Kuna watu wapo nyuma ya Profesa Janabi?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,744
Huyu Prof Janabi yupo na watu ambao kuna kitengo cha propaganda chama tawala kina tumia sana watu ambao wanaweka utofauti au kuwatoa watu kwenye kuuliza ili tu wasigundulike.

Inakuwaje kila Prof Janab kuzuia ndio hivo ambavyo tukipigiana kelele humu kuhusu kukosekana, mifumuko ya bei na n.k.

Nasikia kaja na swala la kuoga mara tatu kwa wiki nzima.
halafu shida ya maji ndio imepamba.
 
Inakuwaje kila prof janab kuzuia ndio hivo ambavyo tukipigiana kelele humu kuhusu kukosekana, mifumuko ya bei na n.k.

Kwani mama Abduli kiuno size gani au naye anakula mara 2 kwa Siku?
 
Huyu Prof Janabi yupo na watu ambao kuna kitengo cha propaganda chama tawala kina tumia sana watu ambao wanaweka utofauti au kuwatoa watu kwenye kuuliza ili tu wasigundulike.

Inakuwaje kila prof janab kuzuia ndio hivo ambavyo tukipigiana kelele humu kuhusu kukosekana, mifumuko ya bei na n.k.

Nasikia kaja na swala la kuoga mara tatu kwa wiki nzima.
halafu shida ya maji ndio imepamba.

Hivi umeandika nini??
Anyway labda kwa sababu nina wenge la usingizi maan ni Saa sita kasoro usiku.
 
Huyu Prof Janabi yupo na watu ambao kuna kitengo cha propaganda chama tawala kina tumia sana watu ambao wanaweka utofauti au kuwatoa watu kwenye kuuliza ili tu wasigundulike.

Inakuwaje kila Prof Janab kuzuia ndio hivo ambavyo tukipigiana kelele humu kuhusu kukosekana, mifumuko ya bei na n.k.

Nasikia kaja na swala la kuoga mara tatu kwa wiki nzima.
halafu shida ya maji ndio imepamba.
Labda dishi lake limeyumba. Prof. gani anatoa ushauri kama mganga wa kinyeji?
 
Sukari kasema ni mbaya, maji nayo kuyaoga iwe kwa muda mrefu, bado hajasema kuhusu umeme nao ukoje katika kuutumia
 
Sasa usipooga kwa muda wote huo mwili si utavunda na kunuka uozo ukiwa jijini dar, jiji lenye joto kali linalotaka uoge kutwa mara tatu kwa siku? Anaweza akatumika kisiasa kufanya propaganda juu ya mambo yanayojitokeza na kupigiwa kelele na wananchi
 
Back
Top Bottom