Monastir ni timu nzuri kiufundi na imetimia kila idara lakini wanakutana na Yanga iliyotimia zaidi na yenye njaa ya mafanikio

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,723
Tunategemea mechi nzuri sana na yenye ushindani mkali leo hii kwakuwa zinakutana timu ambazo zote ziko vizuri kiufundi na zikiwa na wachezaji bora kwenye vikosi vyao, Monastir walimfunga yanga goli 2 kule Tunisia na aina ya magoli ambayo walifunga ni mipira ya kutengwa (set pieces), ni eneo ambalo yanga watakuwa wamelianyia kazi vya kutosha na sidhani kama watafanya tena makosa ya kuruhusu mipira ya namna ile.

Ushindi kwa yanga leo hii ni kitu kisichoepukika ni sawa na maji usipoyanywa utayaoga, Yanga kwa sasa wanayo timu bora, benchi bora la ufundi na wanajiamini sana.

Yanga kupata matokeo kwenye uwanja wowote ule hapa afrika sio story tena kutokana na confidence waliyonayo kwa sasa.

Kwa maana iyo Monastir wajiandae kukutana na yanga tofauti na ile waliyocheza nayo mechi ya kwanza. Ni mechi dume na nzuri sana na ni kipimo tosha kitakachoonyesha ubora wa kikosi cha yanga walichotengeneza kwa sasa ambacho kinawafanya wasiwe na stress wala wasiwasi wanapocheza mechi yoyote ile iwe ndani ya nchi ama nje ya nchi.

Nauona ushindi wa yanga aijalishi magoli mangapi bali watasonga mbele na nawaona wakifika nusu fainali kwa mara ya kwanza katika historia.
 
Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.

Yanga hafuzu,nipo paleeee....
 
Sawa, ni maoni yako yanaeshimiwa but subilia icho unachokiwaza kichwani mwako kuanzia saa moja jioni!
 
Hakuna wa kuizuia Yanga kutinga robo fainali.
Mwarabu amekuja siku mbaya Kwa Mkapa , Hakuna namna ata toka salama.
Kwi kwi umeandika huku unatoka jasho mwili mzima kwa uoga
 
Itakuwa mechi nzuri nayo hii, hata Hawa watunis wanayataka matokeo kwani naona wanataka kuongoza kundi Hadi mwisho, naamini mechi itakuwa ya kuvutia.
 
Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.

Yanga hafuzu,nipo paleeee....
Tangu lini Makolokolo akawa na akili hata ya kuvukia barabara ilihali yeye ni "Mbumbumbu"? CC Aden Rage.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.

Yanga hafuzu,nipo paleeee.....
Hapo Lubumbashi yanga atapakiwa mkongo hamna rangi ataacha ona
 
Tunategemea mechi nzuri sana na yenye ushindani mkali leo hii kwakuwa zinakutana timu ambazo zote ziko vizuri kiufundi na zikiwa na wachezaji bora kwenye vikosi vyao, Monastir walimfunga yanga goli 2 kule Tunisia na aina ya magoli ambayo walifunga ni mipira ya kutengwa (set pieces), ni eneo ambalo yanga watakuwa wamelianyia kazi vya kutosha na sidhani kama watafanya tena makosa ya kuruhusu mipira ya namna ile.

Ushindi kwa yanga leo hii ni kitu kisichoepukika ni sawa na maji usipoyanywa utayaoga, Yanga kwa sasa wanayo timu bora, benchi bora la ufundi na wanajiamini sana.

Yanga kupata matokeo kwenye uwanja wowote ule hapa afrika sio story tena kutokana na confidence waliyonayo kwa sasa.

Kwa maana iyo Monastir wajiandae kukutana na yanga tofauti na ile waliyocheza nayo mechi ya kwanza. Ni mechi dume na nzuri sana na ni kipimo tosha kitakachoonyesha ubora wa kikosi cha yanga walichotengeneza kwa sasa ambacho kinawafanya wasiwe na stress wala wasiwasi wanapocheza mechi yoyote ile iwe ndani ya nchi ama nje ya nchi.

Nauona ushindi wa yanga aijalishi magoli mangapi bali watasonga mbele na nawaona wakifika nusu fainali kwa mara ya kwanza katika historia.
Mbona mayowe mapema hivyo subirini mkeketwe

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.

Yanga hafuzu,nipo paleeee....
weka akiba ya maneno kolo
 
Wananchi tunakwenda kufuzu robo fainali leo kiulaini kabisa, kama alivyokufa Tp Mazembe na mwarabu anakufa hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom