nyumba

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yabomoa nyumba 117 Mtwara

    Nyumba 117 zimebomoka katika Manispaa ya Mtwara Mikindani na watu kadhaa kukosa makazi huku nyumba 315 zimezingirwa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa alisema jana kuwa watu hao ambao hawana makazi wamehifadhiwa kwa jamaa zao. Hata hivyo...
  2. P

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba tatu zinauzwa Chanika

    nyumba tatu zilizokua kwenye kiwanja kimoja zinauzwa Mahali: Chanika ukubwa wa kiwanja ni 1405 sqm matumizi ya nyumba yanaweza kutumika kwaajili ya makazi au biashara ya kupokea wageni Huduma: maji, umeme na shule ipo karibu umbali kutoka barabara ya lami ni 2km na umbali kutoka barabara kubwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Badala ya nyumba kubomolewa je haiwezekani kuhamishwa?

    Tumeshuhudia nyumba zenye thamani zikibomolewa kutokana na sababu mbalimbali. Je huko dunia ya kwanza na wao huwa wanabomoa nyumba wanapokuwa wanahitaji eneo ambalo nyumba imejengwa?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria wa nyumba za kupanga kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Habari zenu wakuu. Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia nihame pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuhama, nichukue hatua gani?
  5. P

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Goba

    NYUMBA INAPNGISHWA Mahali: Goba center Namba ya vyumba: nyumba ina vyumba vitatu(viwil self contained rooms), jiko, mahali pa kulia chakula na sebule Umbali: Nyumba ipo Mita 500 kutoka barabara ya Goba road Huduma: Nyumba ina luku na maji binafsi Bei: 600,000 Mawasiliano: 0629615557 Case: 33A...
  6. P

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Boko

    NYUMBA INAPANGISHWA Mahali: Boko kwa mpemba Namba ya vyumba: nyumba ina vyumba viwili (kimoja ni master bedroom), sebule, jiko ndani na nje, Choo cha jumuiya ndani na nje, stoo na mahali pa kupumzka. Huduma: maji, umeme na AC Nyumba ina umbali wa mita 300 kutoka Bagamoyo road. Bei: 500,000/=...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Watanzania chanzo chake ni kupenda kujenga nyumba ya kuishi kwanza badala ya kuanzisha biashara

    Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania. Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia. Wenzetu Wahindi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, ipi ni nafasi ya dalali kwenye upangishaji wa nyumba?

    Upangishaji wa nyumba au chumba unaendeshwa na Sheria ya Ardhi ya mwaka 1999 , ambapo sheria hiyo imetaja wahusika wawili tu katika upangishaji. Wahusika hao ni mpangaji na mpangishaji, sheria hii haijataja nafasi ya dalali, hivyo dalali anakuwepo kwa makubaliano kati ya mpangishaji au...
  9. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  10. Yoranda

    JamiiForums Tanzania Ukijengea nyumba kwa hela ya kuhemea ni ujinga

    Eti jameni mume wangu amejenga kijumba haijaisha bado. Tunakula dagaa na nyama mara moja moja, Je anatesaje wanae? Kwa kuwa ni kweli ujenzi hauishi siku moja, sawa ujinga unakujaje hapo
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kupangisha nyumba zenye samani ni chache Tanzania

    Nyumba yenye samani zote (full furnished house) ni inayokuja kwa kasi Tanzania. Samani za muhimu ni kitanda na godoro, kabati la nguo lenye kioo, chumbani. Jikoni ni jiko, fridge, washing machine, kettle, sufuria sahani na vyombo vya kulia. Sebuleni sofa na TV. Kwa sasa pango la nyumba hizi...
  12. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Baba Mwenye Nyumba ana ujumbe gani kwangu?

    Nilikuwa Nacheck game ya Simba kwa baba mwenye Nyumba ambaye ni shabiki wa Utopolo FC. Nimeshindwa kushangilia maana baada ya goli nimeonekana na uso wa tabasamu, Mara nikamwona kasimama kaingia chumbani na kurudi na karatasi na kalamu Sijui alikuwa anataka kubeti lakini anasema ana ujumbe...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa kukata miti pembeni ya nyumba anahitajika

    Wana Jf, Ninahitaji mtaalam ambaye anauwezo wa kukata miti iliyooitiliza urefu pembeni ya nyumba mi ashoki imekuwa mirefu unajua iko pembeni ya nyumba inahitaji utaalam naomba mwenye ujuzi huo napatikana Tabata Kinyerezi tuwasiliane anifanyie hiyo kazi.
  14. F

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mkuranga Mjini

    Ipo mkuranga mjini km moja toka barabara kuu ina vyumba vitatu kimoja master bedroom ina umeme maji mawasiliano 0655204110 na 0699492380.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Sisimizi wekundu Ndani ya Nyumba

    Imekua kero sasa, maana hawa wadudu wanasumbua sana. Je, nitumie dawa gani, kuondoa uwepo wao au kuwaangamiza.
  16. mkenya wa kova

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza urembo safi wa nyumba kama inavyoonekana katika hizi picha

    Ni mtaalam wa finishing ya urembo wa nyumba tunapatikana kote Tanzania na Kenya. Njoo WhatsApp kwa namba hizi +254759792752 au+255719999526
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dar: Nyumba 16 zasombwa na maji baada ya mto kutanuka

    Baadhi ya wakazi wa Kimara Kibo, Dar es Salaam wanaoishi kando ya mto Gide wamelazimika kuhama baada ya mto huo kutanuka na kusomba nyumba 16. Waathirika wa tukio hilo wameomba msaada kwa wakati huu ambao baadhi yao wanahifadhiwa kwa majirani huku wengine wakisemekana kufariki kwa mshtuko...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kuna gari imesimama nje ya nyumba yangu getini naogopa kutoka nje

    Ni Land cruiser yenye vioo tinted imesimama nje ya geti toka saa nne usiku na imeondoka alfajiri ya saa kumi Namba zake ni t 456 ... Iliwekwa kiubavu. Dirisha lilifungulikwa kidogo.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

    Heri ya mwaka mpya wapendwa. Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu, kuna uwezekano wa kuwekewa mita tofauti na ya Tanesco ambayo naweza nikatumia peke angu iwe kwenye frame ya biashara au nyumba ya kupanga?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo zuri kwajili ya hospital, yard, shule etc. Linauzwa

    Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
Back
Top Bottom