nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msela Lowkey

    Msaada wa Dawa nzuri ya matonsi na kikohozi

    Habari za kazi wakuu nilikua nasumbuliwa na Matonsi na kikohozi...nilikua naomba msaada wa dawa nzuri ya kutumia
  2. The only

    Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

    Mimi mtanzania nina kazi yangu kama ya mwezi ntakuwa hapa . Tatizo sijui jiji hili raha mnakula wapi hela ninazo sijui pa kwenda kidogo nilienda nairobi west baa inaitwa alaska nikahisi nipo dar mitaa ya sinza.
  3. M

    Hatimaye Utetezi wa Kipropaganda umeshaanza kuwa Yanga SC jana ilifungwa na Rivers United FC kwa Kukosa Pre Season nzuri

    Kiherehere chenu cha Kujitutumua nanyi kwenda nchini Morocco Kuwaiga Simba SC ili mkae Siku 10 na mkaa Siku 5 tu Kifurushi cha Kisinda kikaisha kilitoka wapi? Aliyewaambieni mfanye Usajili wa 75% ya Kikosi chenu badala ya 50% ili Timu ibaki na Rythm yake ile ile na muendelee kufanya vyema ni...
  4. Toosie Slide

    Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

    Salaam Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka. Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na mfuatiliaji wa cartoon au animation. Nyingine kali nilizozicheki ni: Sing Frozen 1&2 Tangled ever after...
  5. Red Giant

    Kuifanya bangi kuwa kosa la jinai naona kama siyo move nzuri

    Serikali imeamua kubana zaidi matumizi ya bangi. Nchi nyingi zimegundua vita dhidi ya dawa za kulevya ni futile hivyo zimeamua kudecriminalize matumizi ya madawa ya kulevya. Kutumia madawa kwa baadhi ya nchi siyo kosa la kufungwa. Nasikia nchi kama Ureno zimefanya hivyo, na matokeo yamekuwa...
  6. AA TANCH TRADING COMPANY

    Tovuti 10 zinazoongoza kwa mauzo ya simu za iphone Tanzania. Kwa bei nzuri na uhakika

    Mauzo ya simu kwa sasa yameongezeka sana. Kutokana na uwepo wa ushindani mkubwa katika soko. Pia tukiangalia na kazi ya simu za mkononi. Zipo kukurahisishia upatikanaji wa taarifa. Na upatikanaji wa huduma nyingine nyingi ambazo zinatuwezesha. Kuongeza ufanisi katika kazi zetu na masomo yetu...
  7. U

    Msaada: Ni ipi aina bora ya sola paneli?

    Ninahitaji sola paneli ya watt 120 kwa ajili ya kuwashia taa, TV na laptop! Kwa wale wajuzi ninunue aina gani?
  8. Cicadulina

    Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

  9. H

    Naomba ushauri juu ya brand bora ya magodoro 5x6

    Nahitaji ushauri juu ya brand nzuri ya magodoro ya kulalia, nahtaji kununua godoro la inch 8 au 10 kwny kitanda cha 5x6 ila ambalo ni mkataba kabsa linadumu kwa mda mrefu. Na je ni vitu gani vya kuangalia wakat wa kuchagua godoro zuri.
  10. TheDreamer Thebeliever

    Nataka kwenda kuwekeza kampuni ya ujenzi nje ya Tanzania ni nchi gani nzuri na taratibu zake zipoje kwa muwekezaji mgeni?

    Habari wadau..! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nipeni mawazo nikawekeze nchi gani,wajuzi mtupe taratibu za uwekezaji wa kamapuni ya Building and Civil katika nchi husika.
  11. mamba1

    Ni benki ipi nzuri kupokelea mshahara kati ya CRDB na NMB?

    Naomba msaada kuhusu ni benki nzuri inayotoa huduma kiurahisi kati ya Nmb na Crdb naaamanisha kuwahi kutoa pesa mapema ya mshahara
  12. mjusilizard

    Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

    Wasalaam, Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake. Kuna jamaa mmoja kwenye Ofisi yangu ya zamani alifunga ndoa kwa sherehe kubwa na baada ya miezi mmoja akawa anadaiwa karibia na kila...
  13. maishapopote

    Biashara Zimestuck na Hali ya uchumi si nzuri...

    Hali ya biashara sio nzuri kabisa...nimeona vitu hivi nikajifikiria sana 1.watu wengi sana wanafungua biashara then soon wanafunga,biashara nyingi zinaigwa 2. biashara ya daladala zimedoda sana mida ya saa tatu hadi saa tisa 3.ugonjwa umechangia sana...watu hawatoki hovyo, nahisi kama...
  14. DustBin

    SoC01 Njia nzuri za kupunguza ajali za bodaboda

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la matumizi ya pikipiki kama njia ya usafirishaji kuanzia mijini hadi vijijini hapa kwetu Tanzania. Matumizi ya pikipiki maarufu kama Bodaboda yamepunguza adha na changamoto ya usafiri kwa kiasi kikubwa sana hasa katika maeneo ambayo...
  15. P

    Kozi ipi ni nzuri kwa mwalimu wa shule ya msingi?

    Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani? Ufaulu div 3.13 HGK Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
  16. aka2030

    Msaada gari ipi nzuri kati ya subaru Forester xt Outlander na Nissan Dualis

    Members naombeni mawazo hapo gari gani nzuri kwa Mtanzania mwenye kipato cha kawaida anayetaka kumiliki gari ya juu
  17. TheDreamer Thebeliever

    Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

    Habari wadau. Ebu tupeane ushauri ni aina gari ya gari ambayo nikiwa nayo nitavimba hapa mjini?
  18. Gudasta

    Msaada kuhusu rangi nzuri ya picha kwenye hisense Tv vidaa

    Ndugu wana jamvi kama thread inavyojieleza, Naomba mdau ambaye anatumia au ameishawahi kutumia tv aina hii, naomba aniambie mchanganyiko mzuri wa rangi ili niweze kupata picha nzuri katika hisense vidaa 55'' Naomba mchanganyiko wa rangi, kwa mfano Picture mode nichague ipi kati ya...
  19. ngotho

    Laptop nzuri ni ipi? Nataka ya Tsh. 400,000

    Wakuu nawasalimia kwa jina la Yesu Wale wenzetu waislamu salaam aayqum. Wakuu ivi kwa mtu anayesomea Bachelor of Science in Business Information Technology anafaa awe na PC gani? Budget yangu ni 400,000/= je naweza kupata inayoendana na kozi yangu hiyo? Naombeni ushauri.
  20. The Assassin

    BoT: Hatua za kisera kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba

    Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi. Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%. Binafsi napongeza hizi hatua za...
Back
Top Bottom