Habari za wasaa huu ndugu na marafiki.
Bado naendelea na mradi kuchora Romai ya nyumba bomba ya kuishi.
Ila bado sijamaliza. Kama nilivyo ahidi kwamba nitakua na tabia ya kupost kila napofikia.
Na hapa ndipo nilipofikia. Lakini bado kazi inaendelea. Mpaka pale nitakapo kuwa nimemalza...
Salaaaaam, juzi nilipata kuhudhuria msiba wa ndugu yangu katika Kijiji fulani mkoani Mbeya na nilishangaa kuona balozi kwa unyenyekevu akitangaza kuwa kaletewa taarifa kutoka juu zikidai Rais atakuepo hapa Mbeya tarehe 30 September kwa hiyo wananchi wa pale kijijini wajitokeze kwa wingi viwanja...
Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.
Wametoa agizo hilo leo Septemba...
Ningeomba kila nyumba iwe na taa ya nje na usiku iwashwe,majiji yetu yakiwa na taa za nje hasa tube light hupendeza sana hasa unapoanza kuingia toka safari.
Mwisho nadhani Tabora sasa ikifikishiwa huduma ya maji yafaa iwe jiji.
Niliona hii DSM na Sasa hivi naiona hapa Mwanza, wapo wanawake na vijana wanashona nguo za vyama vya siasa na kupita nyumba kwa nyumba wakidai wanasajili wapiga kura. Watu Hawa wanahitaji jina na namba ya kitambulisho cha mpiga kura. Ukishawapa wapa taarifa zako au ukiwanyima wanakugusia hoja ya...
Viongozi wa dini Unguja, Pemba wamelaani tukio lilitokea Septemba 22 ktk msikiti mmoja huko Pemba ambapo watu watatu walishambuliwa kwa panga
Viongozi wa dini kutoka Zanzibar wako mubashara wakitoa tamko la amani wakati wa kampeni na uchaguzi, katika jambo alilozingumzia baba askofu amesema...
NYUMBA INAUZWA TABATA KIMANGA
Nyumba ina sebule, jiko, mahala pa kulia chakula, Choo na bafu la jumuiya, vyumba viwili na master bedroom kimoja pia nyumba ina nyongeza ya chumba vya nje.
Kiwanja kina ukubwa wa 500 sqm
Kiwanja kina ofa na kimepimwa
BEI 50 million (negotiable)
Mawasiliano...
Habari wakuu,
Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako.
Marekebisho ninayofanya ni...
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?
Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?
Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive;
Unakuta mtu alikuwa anaishi katika nyumba ya kupanga vyumba viwili chumba na sebule, lakini kwa...
Natumai wote wazima.
Apartment nzuri zinazojitegemea (Vyumba 2 vya kulala, Sebule,Jiko,Choo) zinapatikana Kimara na Mbezi/MOROGORO Rd.
Pamoja na Nyumba (kubwa) za pekeyake zipo hizo na nyingine nyingi.
Maeneo tofauti tofauti ya Jiko la Dar.
Pia Mikoani tunakupatia huduma kwa uaminifu mkubwa...
Ndugu zangu;
Kwa desturi yetu sisi watanzania,kumiliki mjengo ni moja kati aya ndoto za watu wengi na pia ni kama kipimo cha kiwango cha ukwasi(Networth).Katika kutafuta maisha wengi wetu tunafikiri kwamba kupanga nyumba ni umaskini.
Leo nawakaribisha tujadili kwa pamoja juu ya hizi options...
Baada ya serikali ya awamu ya 5 kuingia madarakani jambo la kwanza kabisa kulifanya ilikuwa ni kuvunja vunja nyumba za raia masikini wa Kinondoni Mkwajuni kwa kisingizio cha nyumba hizo kujengwa kwenye eneo hatarishi , hata hivyo hakukuwa na taarifa yoyote kutoka TMA au chanzo chochote kuhusu...
Habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa.
Kiwanja changu ni 15*15 kipo Arusha ila mmi nipo DSM kiwanja kipo sehemu flati na kipo vizuri kabisa.
Msaada wenu au ushauri wadau.
Pwani Real Estate tumekuwa kwa muda wa miaka 4 mfululizo tunazalisha tofali na kuuza material ya ujenzi kwa cash na malipo ya awamu awamu. Lakini kutokana na wateja wetu baadhi kulipia materials kwa muda sasa bila kuyapeleka site, yamefanya tufanye tafiti na kujua chanzo.
Sababu kubwa...
Hizi nyumba maeneo yao hawana ujirani, walikuwa na ujirani wakati wa ujenzi labda. Wengine hata mpaka wanahamia nyumba zao za mageti hamjui jirani yake.
Haya maisha sio kabisa, Allah aniepushe na mfumo huu wa maisha na aniepushe na majirani watu wa mageti wasio jali wala kujua majirani zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.