nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza nzuri ya kusomea inauzwa

    Nauza meza ya kusomea/kuandikia bei chee - Temeke, Dar es salaam. Bei: 60,000/-
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tuition centre ipi hapa Dar es Salaam ni nzuri kwa Masomo ya science O level?

    Wakuu naomba msaada wenu. Nataka niwapeleke watoto wangu wawili kwenye tuition centre nzuri hapa Dar wakati wa likizo hii ya summer, kwa Masomo ya science: physics. Chemistry, maths na biology. O level form 3 Naomba ni fahamu bei yake ya kila somo pia. Natanguliza shukran
  3. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Template nzuri ya CV

    Hi guys, naomba mwenye sample ya CV nzuri anisaidie. Nachohitaji ni ile format/template nzuri nimejaribu kugoogle ila sipati kile kitu nahitaji. Unaweza nitumia kwa email stevhinoz@gmail.com
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nitapata Wapi Riwaya Nzuri za Zamani

    Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani nzuri ya kutumia laptop kitandani na kuzuia isichemke sana?

    Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop. Tunawezaje kutatua hili tatizo?
  6. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri je kwa kwa matokeo aya anaweza kusoma kozi gani nzuri

    Wadau naomba ushauri huyu mjukuu wangu he kwa matokeo aya anaweza kwenda kusoma kozi gani au chuo gani General study E History E Geography E English D Ana dv 3 ya 14
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania The Sea Beast ni animation nzuri sana. Nimependa wametumia mtoto mweusi.

    Nafikiri kati ya animations bora kutoka mwaka hii, hii namba moja. Story yake, waigiza sauti na action zote ni za kiwango cha juu. Kitendo cha kumtumia binti mweusi ni safi sana. Hizi vitu huwa zinachangia sana kujenga watoto kujithamini nk. Hii nafikiri itasumbua kwenye Oscar za 2022.
  8. cold water

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara: Duka la rasta, stationery na duka la dawa muhimu

    Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
  9. Kunguru wa Unguja

    JamiiForums Tanzania Nahitaji simu nzuri upande wa camera, Processor na storage(ROM) kuanzia 64GB Ila isiyo Apple

    Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

    Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka) Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana Pascal Mayalla aone...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ni antivirus ipi ni nzuri na inaweza kuweka ulinzi mzuri dhidi ya virus na harkers ikiwezekana?

    Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
  12. Amina68

    JamiiForums Tanzania NECTA ACSEE RESULTS: Shule zilizoongoza kwa kila mkoa, wazazi mjue shule nzuri sasa

    NECTA ACSEE RESULTS: SHULE ZILIZOONGOZA KWA KILA MKOA 1.MWANZA- SUMVE SECONDARY SCHOOL 2.TABORA-TABORA BOYS 3.SIMIYU-MKULA SECONDARY 4.KILIMANJARO-USANGI DAY 5.Morogoro-MZUMBE SECONDARY 6.KAGERA- KEMEBOS 7.ARUSHA -KISIMIRI 8.Manyara-Dareda secondary 9.Tanga-mkindi secondary...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nasikia kwenye kupambana na foleni Round about ni nzuri kuliko mataa ya barabarani ni kweli?

    Nimesikia ikisemwa kuwa round about ni nzuri kupambana na foleni sababu magari yanakuwa kwenye mwendo muda wote. wataalamu, Hili lina ukweli wowote?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya ushauri wa kufanya field ipi ni nzuri?

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi 1. Software developer 2. Database administator 3.Network engineering 4.security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya ushauri field ipi ni nzuri?

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi 1. Software developer 2. Database administator 3.Network engineering 4.security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Kitengo cha CMI JWTZ na wale TISS mliokuwa 'penetrated' JWTZ kwa Kazi nzuri ya CDF mpya Jenerali Mkunda

    Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania. Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya...
  17. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza nguo aina ya tshirts bell, truck suit nzuri sana. Karibu dukani

    Kwa mahitaji ya tshirt kali na Truck suits za kijanja. Karibu sana kwenye duka letu linalopatikana MTAA WA CONGO NA MARUNG’OMBE. Kwa bei nafuu kabisa. Tshirts 16,000/- Trucksuits 28,000/- Pensi 18,000/- Pia tunauza kwa bei ya JUMLA. Wasiiana nasi whatsapp au piga simu 0719 100 591. Asante kwa...
  18. eli_dealz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Quality SIMU kwa bei nzuri

    Tuanze na IPHONE 7 32 GB USED BEI : SOLD SOLD LOCATION : DAR ES SALAAM CONTACT : 0764081567 - Call and Whatsapp
  19. B

    JamiiForums Tanzania Battery ipi ni nzuri kwa N60 ya IST

    Wadau napenda kujua battery nzuri ya gari. Nilinunua TOP POWER hata miezi 7 haijafika inazingua mara asbh igome kuwasha gari. Msaada kwenye tuta
  20. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua app ipi nzuri ya kudowload video hatamkama mtandao uko weak!

    Waungwana hebu mnijuze app ya kudowload video youtube kwenye pc hatakama mtandao uliosetiwa hauna nguvu....
Back
Top Bottom