nyuma

Tom Nyuma (died January 26, 2014) was a Sierra Leonean military commander and the chairman of the Kailahun District council. He was elected as chairman of Kailahun District council on July 6, 2008 with 87% of the vote running on the opposition Sierra Leone People's Party (SLPP) ticket.
Nyuma was born in Kailahun, and was very popular in the Southern and Eastern regions of the country. In March 2012, Nyuma left the SLPP and joined the All People's Congress (APC) of President Ernest Bai Koroma.He was at the rank of Lieutenant Colonel in the Republic of Sierra Leone Armed Forces before he retired. On 29 April 1992, Nyuma was one of the young officers in the Sierra Leonean army who ousted the APC government led by Joseph Saidu Momoh. They established the National Provisional Ruling Council (NPRC) to run the government. During the NPRC administration, Nyuma was the commander of the Eastern Province. He was a member of the Kissi ethnic group and an alum of Ohio State University in Columbus, Ohio U.S.A.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo nyuma ya wakati

    Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea kutokea Kijitonyama. Binafsi ni miezi 6 tangu nifike Tabata, route zangu zilikuwa hazinipeleki kule. Ila kila tukikunja kona, ninashangaa jinsi mji ilivyobadilika. It’s just not the same. Maduka mengi yamevunjwa na kuwekwa kisasa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  3. JamiiForums Tanzania Unachokoza wanaume halafu unakimbia kujificha nyuma ya mkeo na watoto, Hamas Wanachekesha sana

    Kwema Wakuu! Mchezo anaotumia Hamas na magaidi ni mchezo wa kitoto ambao hutumiwa na Lastborn wengi au watoto wakike. Unachokoza wanaume alafu unatoka nduki kujificha nyuma ya matako ya mkeo unategemea wanaume wafanye nini? Ukipigwa wewe na mkeo na watoto unaanza kulialia. Wanawake ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Maonesho ya SIDO Kitaifa Mkoani Njombe Yavutia zaidi Wajasiriamali Kuonesha Bidhaa Zao Ikilinganishwa na Miaka ya Nyuma

    Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho hayo. Kigahe amesema kuwa mikoa yote nchini imeleta washiriki kwenye maonesho hayo kwa siku 10 na kutoa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Makonda anaonyesha tabia zetu za ushabiki wa kitoto zinaturudisha nyuma

    Watu wengi wamekuwa na ushabiki sana wakati huu Makonda kupewa usemaji wa CCM. Ukianza kuuliza maswali muhimu Je Makonda kafanya nini cha maana kimaendeleo wakati wake? Hakuna majibu ya maana. Wakati bandari inapewa DP world bila kuweka mikataba mingine wazi, nchi ina tatizo la umeme, kampuni...
  6. JamiiForums Tanzania Hamas warudisha nyuma jaribio la mwanzo la jeshi la Israel kuingia Gaza kwa miguu

    Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao. Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na...
  7. JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Samia analazimishwa kuitwa sasa Mama wa Taifa kwakuwa kuna huu Mpango Mkakati kabambe nyuma ya Pazia?

    Haya akina Hussein Mwinyi uliyekuwa Unaota kuja Bara 2025, akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Ridhiwani Kikwete na Dotto Biteko mnaohangaika Kujipanga kwa 2030 nawaombeni kuanzia sasa Sahauni huo Mpango. Za uhakika ni kwamba Aliyeko sasa ( Boss Wenu ) anamalizia hii Minne ya Deiwaka (...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Iwapo Yanga ataingia fainali CL msimu huu, jitihada zote za Simba kwa miaka sita nyuma zitakuwa na maana!?

    Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo, Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo Simba ashafika nusu...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

    Binamu wanaoana..... Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili. Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima. Ningefukuzwa. Hivi hekima haswa iliyojificha nyuma...
  10. JamiiForums Tanzania Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

    Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani. Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini. Hawa huwezi...
  11. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kuhamisha viongozi waliofeli inazidi kuturudisha nyuma kimaendeleo

    Kuna tabia moja imekuwa inanishangaza sana kwa muda mrefu kuhusu uongozi wetu wa hii nchi. Sijui kwanini tupo hivi ila unakuta kiongozi wa serikali mfano amefanya mambo ya ajabu wizara flani baada ya kugundulika eti ana hamishwa ile wizara anapelekwa wizara nyingine. Mfano mwingine, Unakuta...
  12. JamiiForums Tanzania Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

    Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013 ............................ WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
  13. JamiiForums Tanzania Wazazi acheni kulazimisha vijana wawatatulie changamoto zenu ambazo nyie mlishindwa kuzitatua kwa uzembe wenu

    Toka ujana wako wote mpaka unafikia umri huo hukujenga hata kichumba na kisebule eti unasubilia kijana wako uliemzaa asome kuanzia kindigate mpaka chuo, atafute ajira, ahangaike weee!! Ndo aje akujengee??? Aaahhh! Uzembe ulioje huo? Yaani wewe miaka yote ya ujana wako mpaka unazeeka ulishindwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nani yuko Nyuma ya hizi taasisi za kumsemea Rais. Je, zinaendeshwa kwa ufadhili wa fedha za nani? Na Nini hasa makusudio Yake?

    Nawasalimia kwa Jina la JMT, Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo. Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama. Kifupi ni kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Usifurahie Uteuzi bali Sikitika kwani Dossiers zako zimeonyesha Wewe ni Tishio na waliokuwa nyuma yako

    Tena kama kuna Kipindi unatakiwa uwe makini ni sasa kwakuwa hata akina GENTAMYCINE tulipokuwa Kozi kule Venezuela na Kisiwani Puerto Rico tulifundishwa kuwa ukitaka Kummaliza Adui yako onyesha Upendo na Heshima ya Kinafiki Kwake, Msogeze karibu, Msome, wajue Watu wake wa Mikakati, mjaze Upepo (...
  16. JamiiForums Tanzania Nimetokwa na kijipu sehemu ya siri ghafla, naomba msaada

    Ni jambo lenye ukakasi ila sinabudi kulizungumza. Naomba mniwie radhi. Nilisafiri sehemu nikakaa siku moja, yapili nikarudi, naweza sema nimekaa siku mbili, lakini zaidi ya haja dogo, sijaenda haja kubwa hata maramoja. Niliporudi ninapoishi siku ya kwanza nikapata choo kigumu, siku ya pili...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

    Licha ya Makelele ya TEC na Chadema ila Msemaji wa Serikali bwana Msingwa amesema Serikali itaendelea na uwekezaji na DP World kama ilivyopangwa ila itazingatia maoni ya wadau. ======= SERIKALI KUENDELEA NA MCHAKATO WA UWEKEZAJI BANDARI NA DP WORLD Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kila hatua...
  18. JamiiForums Tanzania Kama taifa ndio tumefikia huku? Je, shida ni ule waraka au kuna kingine hatukijui nyuma ya pazia?

    Jambo hili halileti afya kwa taifa. Tujitafakari! NB: Mwandiko niwa mtu mmoja!.
  19. JamiiForums Tanzania Chapa ya Mpinga Kristo nyuma ya Worldcoin na Crypto currency, AI robot

    Kabla sijaenda kwenye lengo kuu la mada hii nielezee kwanza Worldcoin ni nini ? Cypto/Cryptocurrency ni nini ? na mahusiano yake na AI robot. Baadhi ya member wa JF nimeona wakigusia mada hii kwa sehemu ndogo.. Worldcoin ni nini? Worldcoin ni jukwaa la utambuzi wa kidijitali ambalo linalenga...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

    WANAUKUMBI. Hii ni kauli ya Dr Slaa. Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi "Najua kuna viongozi wanakaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…