Nikimsaidia mke wangu kuosha vyombo kwenye korido ya nyumba ya kupanga ni kosa?

Hivi Kuna ubaya wowote kumsaidia mke wako kuosha vyombo koridoni?

Nadhani hakuna shida ni ushamba wa wanaume wa afrika.

Bold but nothing!

Mimi naosha vyombo bila shida yoyote.

Long live mama f
Sio kosa kabisa.
 
Back
Top Bottom