Habari za muda huu wapendwa.
Nimekuja kwenu naomba mnijuze kuhusu muvie iwe single au series ambayo ni nzuri kuangalia mkiwa na mpenzi wako tu. Yaani ambayo iko romantically [emoji39].
Mimi kuna series moja ambayo nadhani wengi wenu mnaifahamu inaitwa blood and sands (SPARTACUS). Hiyo kila...
Aina: Boss
Hali yake: Nzuri sana
Bei: 550,000
Lilipo: Dar es Salaam
Mawasiliano:- 0675341515
NB:
FREEZER HAINA SHIDA YOYOTE NA WALA HAIMJUI FUNDI. NAIUZA KWASABABU SINA Matumizi nayo kwa sasa
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?
Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu...
Mzee Yusuph Makamba amesema "Tusimfundishe namna ya kufanya kazi hatumtendei haki...niulize kwa haya yanayoendelea je kuna mwenye mashaka tena na uwezo wake hadi sasa? Rais Samia kwetu Watanzania ni kiongozi bora, anatosha. Wakae watulie sasa"
Ameongeza kuwa "Muhimu tumwombee kwa kuwa ni...
Ukifika Zanzibar huwezi kukutana na Hawa wanawake watembea uchi
Pia hata ukipoteza sm Zanzibar unaletewa
Nilikaa Zanzibar Mika miwili niseme wale Jamaa wana heshima Sana na maadili Bora Sana .
Niseme ntarudi Zanzibar
Ramadhan kareem
Baada ya draw ya Kombe la Shirikisho Afrika na Yanga kupangwa na Rivers United ya Nigeria, mashabiki wa Yanga wameonekana wenye matumaini makubwa ya kufuzu Nusu Fainali kwa kuona Rivers pengine ni timu ya kawaida na wanauwezo wa kuitoa.
Yanga ilivyopangwa na Rivers United, viongozi na baadhi ya...
Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta.
'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile.
Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
Basi usijali ilinichukua mda sana kujifunza na nkafanya uchunguzi ni sehemu gani sahihi ambayo mtu anaweza kununua na kuuza cryptocurrency.
Basi jawabu lenyewe ni coinsmart. Hili ni kampuni linalijihusisha na masuala ya kuuza na kununua crypto lakini pia utaweza kujifunza mengi zaidi.
Ukiwa na...
Natambua mpaka mzigo uishe ndo tunaweza pata hesabu za faida na hasara vinginevyo itakuwa tuna assume tu. Ila kama inawezekana unaweza nipatia formula ili nione inavyokuwa.
Kuna hizi bidhaa hapa
Bidhaa zinazokuwa kwenye package moja ila zinauzwa moja moja labda ndani ya package ziko mia na...
Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.
Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.
Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.
Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
Naomba kufahamishwa ukweli, nimekuwa nasikia mitaani kuwa ulaji wa mboga za majani aina ya Kabichi siyo mzuri kwa afya kwa watu wenye ugonjwa wa Goita.
Mimi kama mdau wa mboga za majani huwa napata wasiwasi sana juu ya maelezo haya. JamiiForums naomba mnisaidie kujua ukweli wake.
Nawasilisha.
Watanzania ni lazima waeleweshwe vizuri. Biashara ya Ndege haina faida. Biashara ya Ndege ya ATC faida yake ni kusaidia biashara nyingine muhimu kama utalii na mizigo kama ya kilimo, Maua na mifugo.
Sasa kuna wasomi wengi nashangaa wana lalama eti ndege ya saudi ambayo itakuja kuchukuwa mizigo...
Wakuuu za sahizi nipo Dar nilikuwa natafuta PC
Au laptop nzuri ya 2.2M kama budget yangu
Nilikuwa naomba muongozo wa sehemu nzuri ya kuipatia na pia specifications zake
Napendelea kampuni ya dell
Nipo chuo 1st year napiga IS
Shukrani 👍☺️
Kwanza salaam
Unguja na Pemba ndiyo zao la nchi ya Zanzibar ila nitoe exclusion kwa Pemba sijawahi kufika ila unguja/Zanzibar imejawa kila aina ya uchafu licha kuwa watu wake asilimia 90 ni waislamu.
Mifumo ya maji taka ni mibovu hakuna streets chember au mifereji ya maji taka mfano maji ya...
Mchezo wa soka (mpira wa miguu) ni mchezo unaopendwa na watu wengi sana Duniani. Kwa hapa Bongo ni kama ndo epicenter ya soka! Soka linapendwa hapa Bongo balaa!
Kuna wakati niliwahi kumwambia rafiki yangu mmoja kwamba kwa "uwazimu" huu wa upenzi wa soka hapa Tanzania hasa katika mechi za Simba...
Naweza kuwa na faili muziki, video au pdf ya mashairi mfano wimbo wa zali la mentali wa professor jay, hapa inabidi niuweke kwenye mafolder kama:
Bongo flava,
Tanzania
2000s
Bongo Records
Professor Jay
Juma Nature
Kuna software ambayo naweza kupachika tags kirahisi, yani nikilikuta faili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.