pascal mayalla

  1. S

    Tetesi: Kinachoendelea ni dalili za kuwasili AMNESTY INTERNATIONAL

    Ghafla kumekuwa na wema kila kona. Siyo mahakamani, siyo majukwaani, Siyo makanisani kwa ujumla hizi wiki tatu ninaziita kisiwa cha amani. Sasa ni wema na kauli za wema na hotuba za ukarimu. Lakini kwa nini wema huu uje ghafla hizi wiki tatu. Hongereni JF mmejiuliza wengi kwa namna mbalimbali...
  2. leonaldo

    Nape awapa ushauri wa bure wenye roho mbaya!

    Ujumbe huo unasema: Nyani waliposikia kuwa aliyekuwa akiwafukuza wasile mahindi amekufa, walishangilia sana. Mwaka uliofuata walipata njaa kali maana hakukuwa na mahindi. Ndipo walipogundua kuwa mtu aliyekufa ndiye alikuwa mkulima. Ujumbe: Jifunze kuishi na adui yako maana anaweza akawa ndiye...
  3. moto ya mbongo

    New Barrick eyes several options to end Tanzania tax dispute: CEO

    The new Barrick Gold Corp is considering options for its stake in Acacia Mining PLC including possible sale, as Barrick works to end a nearly two-year-long tax dispute in Tanzania that has effectively shuttered operations there, Chief Executive Officer Mark Bristow said on Wednesday. The new...
  4. Relief Mirzska

    Barua ya wazi kwa Paul Makonda

    Mkuu, Pole kwa majukumu na changamoto za uongozi. Kwanza naomba ku-declare interest: Mimi ni kijana wa kiislam ambae Nina uelewa kiasi juu ya Uislam. Hivi karibuni ulidhamiria kufanya kampeni ya kulisafisha jiji la Dar as salaam kuhusu suala zima la watu wanaojihusisha/wanaofanya mapenzi ya...
  5. Frustration

    Sielewi na naomba mnitofautishie

    Katika kutolewa tongotongo juu ya meditation nikawa very eager and interested to practice, lakini nikakutana na vitu viwili ,AP na Lucid dreamer. katika fuatilia threads nikagundua AP ni advanced and sometime is danger ila Lucid ni safe and tranquil to practice. Sasa how naona process ni same...
  6. baro

    Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

    Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?" Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
  7. Fidel80

    Pascal Mayalla apata ajali

    Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma. Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu...
Back
Top Bottom