nyumba

  1. JamiiForums Tanzania House4Sale Mradi wa nyumba Simple, Miliki Nyumba Kwa Milioni 12 tu

    Drone Online Ads tumekuwa kwa muda mrefu tukiwasaidia watanzania mbinu tofauti na ushauri bure wa namna ya kujenga nyumba bora kwa kutumia gharama nafuu. Hii inatokana na uzofu wetu katika ujenzi, timu ya wataalam wa kutosha wanaoshirikiana sambamba na uwezo wa kupata materials ya ujenzi kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumba ya Freeman Mbowe yazungukwa na polisi wenye silaha

    Polisi wenye silaha wameizunguka nyumba ya Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe. Tumuombe sana @freemanmbowetz maana naskia hao jamaa wenye silaha waliozingira nyumba yake wanasema wametumwa kuchukua roho ya Mbowe.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tandika Kaburi Moja

    Habari wana jf Nyumba inauzwa ipo tandika kaburi moja sifa za nyumba: ina vyumba vitatu vya ndani vyote master ina vyumba viwili na sitting room zake kwa nje ila bado vipo ndani ya fensi ina fremu ya duka ina sehemu ya jiko ina choo cha nje inafikika kwa gari mpaka mlangoni ina tiles kot...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tandika

    Habari wana jf Nyumba inauzwa ipo tandika kaburi moja sifa za nyumba: ina vyumba vitatu vya ndani vyote master ina vyumba viwili na sitting room zake kwa nje ila bado vipo ndani ya fensi ina fremu ya duka ina sehemu ya jiko ina choo cha nje inafikika kwa gari mpaka mlangoni ina tiles kot...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 James Mbatia aomba kura nyumba kwa nyumba jimbo la Vunjo

    Siku chache mara baada ya Tume ya Taifa ya uchaguzi kumzuia kufanya mikutano ya hadhara Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo ndugu James Francis Mbatia kwa ajili ya kampeni za kuomba kura, sasa ndugu Mbatia ameamua kuomba kura nyumba kwa nyumba huku kundi kubwa la wananchi na wanachama wa chama cha...
  7. JamiiForums Tanzania Naitaji ramani ya nyumba

    habari naitaji ramani ya nyumba vyumba vitatu na sebule chumba kimoja master then public toilet kiawanja ni sq 15/15 kipo arusha pia ni flat hakuna mwinuko hata kidogo pia nipate kujua vifaa na idadi ya vitu vitakavyo itajika hadi kufika kwenye lentaa asanteni
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili nyumba wanazojengewa Marais Wastaafu Tanzania

    1. Naomba kujua nyumba Mwalimu aliyojengewa na serikali ilijengwa lini na wapi? 2. Naomba kujua Mkapa alijengewa nyumba yake wapi? 3. Naomba kujua kwa changamoto wananchi tulizonazo Hawa wazee wakitoa sadaka hizo pesa za nyumba zikajenga japo hospital haitakubalika? 4. Hawa viongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu wa Tanzania, wajengewa nyumba na Serikali

    Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni vipi unawashawishi wakazi wa Dar waliobomolewa nyumba kwa upanuzi wa barabara wakati kwa wakazi wa Mwanza ulisema wasibomolewe walikupigia kura?

    Kuna wakati najiuliza kati ya wanasiasa na wapiga kura ni nani ana kumbukumbu fupi zaidi. Kwa mfano, wakati fulani kulikuwa na kampeni ya kubomoa nyumba bila kulipa fidia hapa Dar, na wananchi wote wakalaani sana kitendo hicho. Hivi katika wale waliolaani kitendo hicho ndio walewale...
  12. JamiiForums Tanzania RC Kunenge: Mvua zimesababisha vifo vya watu 12, nyumba 107 zimesombwa na maji na nyingine 800 zimezingirwa!

    Mvua yaacha vilio Dar WATU 13 wamefariki dunia, wakiwamo wanane ambao vifo vyao vimetokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, watu watano ambao ni wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuungua moto...
  13. JamiiForums Tanzania Dalili aliyemtafutia nyumba Kipanya amezima simu!

  14. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua idadi ya mbao zinazohitajika kwaajili ya kuezeka nyumba

    Hi guys, Hello everyone, I'm Ellyskywilly. As I told you previously that I'll be designing different kinds of houses and I'll be posting each thing which'na be doing. So for that case, I'm still continuing with my project of house design. And today I've come with the project which I've...
  15. JamiiForums Tanzania Fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba nipo hapa

    Mimi ni fundi mahiri wa ujenzi. Nifundi mzoefu na mbobezi kwenye kujenga:- Nyumba za makazi (single storey na double storey house) Nyumba za biashara Ujenzi wa mabwawa na Mfumo wa kisasa wa maji taka ambao haujazi shimo uchafu PIA Nafanya renovation ya kubadili nyumba...
  16. JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba kanizimia simu toka asubuhi. Nakusanya tu ushahidi

    Hii nyumba nlipokuja siku ya kwanza nilimwuliza dalali na mwenye nyumba haina mafuriko. Akanihakikishia kuwa hapa mafuriko huwa watu wanasikia tu kwa jirani. Nikamuuliza kwa mara ya tatu akanijibu hapa ni shwari kabisa, leo hii naandika hii text maji yamejaa ndani vyombo vinaelea tunapambana...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Geita: Nyumba ya Mgombea Ubunge Chato wa CHADEMA Massai, yadaiwa kuchomwa moto na kubomolewa

    Salaam Wakuu, Inadaiwa kuna mambo hayaendi Vizuri huko Chato Mkoani Geita. Tunaomba Jeshi la Polisi lihakikishe amani kwa Wakazi wa Chato wa vyama vyote. Hapa chini ni Taarifa kutoka Viongozi wa CHADEMA nliyotumiwa Usiku wa leo. "Tumevamiwa na kuchomwa Moto kwa Mgombea Ubunge Maalum Massai...
  18. JamiiForums Tanzania Tangu nifanye ukarabati wa nyumba ya mama yangu, napata pesa nyingi karibu kila siku. Vijana tuamke baraka zetu wanazo mama zetu

    Habari wakuu! Mama yangu ana watoto 8 nikiwemo na mimi. Wanaume tupo 4 na wanawake wako 4. Kati ya watoto hao mmoja ambaye ni brother wetu yaani first born ndiye ana Pesa . Hizi milioni kumi, ishirini kwake zinapita mara nyingi tu sema ana roho mbaya sana. Anashindwa hata kuwajengea nyumba...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

    Salaam wadau. Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina. JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali...
  20. JamiiForums Tanzania Ni uzembe kuendelea kuipamba Dar kwa flyovers wakati shuleni na hospitalini hakuna nyumba na vifaa vya kutosha

    Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge, Chang’ombe na uhasibu, fire, Kinondoni, etc. Huu ni uhuni na ushenzi wa matumizi ya pesa ya taifa hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…