nyumba

  1. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Waumini wa FGBF wampa zawadi ya nyumba Askofu Kakobe na Mkewe

    MAASKOFU, WACHUNGAJI NA WASHIRIKA WA MAKANISA YA FGBF KOTE NCHINI TANZANIA WAMPA ASKOFU MKUU ZACHARY KAKOBE ZAWADI YA NYUMBA WALIYOMJENGEA Nyumba ya kawaida inayoonekana katika PICHA MBILI ZA KWANZA, ni nyumba binafsi ya pekee, ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF)...
  2. Alex Hamadi Hamis

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga (Kimara/Mbezi ya Africana)

    Iwe na vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na usalama pia. Sihitaji dalali, na ninahitaji mkataba wa miezi mitatu (3) kwanza. Nyumba isiwe mbali sana na main roads/kituo cha daladala Tuwasiliane: +255676095799
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na bei za Saruji, bei ya kupata Kibali cha ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu huko Halmashauri ya Kigamboni ni Tshs 250,000

    Wakati tukiendelea kumtafta mchawi aliyepandisha Cement! Shida kubwa ya halmashauri nyingi ni kugeuza sheria kuwa vyanzo vya mapato. Tutafakali gharama zifuatazo za kibali cha ujenzi huko halmashauri ya Kigamboni. Bei hizi zinasimamiwa na ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kutunisha mfuko wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kubadilishana nyumba / kiwanja kwa Gari

    Sold
  5. T

    JamiiForums Tanzania House4Rent Vyumba vinapangishwa

    Mahali: Kifuru mwanzo mgum jirani na stend mpya ya Mbezi Luis Vyumba bado Vipya ko havina kipengele Vyumba ni viwili yani sebule na chumba Self container kwa kila mpangaji Umeme kila mpangaji mita yake poa Maji kila mpangaji mita yake Umbali kutoka barabara ya lami inayoenda Mbezi Luis/...
  6. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Investing/ A growing Dodoma: I think President JPM hajaeleweka kuhusu mapato ya ardhi na nyumba

    Greetings! Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa hapo tofauti na a notable commercial city like Dar. My intention is to advise the CiC kuhusu...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

    Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi! Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya...
  8. wirewizard

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa nyumba na mashine za umeme (electrical techinician) naomba kazi

    Habari ndg zangu wana JF, NAMSHUKURU MUNGU kwa kunipa wazo hili la kuleta ombi la kazi hapa jukwaani,,,mimi ni fundi wa umeme mwenye uzoefu mkubwa. Nimejiajiri mimi mwenyewe, kutokana na hali ilivyo kwa kwa sasa, kwa kifupi sina kazi! Au by the way kazi ni...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

    Mkurugenzi wa Meatu mkoani Simiyu amechomewa nyumba yake usiku wa kuamkia leo. Nyumba yote imechomwa na vitu vyote vilivyomo ndani. RPC wa Simiyu, ACP Richard Abwao amesema kwenye nyumba alikuwepo mdogo wake na Mkurugenzi Fabian Manonza ndiye aliona moshi ndani na kibaya zaidi gesi nayo...
  10. Byra toilet construction

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji na ujenzi wa shimo la choo la kisasa kwa bei rafiki

    Hello, Watanzania habari? BYRA TOILET CONSTRUCTORS Tunachimba na kujenga shimo la choo kwa mfumo wa kisasa usiojaa maji taka wala kutoa harufu kwa mda mrefu sana..kwa gharama zifuatazo: 1,200,000/= kwa mkoa wa Daresalaam 1,500,000/= kwa mikoa mingine Note: KWA BEI HIYO KILA KITU NI JUU YETU...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa ni wewe ungenunua nyumba hii kwa kiasi gani (zungumzia mazingira ya Tanzania)?

    Nyumba ya Kobe Bryant Yapigwa Mnada Nyumba aliyokalia aliyekuwa gwiji wa mpira wa Kikapu, marehemu Kobe Bryant imepigwa mnada na kuuzwa kwa kiasi cha ($810,000) sawa na TZS. Bilioni 1.8. Kwa mujibu wa TMZ Sports, nyumba hiyo iliyopo mjini Pennsylvania iliwekwa sokoni mwezi Septemba kwa dau...
  12. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mradi wa nyumba Simple, Miliki Nyumba Kwa Milioni 12 tu

    Drone Online Ads tumekuwa kwa muda mrefu tukiwasaidia watanzania mbinu tofauti na ushauri bure wa namna ya kujenga nyumba bora kwa kutumia gharama nafuu. Hii inatokana na uzofu wetu katika ujenzi, timu ya wataalam wa kutosha wanaoshirikiana sambamba na uwezo wa kupata materials ya ujenzi kutoka...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
  14. Nazjaz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumba ya Freeman Mbowe yazungukwa na polisi wenye silaha

    Polisi wenye silaha wameizunguka nyumba ya Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe. Tumuombe sana @freemanmbowetz maana naskia hao jamaa wenye silaha waliozingira nyumba yake wanasema wametumwa kuchukua roho ya Mbowe.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tandika Kaburi Moja

    Habari wana jf Nyumba inauzwa ipo tandika kaburi moja sifa za nyumba: ina vyumba vitatu vya ndani vyote master ina vyumba viwili na sitting room zake kwa nje ila bado vipo ndani ya fensi ina fremu ya duka ina sehemu ya jiko ina choo cha nje inafikika kwa gari mpaka mlangoni ina tiles kot...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tandika

    Habari wana jf Nyumba inauzwa ipo tandika kaburi moja sifa za nyumba: ina vyumba vitatu vya ndani vyote master ina vyumba viwili na sitting room zake kwa nje ila bado vipo ndani ya fensi ina fremu ya duka ina sehemu ya jiko ina choo cha nje inafikika kwa gari mpaka mlangoni ina tiles kot...
  17. NCCR Mageuzi

    JamiiForums Tanzania GE2020 James Mbatia aomba kura nyumba kwa nyumba jimbo la Vunjo

    Siku chache mara baada ya Tume ya Taifa ya uchaguzi kumzuia kufanya mikutano ya hadhara Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo ndugu James Francis Mbatia kwa ajili ya kampeni za kuomba kura, sasa ndugu Mbatia ameamua kuomba kura nyumba kwa nyumba huku kundi kubwa la wananchi na wanachama wa chama cha...
  18. yuda75

    JamiiForums Tanzania Naitaji ramani ya nyumba

    habari naitaji ramani ya nyumba vyumba vitatu na sebule chumba kimoja master then public toilet kiawanja ni sq 15/15 kipo arusha pia ni flat hakuna mwinuko hata kidogo pia nipate kujua vifaa na idadi ya vitu vitakavyo itajika hadi kufika kwenye lentaa asanteni
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili nyumba wanazojengewa Marais Wastaafu Tanzania

    1. Naomba kujua nyumba Mwalimu aliyojengewa na serikali ilijengwa lini na wapi? 2. Naomba kujua Mkapa alijengewa nyumba yake wapi? 3. Naomba kujua kwa changamoto wananchi tulizonazo Hawa wazee wakitoa sadaka hizo pesa za nyumba zikajenga japo hospital haitakubalika? 4. Hawa viongozi...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999...
Back
Top Bottom