nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Pump Attendants wana nafasi nzuri ya kuwaelimisha madereva

    Naenda moja kwa moja kwenye mada. Jana nimepita kujaza mafuta kwenye kituo kimoja sitakitaja nimefurahishwa sana na uelewa aliokuwa nao pump attendant aliyekuwa ananihudumia, ni hivi nilipofika pale nimesimamisha gari akaniamrisha nizime gari nikazima lakini nikasema ngoja nimhoji ni kwanini...
  2. aise

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wenye roho nzuri kama walevi

    Wakuu kwanza mimi siyo mlevi, Ila Hakuna watu wenye ubinadamu kama walevi. Anzia wachungaji, maaskof mpaka polisi. Ukipata shida fulani watafute kwanza walevi. Walevi wa pombe, bangi n.k Hawa watu wakisaidia wanasaidia kweli kweli bila kinyongo. Hongereni sana walevi.
  3. Prince mimi

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 10M nitapata Premio au Runx nzuri?

    Habari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu. Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx? Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.
  4. RobeCisco

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri ya serikali mixture

    Habarini....nilikua naomba kuulizia shule nzuri ya serikali ambayo ni mixture a level PCB combination.
  5. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Njombe mjini lodge gani nzuri ya kufikia

    Kwa wenyeji wa njombe ni Lodge gani nzuri naweza fikia pia na leta shukrani zangu kwa yule ndugu wa JF aliye nipa namba za watu wa ABC VIP class hakika ni usafiri mzuri 🙏🙏
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wanaokunywa pombe kiasi wana afya nzuri kuliko wasiokunywa

    Pombe inafaida sana kwenye afya ya mtu. Lakini kama kitu kingine chochote, ukizidisha ina madhara sana. Sayansi iligundua zamani kwamba wanaokunywa pombe kiasi wana afya kuliko wasiokunywa.
  7. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Wakuu, Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa... Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Auditor Officer II au Accounts Officer II huko halmashauri, ipi nzuri?

    Nataka kuomba moja ya nafasi kati ya hizo mbili. Je, ni ipi ina ulaji na magumashi mengi pamoja na masafari mengi na trainings huko halmashauri?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Hivi desturi ya Kujenga nyumba nje nzuri ndani ovyo tumeitoa wapi Tanzania

    Watanzania wengi tunamatatizo ya Ushamba hasa katika ujenzi wa nyumba, kiukweli sisi ambao tumekulia sana nchi za nje tunaona mambo ni tofauti sana. Katika ujenzi wa nyumba hapa nchini, nyumba nyingi ni nzuri sana kwa nje na zimejengwa kwa gharama kubwa nje kuliko ndani, utadhani huko nje ya...
  10. Poker

    JamiiForums Tanzania Hii fashion mpya ya Harmonize ni nzuri apewe sapoti!

  11. L

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya vimulimuli waunda mandhari nzuri usiku wa kiangazi

    Mamilioni ya vimulimuli waunda mandhari nzuri usiku wa kiangazi
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya kimila ni ndoa nzuri sana kwa wanaume wa kikristo matajiri zama hizi

    Habari wadau. Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni mingi sana. Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa 3. Ambazo ni ndoa za kidini, ambazo ni ndoa ya...
  13. Sauda

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ipi nzuri kati ya ky jelly na kly jelly?

    Eti hivi kuna tofauti ipi kati ya vilainishi hivi, Ky Jelly na Kly jelly. Sina uzoefu navyo msaada jamani na ipi nzuri maana hata majina hayafanani, moja ni ky, nyingine kly
  14. Lavit

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Redmi Note 9s inauzwa bei nzuri

    ..
  15. L

    JamiiForums Tanzania App gani nzuri na ina ligi nyingi za kuangalia live kwenye smartphone?

    Ni App gani nzuri na ina mechi nyingi za mpira wa miguu ambayo naweza kuweka kwenye smartphone?
  16. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Hospital nzuri ya kujifungulia Dodoma

    Habari, Naomba kujua ni hospital gani nzuri ya kujifungua kwa Dodoma mjini…ni mgeni kwa Mkoa wa Dodoma… Natumia bima. Asanteni
  17. M

    JamiiForums Tanzania Jamani Ile Historia yetu nzuri sana bado ipo?

    Kwamba mtu wa kale zaidi kuishi hapa duniani alitoka Tanzania, katika mapango ya Olduvai Gorge!! Tuliisoma sana primary enzi hizo.
  18. J

    JamiiForums Tanzania photocopy machine nzuri

    naomba kujua photocopy machine( black and white) all in one nzuri ambayo ni heavy duty kwa stationery ya kuanzia m1 to m3 used but in good condition
  19. E

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kufurahia sikukuu Moshi

    Habari wakuu .. Nauliza kwa wenyeji wa moshi au wenye uzoefu. Ni sehemu gani nzuri ya kufurahi na kuenjoy Moshi Ahsanteni
  20. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Mwenye Toyota Allion nzuri au Premio pitia hapa

    Natafuta gari tajwa hapo juu mwenye nayo isiwe ya udalali. Nahitaji gari safi ilionyooka bila vipengele offer yangu 9M. Nicheki DM fasta angalizo gari iwe number D yeyote ile ila gari iwe imetunzwa vizuri. Kama gari yako imepasuka vitasa au dashboard na body iliobondeka bondeka kausha. Hii ni...
Back
Top Bottom