The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao hiki kinatoa mwangaza kwa umma kuhusu maendeleo, sera, na miradi mbalimbali iliyotekelezwa katika...
Wakuu ni usiku sasa nipo mahali kuna jambo nimekumbuka tu hapa kuhusu mimi ilivyokua kuanza kusaka life nilipoenda kwa ndugu nikiamini itakua vyepesi kutoboa
Ilikua nimemaliza diploma tu nipo naplani naishi vp mjini ghafla bi mkubwa akanisihi nirejeshe mpira kwa kina ili tuanze upya nikawa...
Mzazi au mlezi, je unajisikia maumivu kuona mtoto wako:
Hajasoma wala kuandika vizuri?
Anapata tabu kuelewa masomo darasani?
Anashuka darasani licha ya juhudi zako zote?
Anaogopa masomo au hana kabisa hamasa ya kujifunza?
Usijilaumu. Watoto hawafeli kwa sababu hawana uwezo, mara nyingi...
Mwezi wa 12,2025 alikuja mama kituoni kulalamika aliyekuwa mume wake jinsi alivyokuwa akimpiga mara kwa mara na kumtishia kumuu. Badala ya kumpa msaada mkamjibu malalamiko yake ni kesi ya kifamilia wakamalizane wenyewe nyumbani ikambidi arudi nyumbani kweli, mlishindwa hata kumuelekeza kwenda...
Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi.
Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi.
Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
Sasa hivi imekua kosa kumkaribisha Binti nyumbani ili mpeane burudani..Sijui ni ugumu wa soko lao ama ni nini lakini Mimi hili limenikuta juzi, anyway Iko hivi.
"Kuna mrembo nimemkaribisha Siku ya mwaka mpya na wote tulikubaliana kwamba nitaibomoa nyapu kisha nikajua anaondoka kesho yake...
Msanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma.
"Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani...
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka...
"Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya kuvunja sheria, matendo ya uvunjifu wa amani, sisi ni watanzania. Tanzania kisiwa cha amani kuna faida...
Huyu mzee bhana ananifurahisha na kauli zake! Yani uzee wake ni kama Gen Z
============
Hakuna mwanaume atakae andanamana tarehe 9, jibu Sisi tutaandamana labda wewe utabakia nyumbani na wanawake wenzako" Mtoto wa kwanza wa mwalimu Nyerere 😃
Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga.
Maandiko yanasema👇👇
“Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9)
“Jifundisheni...
Ewe mtanzania mwenzangu hakikisha siku ya 9D unatoka na kuungana na wenzako kuidai haki kwenye maandamano ambayo yatakuwa makubwa sana siku hiyo
Kusalia nyumbani siyo salama kwako. Kwani wale walenga shabaha watakuangamiza wewe pamoja na familia yako yote.
Alionae tangazo hili amtaarifu na...
Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike...
Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amewaaasa vijana siku ya tarehe 9 disemba 2025 kukaa nyumbani pamoja na wazazi wao kuliombea taifaletu na kufanya ibadakama sehemu ya kudumusha amani na utulivu pia kupeuka...
Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano?
Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu?
Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini?
Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.