Hongereni TPDF kwa kazi nzuri mnayofanya Congo DR; M23 wasitutishe wala kuturudisha nyuma tuwashughulikie

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya.

Malalamiko yao yanakuja baada ya Jeshi la Tanzania kuamua kumalizana nao kwa kichapo hasa ikizingatiwa waliwahi kuwaua wanajeshi wetu.

Niwape kongole jeshi la Tanzania kwa kutoa kichapo na niwape rai wateketeze kundi la M23 ili wananchi wawe free kwenye ardhi waliyopewa na Mungu.
 
Kama kweli nimefurahi!.
 
Thinitisha haya usemyo kama ni kweli.
 
Ungeatach na hiyo taarifa ungekua umeupiga mwingi sana.
 
Hii hapo
Screenshot_20240203-233153.jpg
 
Tunapigana vita nchi za watu ila hapa nyumbani umeme tu kuuwasha unatushinda.
Achen upumbavu na msiwe wajinga, kwani nani aliyewaambia kazi ya jeshi ni kuwaletea umeme? Na nani aliyewaambia kuwa changamoto zako ktk nchi zikufanye ushindwe kuchangia usalama wa nchi jirani?

Yaan nchi kushiriki Ulinzi na usalama wa majiran kisa kuna changamoto inayotatulika?

Ninyi ndio aina ya raia ambao hamuonagi jema lolote la serikali, kazi yenu kuponda na kulalamika.

Hao South afrika wana shida kibao na changamoto ya umeme lkn hawashindwi kutoa msaada wa kijeshi sehemu husika.

Hizi elimu zenu mnasomeaga wapi siku hizi
 
Back
Top Bottom