The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.
Habari za jioni wana-jamvi (au habari za muda huu),
Katika kipindi hiki ambacho gharama za umeme na changamoto za kukatika kwa nishati zinazidi kuongezeka, nimeona vijana na akina baba wengi kwenye mitandao wakikimbilia kununua zile seti za solar za bei nafuu sana kutoka AliExpress (zile...
Mwanajeshi Nazar Dalestskyi alipotea wakati wa shambulizi zito la Urusi huko Donbas mapema 2022 na kuhofiwa kufa,
Ndugu walipewa taarifa na kufanya mazishi ya mpendwa wao baada ya vinasaba vya DNA vilivyo chukuliwa kwa mama yske kuonyesha ni maiti yske.
Lakini maajabu yametokea 2026 baada ya...
Hatimaye nimevuna magunia 15 ya mpunga; kwa sasa natafuta mke wa kuoa aje tusaidiane kula mavuno yangu.
Kama wewe ni mrembo, na una uwezo wa kumshawishi equation x ili akuruhusu uje ule mavuno yake aliolima kwa shida, pita hapa mbele ukiwa unanesanesa.
Usikubali kuzeekea nyumbani, njoo kwa...
Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU”
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake.
Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi.
Pascal Mayalla
Kama mnavyofuatilia siasa za nchi yetu hivi sasa, kuna wimbi kubwa la wanachama waliokihama chama na kukipigia kelele nyingi za kashfa wakiondoka, lakini sasa hivi wanarudi CHADEMA kwa kasi ya ajabu.
Kama mwanachama na mdau wa mabadiliko ya dhati, naomba niwaambie hawa wanaorejea maneno...
Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee...
KWA SISI WATIBELI MTOTO CHINI YA MIAKA SITA ANAFUNDISHIWA NYUMBANI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Iko hivi Sisi watibeli foundation ya mtoto ni miaka 0(akiwa tumboni) mpaka akifikisha miaka 6/7.
2. Foundation hii mtoto wa Kitibeli atajengewa msingi wa
a) kiafya ya mwili kuanzia Lishe...
Salute!
Nafahamu kwa sababu mbalimbali watu wengi tunapenda kuishi na dada wa kazi majumbani mwetu
Wapo watu wengi ambao wamekutana na Mikasa mbalimbali kutokana na dada hawa wa kazi.
Je ,ni kituko gani uliwahi kukutana nacho kutoka kwa dada wa kazi?
Walevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi
Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la walevi ndo mzuka unapanda ?
Kampuni ya Samsung hivi karibuni ilitangaza kuwa itaacha kuuza vifaa vyake vyote vinavyotumika nyumbani nchini China. Chapa ya Samsung ilikuwa alama ya vifaa vya kielektroniki vya nyumbani vya hali ya juu na vyenye ubora wa juu zaidi, lakini sasa imeshindwa kabisa na kampuni za ndani za China...
Shida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi flani lakini unakuta kumbe limit ni 1tb, so wanakuwa wana advertise uongo na hawajulishi watumiaji...
Anonymous
Thread
data
internet
kampuni
kuhusu
mteja
nyumbani
ukweli
Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe.
Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai ambaye ni mama mzazi wa Damour Nyakairo, ameeleza kuwa kijana wake amechukuliwa asubuhi ya leo na watu...
Mimi ilikuwa smartphone kipindi hicho nipo sekondari
Nilipataga hela sehemu nikaenda kuinunua hiyo smartphone nikawa naificha kwenye viatu alafu hivyo viatu nikaweka juu ya kabati
Siku hiyo Bi Mkubwa hakwenda kazini kwenye harakati za kufanya usafi ndani kwangu akaikuta
Ile narudi shule...
Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router.
Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti mbalimbali za mitandaoni nakuambia router gani nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani ili kuwa salama...
Tukiwa tunaianza weekend vyema haswa na utulivu wa hali ya hewa.
Kumekuwa na video mjongeo ikimuonyesha mwanaume mmoja huko Ivory Coast akimtandika bakora mke wake hasa kisa kikiwa ni mwanamke huyo kuchelewa kurudi nyumbani.
NB: Nimeshindwa ipakua hiyo clip, ila nikiipata nitaipandisha hapa
Mfalme wa HipHop Mziki wa kizazi kipya Nchini Marekani Mzee Snoop Doggy ametoa ushauri kwa Sisi kizazi kipya yaani Vijana wa leo.
Mheshimiwa huyo amesema kama wewe ni Mwanaume na una Uwezo au uko ktk position ya kumwacha Mke wako Fanya shughuli za Nyumbani( Family matters) basi hakikisha...
Wadau, hii story inahitaji discussion ya ukweli. More than 20 Kenyan PhD students kule Germany wako kwa edge ya kufukuzwa si kwa sababu ya makosa yao, but because serikali haikulipa scholarship funds kwa DAAD.
Hii ni serious sana.
These are not ordinary students. Hawa ni researchers wanafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.