online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ONLINE SELFOR: Nimesahau password ya ku-login katika account, nifanyenye nipate password mpya?

    Habari za asubuhi ndugu wataalamu. Nilisajili account ktk selform.tamisemi.go.tz ili niweze kubadili tahasusi, bahati mbaya nikashau password niliyoiweka kipindi najisajili. Msaada wenu tafadhali, nifanyenyeje niweze kupata password mpya itayonuwezesha kuingia ktk account yangu ili niweze...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

    Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari. Rais Samia amesema...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yafungua milango ya majadiliano kwa magazeti yaliyofungiwa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa kufunguliwa, linahusu televisheni za mtandaoni pekee. Hata hivyo, Bashungwa ameeleza leo Jumatano, Aprili 7 2021 kuwa Serikali inafungua milango...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

    Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua vyuo vinavyotoa Online course

    Msaada wa chuo chochote nje ya nchi kinachotoa kozi za IT kupitia mtandao/online. Muhimu: 1. Kinatambulika na TCU 2. Kitoe cheti 3. Gharama nafuu.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, Jinsi gani ya kutuma online SMS

    Habari zenu wakuu, ni website gani nitumie kutuma sms/mms? natumia kitochi chenye browser ya opera mini. Msaada tafadhali!
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania artists only second to Nigeria in the number of streams online.

    Classification of sub-Saharan African countries taking into account the number of YOUTUBE channels of the 3 most popular YOUTUBE Channels.
  8. JamiiForums Tanzania TCRA: Utoaji wa Leseni za Maudhui Mtandaoni umesitishwa hadi Juni 30, 2021

    Mkuu wa TCRA Kanda ya Ziwa, Mhandisi Mihayo akizungumza kwenye Usiku wa Waandishi wa Habari na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza. Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha utoaji wa leseni za Maudhui Mtandaoni kwa muda kuanzia...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji web au app,inayopokea sms online

    Habari wanajamvi,.. Nahitaji web au app inayoruhusu nipokee SMS online kwa hapa Tanzania.., kuna registration nataka kubypass verification! Thanks
  11. JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa Online Masters degree

    Wana JF habari za Weekend? Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo hivyo viwe vinatambulika na TCU.
  12. JamiiForums Tanzania Huduma za Typing, Editing, Data entry, Graphic design, kwa online service Tucheki

    DIGITAL STATIONARY 1. KUCHAPA (typing), KWA LUGHA ZA (Kiswahili,Kiingereza,Kijerumani,Kifaransa,Kichina,Hindi,Kihispania na Kiarabu) (i). Barua (ii) Curriculum vitae (CV) (iii) Vitabu (iv) Majarida (v) Notes na Makala 2. KUHARIRI (editing) (i) Picha (ii) Curriculum vitae (CV)...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi Online Content Regulations za TCRA

    Habari wa taalamu, Regulation iliyotolewa na TCRA kuhusu uhitaji wa leseni ya maudhui mtandaoni imesema ni kwa wale wanaotoa Predominant Content, ambayo si chini ya 85% kwa wiki. Hii ina maana gani? Naomba ufafanuzi zaidi kutoka kwa Wanasheria. Nimeambatanisha na sehemu inayotaja hiyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Best online shopping from Dubai

    Ndugu zangu naombeni muongozo wa online shopping nzuri from Dubai kwa ajili ya vitu vya jumla. Maana naona kuna wadau wengne wapo humu ni kama vile wajanja wajanja hivi.
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kucheck TIN number yangu online

    Nime-misplace Leseni yangu sasa nataka nipate TIN bila kwenye ofisi za TRA Je, inawezekana?
  16. JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu online dating platforms

    Kuna siku nilikuwa nachat na mdada flani mwenye pesa zake, lakini ana ndoto za kuolewa na mzungu. Hivyo anatumia muda mwingi kwenye online dating platforms akitafuta bwana wa kizungu. Katika kuzungumza akawa amenitajia mtandao flani ambapo kila msg unayotuma inalipiwa. Akaniambia kuanzia mwaka...
  17. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ufugaji samaki online

    Habari wadau Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama umdau au unatamani kupata mafunzo ya ufugaji samaki kuanzia kupima udongo .maji . Kuandaa bwawa . Kuanzia vipimo na idadi ya samaki inayotakiwa kwa urefu x upana x kina . Kujua formula ya chakula .jinsi ya kuweka vifaranga .jinsi ya kujua...
  18. JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
  19. JamiiForums Tanzania Application to watch sports TV channels online in Brazil

    Hello, If you want an application to be able to watch sports channels in Brazil, especially football. You can download playtv geh at TechBigs Do you know other good apps?
  20. JamiiForums Tanzania Zanzibar: RVS online TV yafungiwa kwa miezi miwili kwa kutotoa uwiano sawa kwa vyama vya siasa

    Tume ya Utangazaji Zanzibar imefungia kituo cha RVS Online TV kwa kutoa habari zisizo na uwiano kwa vyama vyote vya siasa na kurusha maudhui yanayoashiria uvunjifu wa amani. Tume ya Utangazaji imesema ilikiita kituo kiliitwa mara ya kwanza Septemba 9, 2020 ili kujibu hoja za ukiukaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…