Natafuta simu nzuri kwa 250k

Wakuu naombeni ushauri kwa simu nzuri yenye ram kuanzia 3 lakini bei yake iwe ni 250k lakini isiwe Tecno.
Sumsung A52 Used kama Mpya nicheki 0626752501
Screenshot_20230315-124721_Lite.jpg
 
Wakuu naombeni ushauri kwa simu nzuri yenye ram kuanzia 3 lakini bei yake iwe ni 250k lakini isiwe Tecno.
Chukua samsung A04e mpya full box kwa 220k 3/32GB au 240k 4/64GB utafurahia yafuatayo
1. Camera average 8/10
2. Battery excellent 9/10
3. Design nzuri 9/10
4. Processor 8/10
5. Screen 7/10
6. Software one ui 9/10
7. Durability 9/10
Hiyo simu nimeitumia najua nachosema, ingia YouTube na gsm arena usome reviews watumiaji wameisifia sana. Nakuhakikishia hutajutia pesa yako
Karibu
 
Hiyo simu hupati kwa bei hiyo hapa Bongo na hizo ratings ni kubwa kuliko uhalisia wa hiyo simu ambayo ni lowend, ingekuwa inapatikana kwa bei hiyo hapa Tanzania basi ingefaa.
Lakini madukani wauzaji wanauza bei za ovyo kama laki 3 na bei ikishakuwa laki 3 tu basi Samsung sio chaguo zuri, hususani chipset zao nyingi kwa bei hiyo ni MediaTek Helio P35. Labda kama unataka simu inayowaka na kuzima, au inayopiga na kupokea na task ndogo ndogo sana.

Kingine gsmarena hata Tecno za ovyo zinasifiwa sana na watu wanaocomment pale chini huku simu za maana kama S23 Ultra watu wanazipigia kelele na kuziponda. Kila mtu huwa anacomment pale na mtu mmoja anaweza kutumia majina hata kumi tofauti tofauti na kuandika comment yake pale. So dishonest
 
Chukua samsung A04e mpya full box kwa 220k 3/32GB au 240k 4/64GB utafurahia yafuatayo
1. Camera average 8/10
2. Battery excellent 9/10
3. Design nzuri 9/10
4. Processor 8/10
5. Screen 7/10
6. Software one ui 9/10
7. Durability 9/10
Hiyo simu nimeitumia najua nachosema, ingia YouTube na gsm arena usome reviews watumiaji wameisifia sana. Nakuhakikishia hutajutia pesa yako
Karibu
Hiyo simu hupati kwa bei hiyo hapa Bongo na hizo ratings ni kubwa kuliko uhalisia wa hiyo simu ambayo ni lowend, ingekuwa inapatikana kwa bei hiyo hapa Tanzanian basi ingefaa.
Lakini madukani wauzaji wanauza bei za ovyo kama laki 3 na bei ikishakuwa laki 3 tu basi Samsung sio chaguo zuri, hususani chipset zao nyingi kwa bei hiyo ni MediaTek Helio P35. Labda kama unataka simu inayowaka na kuzima, au inayopiga na kupokea na kufanyia task ndogo ndogo sana.

Kingine gsmarena hata Tecno za ovyo zinasifiwa sana na watu wanaocomment pale chini huku simu za maana kama S23 Ultra watu wanazipigia kelele na kuziponda. Kila mtu huwa anacomment pale na mtu mmoja anaweza kutumia majina hata kumi tofauti tofauti na kuandika comment zake pale ili ionekane watu wengi wana idea kama yake. So dishonest
 
Back
Top Bottom