The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.
Wakina ndugu Lissu aachiliwe aende zake nyumbani baada ya hapo maridhiano ya kitaifa tujadiliane na kuwa na muafaka wa pamoja, muafaka ndio inawekaga kusemana kweli na kisha tuambiane rekebisha hiki rekebisha kile na twende kwenye uchaguzi Amesema Polepole
Wakuu 🔊
Tumekuwa na siku tano za kazi… je, imeshawahi kukutokea ukasahau kitu nyumbani mpaka ukalazimika kurudi kukichukua kwa sababu bila hicho kitu huwezi kabisa kuendelea na kazi yako? 😅 Tuchambue hapa, tupige stori.
Mimi iliwahi kunitokea kusahau laptop nyumbani, bila hiyo siku nzima kazi...
Mara Chache sana huwa nalala Nyumbani,
Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine.
kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa.
Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
Tunawafikia popote ulipo Tanzania!
Unahitaji mwalimu wa nyumbani (home tuition) kwa mtoto wako au wewe binafsi?
Tunatoa huduma bora ya kufundisha masomo yote, ngazi zote na mitaala yote (NECTA, CAMBRIDGE, n.k)
Darasa la awali hadi sekondari
Masomo ya sayansi, arts na biashara
Mitihani ya...
Hili toto nimelilea limemaliza shule halitaki kutoka nyumbani huu mwaka wa 8 Sasa wakuu nashindwa kuelewa toto kama Hilo haliwazi hata future yake na familia yake nawaza jinsi ya kulifukuza aisee
Naombeni mnipe principle ya kumfukuza maana mama yake analitetea zee kama hili Mimi ni baba yake...
Mnamo miaka kadhaa huko nyumba nilisoma sekondari nikiwa naishi Kwa ndgu. Sehemu ya makazi ya ndugu wale ninzaidi ya kilometa tatu. Nilivumilia mwaka mmoja mwaka wa pili nikahamia kwa Mzee ambaye tulikuwa na ukaribu upande wa mama.
Tumuite Mzee Hasan, Mzee wangu huyu alikuwa akiishi peke yake...
Kipi ni kipi jumanne kaseja amekuwa jumanne kaseja je alihusika kuishusha timu ya ligi kuu ya kanda ya ziwa.
Je kwakuwa timu ya kanda ya ziwa ilichukua ubingwa Mara moja na kushushwa daraja.
Na mbaya wachezaji wake wa kutegemewa wanazidi kupoteana .
Je alaumiwe jummanne Kaseja au lilaumiwe...
Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi
Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box
Power supply 10 A bei 50,000
Radio ya gari 40,000
Twita 30,000
Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000
Je wakuu niongeze nn au nipunguze...
Salaam!
Najua umuhimu wa press yako sawa. Ila kwa tamaduni zetu watanzania, pakitokea msiba, huwa tunaacha mambo mengine, tunaomboleza kwanza.
Tusizidiwe maarifa na wadudu, sisimizi, dudumizi, mchwa nk nk.
Umelala Job, pole kwa family.
Nawasilisha 🙏
Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli.
Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
Wakuu Sheria yetu inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea hombwa ya kunywa home? Nchi kama US nyumba inaruhusiwa kutengeneza hadi lita 1000 kwa mwaka. Hapa Tz muongozo ukoje? Na vipi mtu akifungua baa na kutengeneza bia yake hapo hapo?
Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.
Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.
Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo
Siku pekee ambazo sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.