nyumba

  1. Kakondele

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Sumbawanga

    Nyumba inauzwa ipo Sumbawanga Izia mita 80 kutoka soko la sabasaba Ina vyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne vya frame,maji na umeme vipo Bei ni Tzsh 35,000,000/=Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano...
  2. Fundi George

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji fundi umeme wa nyumba ya ndoto yako

    Tv showcase iliyofanyiwa design ya umeme kwa kazi nzuri kama hizi wasiliana na Fundi George 0622313163 0622313163 tunapatikana Dar es salaam.
  3. MagariTanzania

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya Ghorofani Inauzwa Upanga

    Nyumba ina muonekano wa kuvutia, Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kinajitosheleza ( Masta bedroom), subule, jiko la kisasa na mahala pa kula. Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho yasiyo na ulazima wowote. Bei TZS -210milioni. Hii ni nyumba...
  4. MagariTanzania

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya gorofani (Apartment) inapangishwa Mbezi Juu

    Nyumba bora ya ghorofani, inavutia na ya kisasa. Nyumba ipo eneo tulivu la Mbezi Juu, ukiwa sebuleni au katika Varanda unatazama Bahari ya Hindi Au unapuliziwa upepe mwanana wa Bahari. Nyumba ipo wazi na tayari kwa ajili ya kupangishwa. Nyumba ina muonekano wa kuvutia ndani na nje Ina vyumba...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mgeni nyumbani ambaye ni kero, mzigo na anataka kuiendesha nyumba kuwazidi hata wenyeji?

    Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kiume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa...
  6. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Songwe yamrejeshea mkopaji nyumba ya TSh165 milioni

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Songwe imeokoa nyumba yenye thamani ya Sh165milioni iliyochukuliwa baada ya mmiliki kushindwa kurejesha mkopo wa Sh15milioni mali ya Jacob Masebo (62). Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe, Damas Suta amesema, Masebo alikopa Sh15milioni...
  7. P

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Masaki

  8. P

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Mbezi Beach

    NYUMBA
  9. P

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Masaki

  10. kidadari

    JamiiForums Tanzania Niliyekuuzia nyumba yenye mauzauza Bunju nisamehe, sikuwa na jinsi

    Baada ya kuishi kwenye nyumba ya kupanga uswazi yenye kashkash nyingi. Manyanyaso na dhihaka nyingi nikafanikiwa kununua nyumba maeneo ya Bunju na kuhamishia makazi kule. Ukawa mwanzo wa mikosi nyumba hailaliki usiku unasikia watu wanapita koridoni ukifungua hakuna mtu. Mara unasikia watu...
  11. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?

    Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani? Nahitaji ramani pia
  12. E

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa hii dizaini ya hiki kiramani cha nyumba ni zaidi ya hatari

    Bila ubishi wakuu mwonekano wa hii dizaini ya hiki kiramani cha nyumba ni zaidi ya hatari. So pretty, so beautiful, so gorgeous, so cute. Angalia mwenyewe, mkuu.
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ya rejareja (chumba na sebule) na faida zake

    Kila biashara ya rejareja Ina changamoto zake. Biashara ya nyumba za kupanga pia ina kero zake. Unapojenga nyumba ya vyumba sita na kuipangisha chumba kimoja kimoja ni rahisi kupata wateja. Ni bahati sana kukuta vyumba viko wazi unatafuta mteja kulinganisha na kupangisha nyumba nzima. Katika...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nyumba bomba ya kisasa ya kuishi

    Hello everyone, I'm still continuing with my project of house design. And today I've come with the second project which I've made this week as you can see on the photos below. This house has four bed rooms, in which one room can be used as a prayer room or a study room or sometime you can put...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa kujenga nyumba nipeni ushauri hapa

    Mafundi wa nyumba nadhani mpo poa ndugu zangu. Nina swali muhimu kwenu nalo hili: Kama kujenga msingi wangu natumia tofari za block 1145, je nikitumia mawe nitatumia mawe kiasi gani?
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda Jijini Mwanza, wakazi wajifungia ndani ya nyumba zao siku nzima ya leo

    Katika hali ya kustaajabisha siku ya leo jumamosi, jiji la Mwanza hasa maeneo ya Buzuruga, Nyasaka, Mahina, Mhandu, Gedeli na maeneo mengine ya jirani hali imekuwa tofauti na ilivyozeleka. Katika maeneo tajwa katika siku nzima ya leo anga limekuwa kama lina vumbi au ukungu au vyote kwa pamoja...
  17. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati aagiza wakuu wa wilaya kukamata na kuwaweka mahabusu wananchi watakaoshindwa kuunganisha umeme kwenye nyumba zao baada ya miezi sita

    Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani amewaagiza wakuu wa wilaya nchini wawakamate na kuwaweka mahabusu wananchi wanaoshindwa kuunganisha umeme katika nyumba zao baada ya miezi sita kwa kuwa serkali inatumia gharama kubwa kupeleka umeme katika vijiji na vitongoji vyao.
  18. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania MAPENDEKEZO: Bima ya nyumba iwe lazima kama ilivyo bima ya gari/vyombo vya moto

    Ukweli ni kwamba majanga ya moto kwenye makazi ya watu ni janga ambalo linagharimu sana maisha ya watu hapa nchini kwetu. Ajali za moto zimekuwa zikitokea na kugharimu maisha si tu ya wanafamilia lakini pia kusababisha uharibifu wa mali ya mhusika aliepata ajali na majirani zake. Mwisho wa siku...
  19. ragin

    JamiiForums Tanzania Usimwachie mkeo nyumba zaidi ya miaka 5 peke yake

    Wale mliozaa na kusomesha mpaka watoto wamepata kazi na kuoa /olewa. Sasa baba akapata uhamisho wa kikazi akahama mkoa, mke akamwachia nyumba na mtoto mmoja labda ila wengine wameshaoa. Kwa bahati mbaya baba kazi zake ni nyingi kiasi anashindwa kurudi weekend nyumbani, miaka imekata zaidi ya...
  20. xavieen

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to you Ryan Conner

    hongera kwa kutimiza miaka 50 tunazidi kukukumbuka kwa wema wako juu yetu hasa vijana unastahili pongezi kubwa sana
Back
Top Bottom