Songwe: Mtu 1 afariki baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,492
9,265
Happymark Msuwila amepoteza maisha huku Jinasa Mayunga (54) akijeruhiwa baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita za karibu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando, amesema mlipuko huo ulitokea Jumatatu usiku katika nyumba ya Daud Mwakitalina ambapo mwili wa marehemu ulikutwa umetawanyika

=============

DYNAMITES used in rock blasting in gold mines have exploded in one house in Songwe killing one person and wounding another as well as seriously damaging six nearby houses.

Songwe Regional Police Commander George Kyando who arrived at the site of the blast on Tuesday said the blast occurred on Monday at 4.00pm at the house of Daud Mwakitalina in Kigamboni area, Saza Ward in Mbozi District. He mentioned the deceased as Happymark Msuwila whose body was found scattered around the house.

RPC Kyando said the dynamite exploded when the deceased was in the process of taking the stuff to customers. He said the wounded was identified Jinasa Mayunga (54) who was taken to Mwambani mission hospital for treatment and later discharged.

He said in the sad incident, late Daud,’s house was totally damaged while six others nearby developed cracks and windows broken. RPC Kyando said the owner of the house which stored the dynamite was being held for trading in illegal explosives.

Chanzo: IPPMedia
 
Back
Top Bottom