Hivi kama baba kaikimbia nyumba, nini hatma ya kijana mwenye ndoto?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,218
6,455
Halo JF siasa.

Ktk Uzi huu sitamtaja mtu na hivyo wachangiaji pia wasitaje jina la mtu. Inafahamika wazi nini kinachojiri ktk familia kubwa pendwa nchini. Kuna wababa wawili wanadhamiwa kuikimbia familia hii.

Baba moja machachari ameacha kijana wake ktk familia hii kubwa. Kijana si haba, anatamani siku moja kuwa baba wa familia na kuongoza jumuiya nzima kama vipi. Mapito yake ya sasa nayo yana changamoto lakini ktk suala zima la kuongoza familia, chochote chaweza kutokea na kubadilisha historia. Kumbuka hata baba mkuu wa hivi sasa hakupewa nafasi wala kudhaniwa.

Ndiyo maana nauliza nini hatma ya kijana machachari mwenye ndoto ya kuwaza makubwa baada ya Baba kuikimbia familia?
 
Huyo kijana kabaki huko kimkakati zaidi!
Lango no kuhakikisha nchi haijipeleki mikononi mwa Kagame kirahisi rahisi!
 
Huyo kijana kabaki huko kimkakati zaidi!
Lango no kuhakikisha nchi haijipeleki mikononi mwa Kagame kirahisi rahisi!
Mbona ndilo eneo la kujigamba kwake hivi sasa? Pia kawaleta mashushu kibao wakijifanya makahaba, kumbe anatupeleleza. Sijui anatupeleleza kwa nyanya zipi!
 
Back
Top Bottom