online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania kupitia Online Marketing

    Karibu wana JF tupeane mawazo ya kuwekeza katika online marketing mfano kuwengeneza website kama jumia kupatana facebook twitter youtube whatsapp halloapp Tuwe na sisi na vya kwetu sio kutegemea vya wenzetu. Karibu tujadiri kwa undani. Natanguliza shukurani.
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna watu wanapiga hela online? Mimi naona kama uzushi tu!

    Habari wakuu Maisha kwa sasa yanaenda kasi sana, Sisi vijana katika harakati za kutafuta pesa tunakutana na changamoto nyingi sana ,sasa kuna hii njia inaitwa "kupiga hela online ,ukiwa na simu yako na bando " Mimi nimeshafanya uchunguzi sana online businesses wanazosema ni zipi hizo au ni hizi...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi nzuri ya kuuza vitabu/courses na muziki online nikiwa Tanzania?

    Pamoja na kwamba mimi ni mgeni humu lakini naomba kupata mawazo juu ya uchapishaji kazi za sanaa online hususani vitabu, njia ambayo inaonekana sasa kuwa mkombozi kwa watunzi wengi tofauti na zile zama za giza ambazo ilimpasa mtu apige kwanza magoti kwa makampuni makubwa ndipo kazi yake iweze...
  4. JamiiForums Tanzania Nasikia kuna drafti mnacheza online hapa Tanzania. Nipeni link niwanyooshe

    Nasikia kuna hii kitu hapa bongo. Nipeni connection.
  5. JamiiForums Tanzania Zambia na Malawi wanatumia online forums ipi?

    Tanzania tunatumia jamiiforums, huko Zambia, Malawi, South Afrika, wanazo hizi locally hosted online forums? Kama zipo ninaomba link nizione please.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa Bima ya Magari: Je, ukinunua online sticker unafata wapi?

    Habari wadau.. Gari limeisha bima leo na niko bush hakuna ofisi za kampuni za bima.. nataka ninunue online kwa sim banking.. Ila najiuliza sticker naipataje? Maana kesho narudi mjini sitaki usumbufu wa traffic njiani
  7. P

    JamiiForums Tanzania Online typing service (Natoa huduma ya kuchapa kazi kwa njia ya mtandao)

    Habari, kichwa cha habari kinahusika. Nahitaji kazi za typing Location: Huduma ni online. Yeyote mwenye documents zenye format tofauti na anahitaji iwe typed tuwasiliane kwaajili ya kazi. Naelewa kuna platform kama fiverr ,guru,upwork n.k ila mimi nahitaji kuanzia hapa JF. Naweza kutumia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza Bakwata kwa kuanzisha Bakwata Online Academy

    Waziri wa Utumishi mh Mchengerwa amesema serikali inaipongeza Bakwata kwa kutia mafunzo ya uongozi kwa waumini wake kwa njia ya Tehama iitwayo Bakwata Online Academy Kadhalika Mchengerwa ameimba wananchi kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakati wote. Chanzo: Channel ten
  9. JamiiForums Tanzania Msaada ku apply chuo online Nacte

    Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na nikajaza taarifa zote. kama inavyoonekana kwenye screenshoot hapo chini. Then ukurasa wa pili ulipofunguka...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kutuma maombi NACTE

    Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na nikajaza taarifa zote. kama inavyoonekana kwenye screenshoot hapo chini. Then ukurasa wa pili...
  11. JamiiForums Tanzania Utapeli online: mitandao yote inawafuga hawa matapeli,kuwakamata ndio rahisi sana

    Wakati usajili wa vitambulisho vya taifa unakuja tuliambiwa ni mwiba kwa matapeli. Je wameisha? Hapana tena wapo sana tu. Kuna visa kadhaa vya utapeli nimeshukudia kikiwemo juzi tu,dada katapeliwa mbele yangu. Inashindikana nini kuwakamata hawa watu? Nilijaribu kumsaidia yule dada nikapiga...
  12. JamiiForums Tanzania Fursa zipo nyingi sana, 5 Online Projects

    Habari wana board! Namshukuru Mungu kwa uzima aliotukirimia, sifa, heshima na utukufu ni kwake Yeye Pekee! Miaka 5 iliyopita nilianza kupata hamasa ya kujifunga mambo ya kuunda tovuti, hii ilichochewa na kuwepo kwa fursa nyingi sana ambazo mimi binafsi niliziona kwenye upate wa IT...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupata (win) Kazi on Upwork

    Lets keep it straight and simple, Upwork ni platform kwaajili ya professionals so, you have to be an expert in your skills na kama sio expert basi ujue how to source that skill properly. Points you should consider au ku-note kabla hujaapply kwa hizo kazi. 1) Apply to your skills related jobs...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji gemu la karata la kucheza wawili mtandaoni

    Hello 👋🏼 tech geeks! Kwanza nahitaji kujua michezo ya karata kama last card na robo sitini (informally: alba stin) inapatikana kwenye app stores na inaitwaje. Nimeona michezo kama poker, blackjack na rummy sasa sijui ni ipi hii. Basi kwa anayeijua hiyo michezo miwili, last card hii ya kibongo...
  15. JamiiForums Tanzania Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

    Mbali na PayPal??.
  16. JamiiForums Tanzania SOFTWARE Insurance covers online

    Kulingana na taarifa ya Mamlaka ya bima nchini (TIRA) Watoa Huduma walielekezwa kuanzia Tarehe 01.04.2021 Kutumia Stika za kielektroniki badala ya stika za kawaida zilizokuwa zikitumika awali. Karibu ujipatie bima kwa ajili ya Chombo Chako Cha Moto Kupitia Mfumo wa kisasa wa Stika Za...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi/ajira kwa walimu kutoka taifa online school

    Job Summary We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE. Job Description A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Sasa Watumishi kuhama vituo vya kazi kidijitali (online)

    Hayo yamesemwa Bungeni leo na David Silinde, Naibu Waziri OR -TAMISEMI. Mfumo huu unaitwa "Human Capital Management Information System" ambapo mtumishi atakuwa na uwezo wa kujihamisha mwenyewe 'online' bila kupitia kwa wakurugenzi. Lengo ni kuepuka urasimu na rushwa. Akishathibitishwa kuhama...
  19. JamiiForums Tanzania Utapeli wa Biashara za online

    Wakuu habari... Siku hizi kama tunavojua kuna biashara nyingi sana za online huku ukifanyiwa delivery either free or malipo kidogo. Japo ni rahisi kushawishika kwa ubora wa bidhaa wanazouza kulingana na uhitaji wako, kuna wauzaji wengine si waaminifu ni matapeli watakuaminisha ulipie nusu ya...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

    Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja. Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja au mwingine, asilimia kubwa ya mauzo ya Rayvanny na Zuchu yanakwenda kwa Diamond , so hata kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…