Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

YEHOVA

Senior Member
Sep 23, 2023
149
234
Hakuna kama Yehova,

1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,

2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%

3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu wa Wakristo duniani,

4. Kwa Ukubwa nikabaini ni chombo chenye mafungamo ya karibu na dini ya kiisilamu na kwambali na Uanglikana,

5. Nikagundua pia Pamoja na nchi za kiisilamu kuwa na wimbi baya la Ushoga na mashoga bado BBC imeelekeza nguvu kupambana na Kanisa Katoliki ili kujaribu kuiaminisha Dunia kuwa Katoliki inavutia Ushoga,

6. Nimebaini baada ya kuivuruga Katoliki Sasa BBC imemvaa marehemu TB Joshua ili tu kujaribu kusambaratisha Kanisa la Mungu "The Church of all Nations" liliko Lagos Nigeria,

7. Nimebaini jambo pekee wanaloweza kulifanya Wakristu ni kuhakikisha BBC inakufa kwani imejipa kazi ya kupambana na Mungu wa Ibrahim na Isaka, Mungu wa Elia na Elisha, Mungu wa TB Joshua na Mungu wa Jakobo ambae pia ni Mungu wangu na kwaasili ananguvu sana.

#Nashauri wakrisho wote tususie hiki chombo Cha habari Cha BBC kuanzia Sasa.
 
Hakuna kama Yehova,

1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,

2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%

3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu wa Wakristo duniani,

4. Kwa Ukubwa nikabaini ni chombo chenye mafungamo ya karibu na dini ya kiisilamu na kwambali na Uanglikana,

5. Pamoja na nchi za kiisilamu kuwa na wimbi baya la Ushoga na mashoga bado BBC imeelekeza nguvu kupambana na Kanisa Katoliki ili kujaribu kuiaminisha Dunia kuwa Katoliki inavutia Ushoga,

6. Sasa BBC imemvaa marehemu TB Joshua ili tu kujaribu kusambaratisha Kanisa la Mungu "The Church of all Nations" liliko Lagos Nigeria,

7. Nimebaini jambo pekee wanaloweza kulifanya Wakristu ni kuhakikisha BBC inakufa kwani imejipa kazi ya kupambana na Mungu wa Ibrahim na Isaka, Mungu Elia na Elisha, Mungu wa TB Joshua na Mungu wa jakobo etc

#Nashauri wakrisho wote tususie hiki chombo Cha habari Cha BBC
Madudu yenu ya uongo yanavuliwa nguo na BBC mnaanza kutokwa na majasho?

TB Joshua wenu kaumbuliwa huko
 
Sio rahisi BBC kutoa kashifa za uongo because of the legal consequences. Hii ni habari imetoka after thorough investigation, na kubaini TB Joshua alikuwa tapeli, mwizi, mbakaji, muuza ndaga na muuaji. Ogopa sana matapeli wa Nigeria
 
BBC ni WA kweli they call a spade spade siyo kama tbc ya kupaka Paka rangi. Ulitaka waseme uongo ili kukufurahisha na T.B Joshua wenu aliyekuwa anatoa Mimba watu ovyo ovyo
Hata mimi naona BBC na ushoga damudamu na kwa sasa wamegeuka kuwa wasemaji wa Kanisa Katoliki hata kuliko sources of information of Kanisa Katoliki kama vile Vatican News, CNA (Catholic News Agency) au EWTN. Na hasa wanaweka mlengo wao mbele zaidi kuliko ukweli wa habari husika. Mfano, wachangiaji wengi wanaochangia kuhusu Papa alichosema kuhusu ushoga na ndoa za mashoga wanachukua maoni ya BBC zaidi kuliko Declaration (Fiducia Supplicans). Na pia document imeongelea watu walio katika 'irregular marriage", lakini hawa BBC haijawagusa kabisa kwa sababu mlengo wao ni ushoga (sijui ni kampeni pia?).
 
Hakuna kama Yehova,

1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,

2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%

3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu wa Wakristo duniani,

4. Kwa Ukubwa nikabaini ni chombo chenye mafungamo ya karibu na dini ya kiisilamu na kwambali na Uanglikana,

5. Pamoja na nchi za kiisilamu kuwa na wimbi baya la Ushoga na mashoga bado BBC imeelekeza nguvu kupambana na Kanisa Katoliki ili kujaribu kuiaminisha Dunia kuwa Katoliki inavutia Ushoga,

6. Sasa BBC imemvaa marehemu TB Joshua ili tu kujaribu kusambaratisha Kanisa la Mungu "The Church of all Nations" liliko Lagos Nigeria,

7. Nimebaini jambo pekee wanaloweza kulifanya Wakristu ni kuhakikisha BBC inakufa kwani imejipa kazi ya kupambana na Mungu wa Ibrahim na Isaka, Mungu Elia na Elisha, Mungu wa TB Joshua na Mungu wa jakobo etc

#Nashauri wakrisho wote tususie hiki chombo Cha habari Cha BBC
Hao mashoga wa BBC nani anawafuatilia siku hizi?
 
