pascal mayalla

  1. B

    JamiiForums Tanzania Huu utatu wa Lissu, Heche na Lema hautaiacha CCM salama

    Asalam Aleykum, Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristu, Mwanakondoo Ameshinda, Bwana ni Mwema. Ama baada ya salamu hizo, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu. Baada ya uchaguzi wa CHADEMA kukamilika, wale waona mbali lazima walijua kile ambacho kitaipata CCM. Hawa jamaa watatu ni hatari...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla kuna Salamu zako huku

  3. B

    JamiiForums Tanzania Hii slogan ya kazi na utu haitatufikisha popote

    Hii kaulimbiu imekaa kipigaji sana. Haitatufikisha popote kama Taifa. Zaidi zaidi, tutarajie wachache walioko madarakani kutajirika wao pamoja na washirika wao ilhali wengi wa raia wakiishia kwenye umaskini uliotopea. Kazi ya kuendeleza Taifa, si lelemama. Kile anachokifanya Rais Capt...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nchi za ukanda wa SADC tulizozisaidia kama ndugu zetu wakati wa kupigania uhuru, leo wamejipata wanatunyanyasa!

    Habari wana jamvi. Bila shaka mko vizuri. Nimekuwa nasikitika sana kuona hawa ndugu zetu wa ukanda wa SADC jinsi wanavyotutendea ilhali tuliwasaidia sana kwa hali na mali wakati wa kupigania uhuru. Nitatoa mifano ya baadhi ya nchi na jinsi walivyojisahau hasa linapokuja suala la kujihusisha na...
  5. Now and then

    JamiiForums Tanzania Balile na Pascal Mayalla je wanamtumikia nani , mbona hawana weledi katika kazi zao ?

    Balile na pascal Mayalla hawana weledi katika uandishi wa habari. Naomba waendelee na siasa za kusifu na sio habari.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

    Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
  7. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla huu ndo muda wake wakuitumikia nchi, naomba Serikali imfikirie Mtanzania huyu mzalendo

    Pascal Mayalla, anabidi kutazmwa kama hazina . Naomba Mh SSH umteue huyu Kijana ili akapate kuitumikia nchi.
  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Je ni sababu zipi zinazopelekea Pascal Mayalla hapati teuzi yoyote mpaka sasa?

    Wakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ? Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na Rais. Ikiwa ni kweli , basi hii inafikirisha na muda sio mrefu anenda kuingia ghorofa ya 60 bila kupata...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM kama Form zitatolewa zaidi ya moja. Je, Samia anaweza kushindanishwa na mwanamke gani?

    SIdhani Kama Dr Samia Suluhu Hassani anaweza kuzuia Haki ya Wanawake Wenzako Kugombea Nafasi ya Kuwania Urais ndani ya Chama chake. Ktk hili tuombe women empowerment iwe kwa vitendo na isiishie kwa Maneno. Je tukitazama ndani ya CCM kuna Mwanamke mwenye ubavu wa kushindana naye au wanasubiri...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Huyu Pascal Mayalla huwa mnamuelewa?

    Binafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes, Faiza foxy na kina Lucas Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi. Je, wengine huwa mnamuelewa?
  11. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo bora wa elimu utakaopunguza utegemezi mkubwa wa bidhaa, teknolojia kutoka nje na kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana ili kukuza uchumi

    Kwa nini kumekuwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla? Migogoro bungeni, wazazi kwa vijana, vijana na jamii kwa ujumla juu ya ukosefu wa ajira kwa vijana. pia utegemezi mkubwa wa bidhaa kutoka mabara ya dunia...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pro-Chadema mbona huwa mnafurahi na kumdhihaki Pascal Mayalla anapokosa uteuzi?

    Kwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi. Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro-Chadema huwa wanamdhihaki na kumnyodoa. Why? Mnataka nini?
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

    Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema; “Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hoja zangu za Kisiasa, Katiba, Sheria na Haki humu JF zina mashiko? Zimesaidia kitu? The Consequences ya baadhi ya hoja zangu! Kazi inaendelea!

    Wanabodi Mimi ni mwana JF mwenzenu humu JF ni member toka 2006 kwenye Jambo Forum na verified tangu 2008, katika miaka hii zaidi ya 15, nimepandisha mabandiko mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Uwasilishaji hoja zangu nawasilisha kwenye 3 fronts 1. Kwa kuongea live kwenye events, hii ni...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Nashauri Pascal Mayalla ateuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara

    Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote. Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi. Napaza sauti yangu...
  16. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

    Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi. Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Pascal Mayalla, umemsikia Prof. Shivji? Bado unatuita watanzania Wajinga?

    Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Akili za Chifu Mangungo wa Msovero

    Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu. Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kutomteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu

    Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu. Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu? Yaani hapa lazima kieleweke. Kwa kuanzia Bwana Pascal Mayalla anafaa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya au mkurugenzi au mbunge wa kuteuliwa. Kati ya hizo...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

    Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Back
Top Bottom