Kurudi nyumbani na kujipanga upya

Kurudi nyumbani na kujipanga upya

taekwondo

Senior Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
131
Reaction score
244
Habari wana JF.

Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara mpaka nyumba ya kupanga ninayoishi,najiona nimekua na mzigo mkubwa wa kulipa kodi mpaka nashindwa fanya moves nyingine.

Nimewaza kitu ambacho sijui nitafikiriwa vipi na wanaonizunguka ila kwa upande wangu naona itakua ni ahueni!!

Nimewaza kuhama nilipopanga na nirudi nyumbani kwetu,kupunguza kodi moja na kuongeza nguvu kwenye biashara ili ni make at least na mie nijenge mji wangu,maana umri wazidi kimbia.

Naombeni ushauri wenu kama ninalowaza ni sahihi au si sahihi!!
 
Umesema umeoa na uko na watoto wawili, sidhani kama hilo wazo la kurudi kwenu litakua zuri sana hasa kama hakuna bond ya kutosha baina ya ndugu zako na huyo mkeo.

Unaweza ukajikuta unaongeza tatizo badala ya kusolve tatizo, na tatizo linaweza kuanzia hapo kwa mkeo na ndugu zako.

Fikiria namna ya kupunguza matumizi yale ambayo yanawezekana kwamfano nyumba, tafuta ambazo ni za bei rahisi zenye kuendana na budget yako.

Usikubali hiyo ndio iwe plan B yako pambana, watoto wa wili mke na hauko vibaya sana why urudi kwenye nyumba ya Mzee wako?
 
Kwanini umesahau kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH? Muwe na shukrani kwani mama anaupiga mwingi kwa kubeba maono
 
Umesema umeoa na uko na watoto wawili, sidhani kama hilo wazo la kurudi kwenu litakua zuri sana hasa kama hakuna bond ya kutosha baina ya ndugu zako na huyo mkeo.

Unaweza ukajikuta unaongeza tatizo badala ya kusolve tatizo, na tatizo linaweza kuanzia hapo kwa mkeo na ndugu zako.

Fikiria namna ya kupunguza matumizi yale ambayo yanawezekana kwamfano nyumba, tafuta ambazo ni za bei rahisi zenye kuendana na budget yako.

Usikubali hiyo ndio iwe plan B yako pambana, watoto wa wili mke na hauko vibaya sana why urudi kwenye nyumba ya Mzee wako?
Hata kama bond ipo hapo bado anaenda kutengeneza bomu ambalo atajuta, ni kama kwenda kufuga nguruwe pembeni ya msikiti nchini Iran
 
Pole sana kama kijana mwenzangu...

Jamni watoto watoto watoto..
Watoto ni umaskini kama ujaweka foundation nzuri wakuu..

Juzi hapo nimekutana na maza anauliza kama nina mtoto au laah. Najua alikua anauliza kwa utani utani ila mi nikampa jibu ambalo sizani kama ataleta tena habari zake..

Nilimjibu ""unataka mjuu je huyo.mjukuu upo tayari kumlea au.. maana sina maisha hayo ya kuanza kukimbizana na watoto sasa hvi subri niweke mazingira mzuri ya mwanangu ""

Na siku zote hakuna watoto wa bahati mbaya wala mimba za bahati.mbaya kila kitu kinatokea kwa sababu yako weww mwenyewe...

Kwanini nimeongelea watoto.
Kijana mwenztu hapo juu mpaka hali kuwa hvo ni ishu ya familia..
 
Umesema umeoa na uko na watoto wawili, sidhani kama hilo wazo la kurudi kwenu litakua zuri sana hasa kama hakuna bond ya kutosha baina ya ndugu zako na huyo mkeo.

Unaweza ukajikuta unaongeza tatizo badala ya kusolve tatizo, na tatizo linaweza kuanzia hapo kwa mkeo na ndugu zako.

Fikiria namna ya kupunguza matumizi yale ambayo yanawezekana kwamfano nyumba, tafuta ambazo ni za bei rahisi zenye kuendana na budget yako.

Usikubali hiyo ndio iwe plan B yako pambana, watoto wa wili mke na hauko vibaya sana why urudi kwenye nyumba ya Mzee wako?
Nyumbani ni yupo mama na mdogo wangu tu.mzee alishatangulia mbele za haki.
Kiukweli bond ya mke na familia yangu si nzuri sana
Ila mpaka nimewaza hivyo nimeumia sana maji naona yapo shingoni.
Ila asante kwa ushauri wako mkuu
 
Habari wana JF.

Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara mpaka nyumba ya kupanga ninayoishi,najiona nimekua na mzigo mkubwa wa kulipa kodi mpaka nashindwa fanya moves nyingine.

Nimewaza kitu ambacho sijui nitafikiriwa vipi na wanaonizunguka ila kwa upande wangu naona itakua ni ahueni!!

Nimewaza kuhama nilipopanga na nirudi nyumbani kwetu,kupunguza kodi moja na kuongeza nguvu kwenye biashara ili ni make at least na mie nijenge mji wangu,maana umri wazidi kimbia.

Naombeni ushauri wenu kama ninalowaza ni sahihi au si sahihi!!
Rudisha mpira kwa kipa. Kwa sababu hiyo ndiyo maana halisi ya kuwa na kwenu. Ikiwezekana kaa kwenu, ya nini uwe na mji wako pekee kama unaweza kuishi kwenu.
 
Habari wana JF.

Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara mpaka nyumba ya kupanga ninayoishi,najiona nimekua na mzigo mkubwa wa kulipa kodi mpaka nashindwa fanya moves nyingine.

Nimewaza kitu ambacho sijui nitafikiriwa vipi na wanaonizunguka ila kwa upande wangu naona itakua ni ahueni!!

Nimewaza kuhama nilipopanga na nirudi nyumbani kwetu,kupunguza kodi moja na kuongeza nguvu kwenye biashara ili ni make at least na mie nijenge mji wangu,maana umri wazidi kimbia.

Naombeni ushauri wenu kama ninalowaza ni sahihi au si sahihi!!
Bado Tlaatlaah na mwashambwa watarudi home na mapako ya mapambio yataisha
 
Back
Top Bottom