nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Membe alihusika kusuka mipango ya Rais [Magufuli] kuuawa

    Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."
  2. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Eti wanawake; ni kwanini mwanaume akishinda nyumbani vitu huwa vinaisha ndani?

    Salam bandugu Je umeshakutana na hii? Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela, au ile, una 2000 hapo ya...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Yani hapa sijanywa hata chai kuna mtu ana yadi ya magari ya mabilioni nyumbani kwake, Tanzania hakuna haki.

    Hakuna usawa watu wanaingiziana mabilioni kwenye account zao,wanaendesha magari ya billion 20 lakini Mimi hata hela ya kula sina,nimekopa kausha damu hivi sasa nimepata presha hela ya kulipa Sina,nawasihi Angela Kizinga,Elvis na Abdul mnionee huruma mniletee hata kabilioni na Mimi nipate raha...
  4. curie

    JamiiForums Tanzania Jitengenezee energy ya asili nyumbani

    Kinywaji cha Asili cha Kuongeza Nguvu na Hamu Viungo: Asali vijiko 2 Tangawizi safi kijiko 1 (iliyokunwa) Kitunguu swaumu punje 2 (zikachunwacho vizuri) Juisi ya tikiti maji kikombe 1 Parachichi nusu (iliyoiva vizuri) Korosho au njugu kikombe kidogo (karibu 10 – 12) Jinsi ya...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa nyumbani napatikana

    Wakuu nawasalimu. Kama kichwa kinavyojieleza. Mimi kijana wa Kitanzania. Ualimu ndio Fani yangu(I'm very proud) hasa kwa wale wazazi au walezi wanaopenda watoto wao wafundishwe nyumbani kwao. Nipo available kwa Kazi hiyo kwa wakaazi wa Dar es salaam(Nipo Dar es salaam kwa sasa) Masomo ya...
  6. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Jezi za Young Africans kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.

    𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔. 🔰 𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐌𝐓𝐎𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐀𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐔𝐌𝐄𝐅𝐈𝐊𝐀 🤩Sogea hapa Makao Makuu ya klabu yetu Jangwani upate mtoko wako Mwananchi🔰.#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Kwa elfu 45 tu mwananchi 💚💛
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Lissu aachiliwe aende zake nyumbani

    Wakina ndugu Lissu aachiliwe aende zake nyumbani baada ya hapo maridhiano ya kitaifa tujadiliane na kuwa na muafaka wa pamoja, muafaka ndio inawekaga kusemana kweli na kisha tuambiane rekebisha hiki rekebisha kile na twende kwenye uchaguzi Amesema Polepole
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani ukikisahau nyumbani, hata ukishafika kazini lazima urudi ukakichukue?

    Wakuu 🔊 Tumekuwa na siku tano za kazi… je, imeshawahi kukutokea ukasahau kitu nyumbani mpaka ukalazimika kurudi kukichukua kwa sababu bila hicho kitu huwezi kabisa kuendelea na kazi yako? 😅 Tuchambue hapa, tupige stori. Mimi iliwahi kunitokea kusahau laptop nyumbani, bila hiyo siku nzima kazi...
  9. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ushawahi pigiwa simu ya nyumbani bila salamu unasikia fanya ufanyavyo anza safari usiku huu fika nyumbani afu anakata simu

  10. Tman900

    JamiiForums Tanzania Kutokulala Nyumbani

    Mara Chache sana huwa nalala Nyumbani, Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine. kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa. Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Karibu Elite Home Tuition Services ambapo tunatoa huduma za ufundishaji ukiwa nyumbani

    Tunawafikia popote ulipo Tanzania! Unahitaji mwalimu wa nyumbani (home tuition) kwa mtoto wako au wewe binafsi? Tunatoa huduma bora ya kufundisha masomo yote, ngazi zote na mitaala yote (NECTA, CAMBRIDGE, n.k) Darasa la awali hadi sekondari Masomo ya sayansi, arts na biashara Mitihani ya...
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje kijana miaka 28 bado yupo nyumbani

    Hili toto nimelilea limemaliza shule halitaki kutoka nyumbani huu mwaka wa 8 Sasa wakuu nashindwa kuelewa toto kama Hilo haliwazi hata future yake na familia yake nawaza jinsi ya kulifukuza aisee Naombeni mnipe principle ya kumfukuza maana mama yake analitetea zee kama hili Mimi ni baba yake...
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Video: Nyumbani baba, kazini kichaaa

  14. Doto12

    JamiiForums Tanzania Namna nilivyoondoka nyumbani Kwa wazee mpaka kujitegemea

    Mnamo miaka kadhaa huko nyumba nilisoma sekondari nikiwa naishi Kwa ndgu. Sehemu ya makazi ya ndugu wale ninzaidi ya kilometa tatu. Nilivumilia mwaka mmoja mwaka wa pili nikahamia kwa Mzee ambaye tulikuwa na ukaribu upande wa mama. Tumuite Mzee Hasan, Mzee wangu huyu alikuwa akiishi peke yake...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo

    Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo UMEELEWA EEH NGOJA TUZIKE KWANZA NTARUDI TENAAAAA
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Jumanne kaseja anaweza akawa ndo aliishusha ile timu ya ligu kuu kanda ya ziwa na sasa anapambana kuipandisha timu yake ya nyumbani?

    Kipi ni kipi jumanne kaseja amekuwa jumanne kaseja je alihusika kuishusha timu ya ligi kuu ya kanda ya ziwa. Je kwakuwa timu ya kanda ya ziwa ilichukua ubingwa Mara moja na kushushwa daraja. Na mbaya wachezaji wake wa kutegemewa wanazidi kupoteana . Je alaumiwe jummanne Kaseja au lilaumiwe...
  17. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuchoka ma subwoofer ya seapiano nimejaribu kufunga mziki huu nyumbani

    Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box Power supply 10 A bei 50,000 Radio ya gari 40,000 Twita 30,000 Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000 Je wakuu niongeze nn au nipunguze...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu Pole Pole, ikawaje uendelee na Press ilhali nyumbani Pana msiba?

    Salaam! Najua umuhimu wa press yako sawa. Ila kwa tamaduni zetu watanzania, pakitokea msiba, huwa tunaacha mambo mengine, tunaomboleza kwanza. Tusizidiwe maarifa na wadudu, sisimizi, dudumizi, mchwa nk nk. Umelala Job, pole kwa family. Nawasilisha 🙏
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hii kauli huwa inawapa kiwewe wababa🤣, 🗣️"Haukuwepo nyumbani kwa hio nimemuachia mkeo ile hela"

    Utasikia... "Ayaaaaaaaaaa"
  20. F

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima karibuni sana Kanisa Katoliki kusali tunawapenda sana hapa ndio nyumbani kwenu hasa, msiogope sanamu mnazoziona

    Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli. Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
Back
Top Bottom