MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,059
- 2,982
Kiimani malaika ni kiumbe asiyekua na dhambi japo kuna nyakati yupo mwadamu alidai kwamba akiwa mbinguni atakua anawaongoza, nawaza tu Do we have another Engel in our country? If so now we are blessed. Let us celebrate