nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hivi Pombe za kunywea nyumbani hazipandi

    Walevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la walevi ndo mzuka unapanda ?
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Samsung yaacha kuuza vifaa vyake vyote vya kielektroniki vya nyumbani nchini China

    Kampuni ya Samsung hivi karibuni ilitangaza kuwa itaacha kuuza vifaa vyake vyote vinavyotumika nyumbani nchini China. Chapa ya Samsung ilikuwa alama ya vifaa vya kielektroniki vya nyumbani vya hali ya juu na vyenye ubora wa juu zaidi, lakini sasa imeshindwa kabisa na kampuni za ndani za China...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni zinazounga internet ya nyumbani hazisemi ukweli kuhusu kiasi cha ‘data’ anayopata mteja

    Shida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi flani lakini unakuta kumbe limit ni 1tb, so wanakuwa wana advertise uongo na hawajulishi watumiaji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi: Ukikosa Tiketi baki nyumbani

  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mama mzazi wa Damour aeleza kijana wake alivyochukiliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe

    Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe. Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai ambaye ni mama mzazi wa Damour Nyakairo, ameeleza kuwa kijana wake amechukuliwa asubuhi ya leo na watu...
  6. PAGAN

    JamiiForums Tanzania Kabla sijapona vizuri, hapa hospitali wananiambia nirudi nyumbani. Hii kweli haki wajameni?

  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ulificha magendo gani chumbani kwako alafu ile unarudi nyumbani ukakuta kiko sebuleni unasubiriwa utoe majibu?

    Mimi ilikuwa smartphone kipindi hicho nipo sekondari Nilipataga hela sehemu nikaenda kuinunua hiyo smartphone nikawa naificha kwenye viatu alafu hivyo viatu nikaweka juu ya kabati Siku hiyo Bi Mkubwa hakwenda kazini kwenye harakati za kufanya usafi ndani kwangu akaikuta Ile narudi shule...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Je router gani inafaa kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani !!!

    Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router. Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti mbalimbali za mitandaoni nakuambia router gani nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani ili kuwa salama...
  9. Palac

    JamiiForums Tanzania Je, kwa zama hizi na karne hii ni halali kumuadhibu kwa kipigo mkeo?

    Tukiwa tunaianza weekend vyema haswa na utulivu wa hali ya hewa. Kumekuwa na video mjongeo ikimuonyesha mwanaume mmoja huko Ivory Coast akimtandika bakora mke wake hasa kisa kikiwa ni mwanamke huyo kuchelewa kurudi nyumbani. NB: Nimeshindwa ipakua hiyo clip, ila nikiipata nitaipandisha hapa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Snoop Doggy: Kama ni Mwanaume na una Uwezo wa kumwacha Mke wako Nyumbani na wewe utafute hela, basi Fanya hivyo

    Mfalme wa HipHop Mziki wa kizazi kipya Nchini Marekani Mzee Snoop Doggy ametoa ushauri kwa Sisi kizazi kipya yaani Vijana wa leo. Mheshimiwa huyo amesema kama wewe ni Mwanaume na una Uwezo au uko ktk position ya kumwacha Mke wako Fanya shughuli za Nyumbani( Family matters) basi hakikisha...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Wasomi Wetu Wanarudishwa Nyumbani?” Kenya Fails Students Abroad as Germany Deportation Threat Looms

    Wadau, hii story inahitaji discussion ya ukweli. More than 20 Kenyan PhD students kule Germany wako kwa edge ya kufukuzwa si kwa sababu ya makosa yao, but because serikali haikulipa scholarship funds kwa DAAD. Hii ni serious sana. These are not ordinary students. Hawa ni researchers wanafanya...
  12. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Hivi ni vifaa muhimu kuwa navyo nyumbani kwako

    Nyumbani kwako ni muhimu uwe na vifaa hivi, kwani vinahitajika sana. 1.Star screw drivers kubwa na ndigo 2.Flatted screw drivers ndogo na kubwa 3.Tester ya umeme 4.Plier au plaiz 5.Nyundo 6.msumeno wa mbao 7.msumeno wa chuma 8.tupa inanolea vifaa vya chuma. 9.Futi 10.Jembe 11.Panga 12.Koleo...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kombe la AFCON litabaki nyumbani

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Tanzania imejipanga kikamilifu kuelekea mashindano ya AFCON 2027, akieleza kuwa si ushiriki tu bali pia itachukua ubingwa wa kombe hilo. Amesema kuwa ushiriki wa Tanzania katika michuano hiyo unatoa nafasi ya kipekee ya...
  14. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Television yako sebuleni kwako nyumbani kwako

    Jengo la nyumba yako ni nyumba ya ibada ,Sebule yako sitting room ni madhabahu, Bed room yako na kitanda chako ni madhabahu. Wewe mwenyewe mwili wako ni nyumba ni hekalu na nafsi yako pua ni madhabahu. MADHABAHU ndio kiti cha enzi cha kiroho kinachotoa chemi chemi za uhai, uzima ama kinyume...
  15. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Nini kimeondoa utaratibu wa wageni kuja nyumbani?

    Nini kimeondoa utaratibu wa wageni kuja nyumbani ?
  16. W

    JamiiForums Tanzania Tarazo safi nyumbani kwako

    Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu. ✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu ✅ Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi✅ Bei nafuu na makubaliano mazuri ✅ Tunazingatia viwango vya ujenzi na...
  17. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa mbali na nyumbani kwenu/kwako kwa muda mrefu bila mawasiliano uliporudi ukakuta jambo la kuogopesha/kudikitisha?

    Kuna ile hali ambapo unaweza kuwa mbali na kwenu au kwako (japo hii haiwakuti wengi) halafu huna mawasiliano na watu wa nyumbani kutokana na sababu kama shule (kusoma boarding), shughuli za utafutaji n.k halafu unaporejea unakuta jambo lisilopendeza/ linaloogopesha au kukuumiza. Mimi wakati...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Nilivyokasirishwa nikaenda tazara nikang'ata reli nikarudi nyumbani

    wakuu kutoka kwenye stori yangu kunakitu unaweza kujifunza kwangu ukachukua na kukitumia siku fulani: Siku moja nilikasirika sana. Sio ile hasira ya kawaida. Ilikuwa ile hasira ambayo unahisi kama kichwa kinataka kupasuka na mtu akikuuliza swali dogo tu unaweza kujibu vibaya au umpige. Nilikaa...
  19. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Vipande vya kitambaa cha Kaaba (Kiswa) vilinunuliwa na Jeffrey Epstein kama zulia (carpets) kwa matumizi ya nyumbani.

    Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe. Nani walihusika? Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Jesca Magufuli sina amani, nawindwa mpaka Nyumbani

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likiwa na ujumbe wenye nukuu inayosema “ Jesca Magufuli sina amani nawindwa mpaka Nyumbani”je ni upi ukweli wa chapisho hili
Back
Top Bottom