Magufuli anatupigania WaTanzania. Wengi wetu hatufahamu!

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,636
Nianze kwa kusema mimi sio muumin wa chama chochote cha siasa Tanzania, lakini naipenda sana nchi yangu Tanzania.

Nimekua nikimfuatilia kwa ukaribu Rais Magufuli toka ameingia madarakani mwaka 2015. Huyu mzee ni mtu ambaye nimegundua ana nia nzuri na hii nchi, ila tatizo ana maadui wengi.

Kipindi hiki cha corona ndo nimeona kwamba huyu mzee ana mapenzi na wanachi wake na pia ni mzalendo. Nakumbuka mwaka 2016, Magufuli alimfuta kazi Mkurugenzi wa NIMR kwa kutangaza kua ZIKA virus imeingia Tanzania.

Cha kushangaza, baada ya kutangaza kuwepo kwa ZIKA Tanzania na kufukuzwa kazi kuyu DG, hatukuweza kuona kisa chochote cha ZIKA Tanzania. Huenda huu ulikua mpango wa kuanza kusambaza huu ugonjwa Afrika Mashariki lakini huyu mzee alitupigania. Cha ajabu waliombeza huyu Mzee, hakuna aliejitokeza kusema kwamba Rais alikua sahihi alivosema hakuna ZIKA.

Limekuja janga la corona, huyu Mzee nina imani anajua mipango ya hawa “mabeberu” ya kusababisha taharuki. Wengi wamembeza huyu Mzee lakini mimi nina imani anachofanya ni sahihi. Kuna video clip nimeona Mbunge wa Italia akiwatuhumu Marekani kupika data za vifo vya corona Italia ili waweze kuweka kiongozi wanaemtaka.( nimeambatanisha video mwishoni)

Nina amini hizi nchi zinazofunga mipaka na nchi yetu zinatumika kumuumiza huyu Mzee ili wananchi tumchukie. Ni ombi langu kwa WaTanzania tushikamane tumpe support Rais wetu.

NB: Ninafahamu kwamba Magufuli ana mapungufu mengi tu, ila kwa leo naomba tumuunge mkono kwenye vita dhidi ya corona.
 
Attachments

  • 1C80BB82-6F71-4D20-92A0-38C63C5EFAFD.MP4
    4.7 MB

Corona bado ndio inaongezeka kila kukicha Africa kwahiyo ni muhimu kuchukua hatua kali kwani madhara yake yanaweza kuwa makubwa siku zijazo. Matokeo ya maamuzi ya rais tutayaona sio sasa bali baadaye kuanzia mwezi wa saba kwa sasa kila mwenye akili nzuri achukue tahadhari zote.
 
.. Sema anakupigania wewe na praise team wenzio
 
Well said mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona bado ndio inaongezeka kila kukicha Africa kwahiyo ni muhimu kuchukua hatua kali kwani madhara yake yanaweza kuwa makubwa siku zijazo. Matokeo ya maamuzi ya rais tutayaona sio sasa bali baadaye kuanzia mwezi wa saba kwa sasa kila mwenye akili nzuri achukue tahadhari zote.
Si mlianza kusema afta tuu wiks?
 
Corona bado ndio inaongezeka kila kukicha Africa kwahiyo ni muhimu kuchukua hatua kali kwani madhara yake yanaweza kuwa makubwa siku zijazo. Matokeo ya maamuzi ya rais tutayaona sio sasa bali baadaye kuanzia mwezi wa saba kwa sasa kila mwenye akili nzuri achukue tahadhari zote.

Kwa hiyo WHO na Bill & Melinda Gates walivyosema matokeo yake tutayaona May wakikosea? Nilisikia mid may tutashuhudia mass deaths kwenye mitaa ya majiji makubwa Africa, wewe unasema hadi July tutashuhudia maajabu, tuzidi kusubiri muda kuwa hakimu.

Ilà usisahau kuwa western world hawajawahi kuwa na malengo mazuri na sisi, nimesikia dawa za ARV zitakuwa adimu sana kipindi kijacho, hapo huenda tukashuhudia vifo vya kutosha mitaani, hudhani hilo ndio lengo lao kuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom