndoto yangu, Ila haya ndio niliyoyaona ndotoni.
Nawaona wanaume wawili wakichuana vikali sana, kiasi kwamba wanarandama kwa sifa...
Nianze kwa kusema mimi sio muumin wa chama chochote cha siasa Tanzania, lakini naipenda sana nchi yangu Tanzania.
Nimekua nikimfuatilia kwa ukaribu Rais Magufuli toka ameingia madarakani mwaka 2015. Huyu mzee ni mtu ambaye nimegundua ana nia nzuri na hii nchi, ila tatizo ana maadui wengi...
Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama...
Naelewa kuwa wewe Pascal na mwenzio Dotto ni members humu na mmekuwa mkilipa umuhimu wa juu hili jukwaa katika kipindi chenu cha Jicho letu ndani ya habari.
Nakumbuka hata juzi ulimuuliza waziri wa habari mh Mwakyembe juu ya misukosuko ya kimahakama anayokumbana nayo mkurugenzi wa Jf mh Max...
Mwandishi wa habari nguli mh Pascal Mayalla amewataka wataalamu wa Kemia kuja hadharani na kutuchambulia faida na hasara za kupiga fumigation mitaani na kwenye vyombo vya usafiri kama kuna tija kwenye mapambano dhidi ya Corona.
Kadhari watuelimishe juu ya ubora wa barakoa kama zinaweza...
Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini.
Mayalla alikuwa anaongea katika kipindi cha Jicho Letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star TV...
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa...
Uchaguzi wa serikali za mitaa umefanyika mwezi uliopita. Naamini kila mmoja wetu anatambua kilichotokea hakuna haja kurudia kuandika hapa.
Ninaamini kwa dhati kabsa kuna viongozi walioenguliwa kwenye vinyang'anyiro either kwa hujuma or kwa kutoelimishwa au kupewa semina namna ya kujaza kwa...
Siyo kwamba huyu aliyepo Dr Abbas hafanyi vizuri la hasha, ni kwa sababu mambo mengi mazuri unayoyafanya yanahitaji mkongwe wa habari aliyetumikia awamu zote kuweza kuyaelezea kwa ufanisi na ulinganifu.
Nikisema zaidi utaona kama nampamba huyu Mayalla, basi nikuombe tu mh Rais ipitie CV ya...
Wana jamii nimetafakari hiki kitu nimeona sio vibaya kama tukashare mtazamo na wanazengo. Ndugu yetu mwandishi nguli humu ndani aliwahi kupost nyuzi moja kuhusu Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda kuwa anafaa ama anaweza kuja kuwa namba moja wa nchi yetu kwa siku za usoni baada ya huyu wa...
Kufuatia hali ya kutokuaminiana katika uendeshaji wa shuhuli za kisiasa ikiwemo chaguzi mbalimbali hapa nchini Tanzania, napendekeza badala ya kuitisha uchaguzi mkuu 2020 iundwe serikali ya umoja wa kitaifa itakayoshirikisha vyama vyote vyenye wabunge ili kufanya yafuatayo:-
(i) Pesa yote ya...
Mwanabodi Pascal Mayalla alileta uzi hapa akituelezea Uwezo wa CAG kikatiba ni sawa kabisa na Jaji Mkuu na kwamba agizo lake ni sawa na bill.
Leo Rais Magufuli amesema CAG siyo muhimili na mihimili ni mitatu tu Serikali, Bunge na Mahakama
Na kwamba CAG kwa kiswahili ni Mkaguzi na Mdhibiti mkuu...
Husika na maada tajwa hapo juu.
Mim ni mdau mkubwa wa maji nmekuwa nikishirikiana na wadau mbali mbali wa maendeleo kuchimba visima vidogo na vikubwa maeneo yenye uhitaji mkubwa hasa kwenye kambi za wakimbizi.
Pili niipongeze wizara ya maji kufanikisha uundwaji wa RUWASA hii itasaidia...
Imeandikwa na Felician Andrew
Chuo Kikuu Mzumbe, Morogoro
“Kuna watu wamechukulia mikopo mikubwa ya fedha kwenye mabenki ya ulaya huku dhamana zikiwa ni ardhi ya Tanzania hivyo wakishindwa kurejesha mikopo hiyo maana yake ardhi yetu itakuwa ni mali za mabenki hayo ya ughaibuni”
Nimeamua...
Mwaka jana madai ya uchaga yaliibuliwa na gazeti la JAMVI LA HABARI likisema maaskofu wa kanisa katoliki huteuliwa kwa kufuata uchaga. Madai hayo haya hapa (bonyeza hapa)
Mtakumbuka madai haya yaliingia hadi bungeni gazeti hili kujadiliwa.
Jumatano iliyopita ina makala moja ya RAIA MWEMA...
Wiki hii imesambaa picha ya Papa Francis akikwepa kubusiwa pete yake, utaratibu unaofanywa kwa askofu yeyote, achilia mbali Papa.
Kitendo hicho kimejadiliwa na kila aina ya mitandao, kwenye magroup, facebook, twitter na kokote unakoweza kutaja.
Sasa mimi maoni yangu ni nini? Maoni yangu ni...
Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kuibua maswali juu ya tukio la kutekwa Mfanyabiashara Mohamed Dewji Kamanda wa Polisi Dar es salaam Lazaro Mambosasa amejitokeza na kusema yeye alishamaliza kazi yake.
Mambosasa amesema baada ya yeye...
MENE MENE TEKEL NA PERES, kiganja cha mkono kilionekana kikiandika maneno hayo ukutani. Hiyo ilikuwa ni siku ya karamu kubwa iliyoandaliwa na mfalme wa Babeli aliyeitwa Belshaza ambaye ni mjukuu wa Nebukadreza. Siku hiyo walialikwa wageni wa heshima nao wakala na kunywa wakitumia vikombe vya...
Kitendo cha Maalim Seif kujiunga na ACT wazalendo na kuikacha Chadema kama wengi tulivyodhani sio jambo la kukurupuka ila ni well calculated timing attack against a well organized super power CCM.
JPM ni mtu hatari sana kwenye siasa, ni mtu anayeona tatizo kwa haraka na kujiandaa kulikabili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.