Ni dhahiri kuwa wapinzani wameridhika na kazi nzuri ya rais Samia akitekeleza ilani ya CCM. Ndio maana wapo kimya wala hatusikii wakimkosoa.

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Wanaona ilani ya CcM inatekelezwa vyema na wao wanafurahia na kuuchuna kimoyomoyo maana maendeleo yanapatikana.

Hakuna mgao wa umeme, miradi ya maji inazinduliwa kila kona, madarasa yamejengwa na wanafunzi wameenda shule. Barabara zinajengwa miundo mbinu inaimarishwa kila kona.

Hatusikii wapinzani kulalama kero zozote toka wa wananchi hii ni dalili kuwa Mama Samia anapiga kazi nzuri kwa kutekeleza ilani ya CCM.
 
kama mnataka katiba mpya basi museme ni nini mnataka kiwemo katika katiba mpya kuliko kudai katiba bila madai ya msingi... maana maudhi yake yako hivi. serikali itateua tena mtu wa kutafuta maoni ambaye atatumia mamilion ya ngawila kukusanya maoni ya watu. tena ataenda vijijini kuliko na darasa la saba wengi ambako hawajui hata nini maana ya madaraka ya raisi, uhuru wa mahakama uteuzi wa majaji na mawaziri kupitia dibeti ya bunge,kulinda didhaa zitengenenezwazo nchini, na raisi kutopata kinga ya kushitakiwa.. akimaliza kukusanya maoni utamsikia kuwa watu wengi wanadai serikali ya tanganyika. utakuta inaanza dibeti ya serikali ya Tanganyika au serikali tatu, mbili nk tuu na hakuna jipya litakiwalo katika katiba.
 
Back
Top Bottom