Kipara nae angebaki angenyanduliwa tu pale BBC hakuna matata
 
Kama ni kweli huyo mchungaji aliyafanya na ushuhuda upo basi tusipambane na wao
Kweli BBC wana unafiki mwingi ila wakiamua kutuma watu kuchunguza wanaingia deep zaidi sio zetu za hearsay mpaka waandishi wetu yuko Dar anaandika ya Kigoma halafu anahitimisha kuwa eti Simu za fulani hazipatikani kila tukimpigia (hao ndio waandishi wetu) au zimegonga mwamba 😄
Napenda Panorama sana kwani huwa wanafuatilia mpaka Mexico
Kama ni Ushoga wamepania kila nyanja kuanzia Habari, mashuleni na kila sehemu
Mpaka Mabungeni wamejaa hawa jamaa
Na Israel ndio wanaongoza kwani kila mwaka wanakutana Tel Aviv Dunia yote
 
Kama ni kweli huyo mchungaji aliyafanya na ushuhuda upo basi tusipambane na wao
Kweli BBC wana unafiki mwingi ila wakiamua kutuma watu kuchunguza wanaingia deep zaidi sio zetu za hearsay mpaka waandishi wetu yuko Dar anaandika ya Kigoma halafu anahitimisha kuwa eti Simu za fulani hazipatikani kila tukimpigia (hao ndio waandishi wetu) au zimegonga mwamba 😄
Napenda Pamorama sana kwani huwa wanafuatilia mpaka Mexico
Kama ni Ushoga wamepania kila nyanja kuanzia Habari, mashuleni na kila sehemu
Mpaka Mabungeni wamejaa hawa jamaa
Na Israel ndio wanaongoza kwani kila mwaka wanakutana Tel Aviv Dunia yote
BBC nilishawapiga buned kitambo
 
Hata mimi naona BBC na ushoga damudamu na kwa sasa wamegeuka kuwa wasemaji wa Kanisa Katoliki hata kuliko sources of information of Kanisa Katoliki kama vile Vatican News, CNA (Catholic News Agency) au EWTN. Na hasa wanaweka mlengo wao mbele zaidi kuliko ukweli wa habari husika. Mfano, wachangiaji wengi wanaochangia kuhusu Papa alichosema kuhusu ushoga na ndoa za mashoga wanachukua maoni ya BBC zaidi kuliko Declaration (Fiducia Supplicans). Na pia document imeongelea watu walio katika 'irregular marriage", lakini hawa BBC haijawagusa kabisa kwa sababu mlengo wao ni ushoga (sijui ni kampeni pia?).
Upeo mdogo ndio tatizo la wengi ukichanganyika na mihemko ya kishabiki, hawa watu sio wa kuhangaika nao, ni kuwatazama tu waendelee kujifurahisha wanavyotaka.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
BBC nilishawapiga buned kitambo
BBC ni wanoko sana
Habari zao wanafuata serikali ya UK wanasemaje ndio nao wanafuata hata kama ni haki hawasemi
Rejea Hamas na Israel tu Rishi aliposema tu nao Waka base upande wake
Ila kuna Radio moja hapa inaitwa LBC wanapinga ujinga sana wao wanaongea na kuwaweka kitimoto live viongozi
Mimi naangalia TV news kama Al Jazeera ya kiarabu/English na RT International na bora hata DW
 
Hapo umewasingizia bure! BBC wanajitahidi kuripoti taarifa za Uhakika!
Na hawafichi taarifa!
Taarifa ambazo BBC walizitoa juu ya Papa kuruhusu kubarikiwa kwa ndoa za Mashoga ni za kweli, vinginevyo Maaskofu katika nchi mbali mbali hususani Afrika wasingepinga maagzo ya Papa! Sasa wangepingaje kama kauli aliyotoa Papa siyo ya Kweli?
Kuhusu TB Joshua, wameripoti taarifa zake kutoka kwa watu ambao walijua uovu wa TB Joshua!
 
Back
Top Bottom