Movie nzuri ya kuangalia mkiwa wawili wa jinsia tofauti

kibenten

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
499
507
Habari za muda huu wapendwa.

Nimekuja kwenu naomba mnijuze kuhusu muvie iwe single au series ambayo ni nzuri kuangalia mkiwa na mpenzi wako tu. Yaani ambayo iko romantically .

Mimi kuna series moja ambayo nadhani wengi wenu mnaifahamu inaitwa blood and sands (SPARTACUS). Hiyo kila nikipokuwa naiangalia nikiwa peke yangu lazima nipige nyeto .

Sasa wifi yenu amekuja nataka tukiwa free tunachek muvi. Naombeni mnishirikishe ni muvi gani itanifaa.

NB: Isiwe Bongo Movies .
 
Inategemea yeye anapenda movie gani sasa, mademu wengi ni wapenzi wa action and thrillers!

Wanawake waliokomaa kidogo ndio hupenda romantic movies! 28 and above ukiona bado linapenda movie za Anodi mpaka age hio jua mtambo huo! Usioe!
 
Yeye ana 25 na hapendi action
 
Back
Top Bottom