Nawasalimu kwa jina la jamhuri
Mwaka jana mwezi wa kwanza nilipanda migomba kama 30 katikaeneo la nyumbani napoishi. Kabla ya kupanda niliwauliza wataalamu hasa watu wanaotokea maeneo ambayo wanalima sana ndizi kama Moshi, Bukoba na Tukuyu kujua aina za ndizi na matumizi yake na namna ya...
Habari,
Wote wazima, okay. Kama mada inavyosema, Je, mmoja wa wazazi wako alikuwa ni mwalimu au ni mwalimu,
Je kipindi unasoma Hali ilikuwaje hapo nyumbani!?
Kwa kipindi hiki ambapo uhalifu umeongezeka Mtaani waelimishe yafuatayo wanaoshinda nyumbani.
1. Wasiwaamini wasiwaruhusu kuingia ndani wauza urembo.waokota makopo,watembeza nguo na wanaosajili line za simu.
2. Tusiwaamini/tusiwakaribishe ndani warembaji wa kucha na wasugua miguu...
Jamaa alipata kiwanja Mbezi Beach siku nyingi sana. Kazini alikua anafanya kazi kwenye mradi wa Danish, alikutana na mke wake hapo. Walienda kuishi wote Denmark baada ya mkataba wa mke wake kuisha.
Kule jamaa alijifunza kazi za kulea wazee. Alianza kujenga nyumba yake ya Mbezi Beach kwa ramani...
Leo nawaibia kidogo kuhusu uwekezaji kwenye nyumba za kupangisha hii ní biashara nzuri sana ambayo utaishi bila kuwa na mashaka yoyote yale katika mzunguko wako kipesa na família.
Iko hivi mfano unaenda Dodoma unapata kiwanja sqm 1000 cha bei 20m ambacho utaweza kujenga unit 4 ambazo moja ya...
Waarabu wa kale waliweza kuchonga miamba na kuifanya makazi, waliweka milango na madirisha kujikinga na baridi pia wanyama wakali hata wezi.
Walikwenda mbali zaidi katika mazingira ya Zama za Mawe.
Nchi hii tunaenda wapi?
Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni...
Habari wadau..!
Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina.
Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana .
Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie...
Wanaume hawa wanapoenda kununua viwanja hawatuagi, na wakati mwingine ananunua akifariki bahati mbaya unashangaa kumbe wake mko sita wakati unajua uko peke yako" - Sophia Mwakagenda ( Mbunge JMT )
Chanzo: EastAfricaRadio
Wanawake sijui ni kwanini mnakuwa wabishi kulikubali na Kulielewa hili...
Jamaa yangu hajamaliza ujenzi kwake huko Madale. Kwa hiyo bado anaishi nyumba za kupanga. Juz juz hapa kahamia nyumba ya kupanga maeneo flani hivi.
Anasema hakujua kuwa na mama mwenye nyumba naye anaishi kwenye compound hiyo hiyo maana mle ndani kuna nyumba 4. Kumbe moja wapo ndo ya mama mwenye...
Good afternoon JamiiForums.
Je, unataka urafiki wenu uendelee kudumu miaka na miaka? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako. Usifikiri mkijenga majirani ndio mtadumisha urafiki wenu mkuu. Hapana kwa sababu kuu moja kwamba, wewe na yeye mnaweza kuwa "best friends" lakini wake...
SCENARIO [emoji1484]
(A). Tuseme ni Ayuoub( ni mmliki wa nyumba) .
(S).Tuseme ni Salim ( mteja wa nyumba ya Ayoub 2014).
(P).Tuseme ni peter pia nae ni ( mteja wa nyumba ya ayoub 2019 ).
Ayoub ni mmliki wa nyumba ndani ya manisipa iliopo ndani ya jiji X .mwaka 2014 alipokea kiasi cha shilingi...
Nilikutana na mama mmoja ana real estate, nyumba zake hazipungui 20. Nilikua na hamu ya kufahamu alianzaje. Aliniekeza kuwa alipata ajira yake ya kwanza akiwa na miaka 26. Kazi ilikua nzuri na hakua na maisha ya anasa. Alinunua kiwanja na kujenga nyumba ya nyuma kuanzia. Ilkua na vyumba...
Naomba kuwajulisha kuwa Nauza nyumba Ipo Kiharaka ukipita daraja la Bunju unapinda kulia ilipo kambi ya jeshi sasa kabla ya kufika Nyumba ipo hapo Serikali za mitaa.
Ukubwa wa Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni Master,
Seating Room
Public toilet
Store
Nje ina fremu mbili kama unataka kufanya...
Habari wakuu...
Kwa sasa kuna kundi kubwa sana la watu wanaofanya ujenzi kwa watu binafsi kwa mkataba, ukitembelea instagram utaona ni jinsi gani walivo wengi.
Changamoto kubwa iliyopo ni kujua yupi anayeweza kufanya kazi kweli maaana picha baadhi wanatoa tu mtandaoni na wengine ku copy za...
Hebu wanaomshughulikia Mh. Mbowe kwa kumsababishia awe na hali ngumu ya kisiasa na kiuchumi waniambie ni Mzee gani alimpa mzee Nyerere makochi ya kukalia katika nyumba yake aliyopewa iliyopo magomeni wakati wa kudai uhuru?
Nyumba hiyo ipo magomeni imekuwa kama nyumba ya mkumbusho ukienda hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.