Habari wana JF.
Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara mpaka nyumba ya kupanga ninayoishi,najiona nimekua na mzigo mkubwa wa kulipa kodi mpaka nashindwa...