Wakuu katika ofisi kama hii tunatumia mbinu gani kutoboa

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,577
15,337
Mwanzoni nilikuwa naona napambana na watafutaji wenzagu hapa.
Mpambano ulikuwa mkali maana inafika kipindi hupewi taarifa juu ya jambo ulilotakiwa kutekeleza alafu Baadae Boss anapigiwa kuwa jamaa kakukomea kufanya ulichoagiza.

Mnakubaliana jambo ukianza kutekeleza tu, jamaa wanaibuka kusema hata sisi tunashangaa jamaa sijui nani amemuambia afanye. Wote wanakugeuka.

SASA Moto umepamba baada ya kugundua kumbe Boss na yeye ni mpenzi mkubwa wa majungu na masifa.

Hataki kuona umefanya jambo zuri au jema lenye manufaa la kibunifu. Anaumia anaona umemzidi. Yuko radhi hata mpate hasara au kitu kife kuliko kuchukua ushauri mwema unaompa maana itaonekana ni wewe ndiye utapata sifa.

Kimbembe ni pale ambapo katika mkutano wa wafanyakazi watu tumetoa hoja na mapoints ila nyamwezi niliposhusha hoja kila baada ya kituo natiririshiwa makofi lukuki. Hiki kitendo kilimfanya bosi avimbe balaa hadi akasusa na kuacha kikao mikononi mwa wasaidizi wake na kukaa nje.

Hili life nalipenda sana maana najifunza mengi ila natamani mbinu za kisasa za kutoboa katika mazingira kama haya dhidi ya masnichi kama hawa na bossi wa namna hii.
 
Katika ajira nyingi hiyo changamoto ipo kwa sana. Kikubwa amini katika haki, kuona wenzio bora kuliko wewe na pia penda kujishusha rafiki.

Tanzania katika baadhi ya taasisi bado sana kukubali ushauri chanya ambao ni msaada kwa viongozi na taasisi yenyewe. Pole sana kijana, huo ndio ukubwa sasa.

Karibu.
 
asante, mkuu
sentensi ya kwanza na ya pili ziko nyema sana
 
Mwanzoni nilikuwa naona napambana na watafutaji wenzagu hapa.
Mpambano ulikuwa mkali maana inafika kipindi hupewi taarifa juu ya jambo ulilotakiwa kutekeleza alafu Baadae Boss anapigiwa kuwa jamaa kakukomea kufanya ulichoagiza.

Mnakubaliana jambo ukianza kutekeleza tu, jamaa wanaibuka kusema hata sisi tunashangaa jamaa sijui nani amemuambia afanye. Wote wanakugeuka.

SASA Moto umepamba baada ya kugundua kumbe Boss na yeye ni mpenzi mkubwa wa majungu na masifa.

Hataki kuona umefanya jambo zuri au jema lenye manufaa la kibunifu. Anaumia anaona umemzidi. Yuko radhi hata mpate hasara au kitu kife kuliko kuchukua ushauri mwema unaompa maana itaonekana ni wewe ndiye utapata sifa.

Kimbembe ni pale ambapo katika mkutano wa wafanyakazi watu tumetoa hoja na mapoints ila nyamwezi niliposhusha hoja kila baada ya kituo natiririshiwa makofi lukuki. Hiki kitendo kilimfanya bosi avimbe balaa hadi akasusa na kuacha kikao mikononi mwa wasaidizi wake na kukaa nje.

Hili life nalipenda sana maana najifunza mengi ila natamani mbinu za kisasa za kutoboa katika mazingira kama haya dhidi ya masnichi kama hawa na bossi wa namna hii.
Endelea kumuumiza boss Hadi aje kuwa mshkaji wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni mtumishi wa umaa usitegemee kutoboa labda ujaribu kufanya private sectors au kwenye NGO where you are free to practice creativity and innovations au jiajiri mkuu
 
SASA Moto umepamba baada ya kugundua kumbe Boss na yeye ni mpenzi mkubwa wa majungu na masifa.....,
emoji1542.png
shida iko hapo

Jr
emoji769.png
hahahaha
mkuu hapo ni balaa.

Tunatoboaje hapo mkuu.
Endelea kumuumiza boss Hadi aje kuwa mshkaji wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana ushikaji. Ukiperform kupitiliza anakuiga zengwe akishirikiana na washkaji zake wanaompelekea taarifa hadi unakimbia ofisi bila kuresign wala kufukuzwa. Sasa hapo mimi nataka nikomae hata nikwazweje siziri wala siondoki
 
Nenda kama wenzako mkuu, acha kujifanya mjuaji. Ilimradi mshahara wako unapata wewe kuwa kama wao.

Kuwa mtata endapo una cheo tayar, lasivo utaendelea kuonekana irrelevant kwa wenzako
 
hahahaha
mkuu hapo ni balaa.

Tunatoboaje hapo mkuu.

Hana ushikaji. Ukiperform kupitiliza anakuiga zengwe akishirikiana na washkaji zake wanaompelekea taarifa hadi unakimbia ofisi bila kuresign wala kufukuzwa. Sasa hapo mimi nataka nikomae hata nikwazweje siziri wala siondoki
Mkuu ukiwa job, hebu jaribu kupunguza kiherehere
 
Nenda kama wenzako mkuu, acha kujifanya mjuaji. Ilimradi mshahara wako unapata wewe kuwa kama wao.

Kuwa mtata endapo una cheo tayar, lasivo utaendelea kuonekana irrelevant kwa wenzako
Kuna lijamaa flani hapa ofisini kila likichambwa na boss linaitikia" uko correct boss, sawasawa hata hujakosea" mi namuangaliaga nasema duhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom