nyota

Nyota is a given name. It means star in the African languages Swahili and Lingala.People, animals, companies and fictional characters with this name include:

Nyota Inyoka (1896–1971), French-Indian dancer and choreographer
Nyota Ndogo, Kenyan musician
Nyota (Bonobo), male Bonobo born at the Language Research Center at Georgia State University
Nyota Uhura, fictional Communications Officer in the original series of Star Trek
Nyota, wedding invitation and accessories manufacturer and exporter

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga inatembelea Nyota ya Simba kimataifa, iwe na nidhamu

    Yanga ni klabu kongwe lakini haina chochote mbele ya uso wa soka la kimataifa. Ni kama pilipili hoho tu kubwa lakini haliwashi. Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikichezea vichapo hata kwenye michezo ya kimataifa ya kirafiki. Ikumbukwe tangu kocha Nabi ajiunge hajawahi kifunga mechi yeyote...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Usilalamike huna mvuto, unapuuzwa au kuhisi nyota yako imechafuka, Kuwa msafi na uvae upendeze ndio dawa, usivae tu ilimradi, PENDEZA!

    Ohhh nikipita nikimsimamisha mtu ananipuuza/ Ohh nikiongea hata point ni kama vile sisikilizwi/ Ohh nahisi wameniibia nyota...n.k. Asilimia kubwa ya hawa watu huishia kutapeliwa na dawa za mvuto, huishia kutapeliwa nawaganga feki, huishia kuomba kwa Mungu kwa tatizo wanaloweza kulitatua wenyewe...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake mlipswa kuwa wanaume tu, maana mna gundu hatari. Angalieni huyu mwanamke mwenye nyota yake

    Hivi ninyi wanawake ambao mnaishia kupewa nauli ya bajaji tu mlizaliwa kwa ulozi ama?
  4. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

    Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mchungaji kusafisha nyota, hii imekaaje wadau?

    KUOSHWA KWA NYOTA ILIYOCHAFUKA..! Ayubu 25:5-6 Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu! Andiko hili linatuonesha nyota ya Mtu inaweza Ikachafuliwa na kuonekana si safi machoni Pake katika Ulimwengu wa roho!! Hapa biblia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Kurejeshea watu anga ya buluu, mawingu meupe na nyota zinazometa

    INTRO: Takriban kilomita 180 mashariki mwa Beijing, mji mkuu wa China, kuna mji unaoitwa Tangshan, ambao ni mji mkubwa zaidi wa chuma katika Mkoa wa Hebei, unaochangia takriban moja ya nane ya uzalishaji wa chuma nchini China. Zamani Tangshan ilikuwa mojawapo ya miji yenye uchafuzi mkubwa zaidi...
  7. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso, Hussein Bashe, Innocent Bashungwa nyota zinang'ara

    Hawa ni miongoni mwa Mawaziri wachapakazi na muda wote wanaonekana site kutatua changomoto za zinazowakabili wananchi na kusimamamia miradi inayotekelezwa chini ya Wizara zao. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akiwa Kigoma alichukua hatua kwa msimamizi wa mradi wa maji ambaye mkataba ulikuwa wa miezi...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wenye akili tayari wameanza kutembelea nyota ya Mandonga. Sikiliza wimbo wa Mandonga " acapella"

    Wewe muimbaji mimi sikujui and am sure as hell a millions of Tanzanians do not know you but we are listening to you because you are talking about Mandonga.
  9. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ikisheheni nyota wa Yanga yaibamiza Somalia

    Jana nilitazama kiwango cha Taifa Stars ikicheza na Somalia nikafurahi jinsi timu ilicheza kwa balance ya hali ya juu huku ikitengeneza nafasi nyingi za kufunga, Sureboy, Farid na Feisal wakiharakisha mashambulizi mwanzo mwisho ukuta wa Mwamnyeto, Job, Kibwana na Msheri ukiwazuia Somalia kwa...
  10. Hizbu Sharifu

    JamiiForums Tanzania Watu Maarufu ni wepesi kuharibikiwa nyota hata kama hawajarogwa

    Ni kweli watu tunaowaona ni maarufu wanapata athari ya kuharibikiwa nyota zao hata kama hawajarogwa na hii hutokana na kila mtu anaemjua kumchukulia kwa mtazamo wake wengine watampenda na wengine watamchukia, sasa hao wanaomchukia kuna watu wengije jinsi walivyoumbwa wakimchukia mtu au...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Lay JayDee na Nyota Ndogo wametuonesha UNAFIKI wa marafiki unavyoweza kuua biashara yako kisa urafiki

    Wiki hii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee aliamua kutoa yake ya moyoni kuhusu marafiki zake kutomuunga mkono katika biashara zake. JayDee alisema kuwa kuna baadhi ya watu ambao hawaungi mkoni biashara yake ya chakula, lakini wakishapiga ‘vyombo’ usiku wanaanza kumpigia simu mbele...
  12. Rakims

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Habari zenu wana ndoa na wenye ndoto za ndoa, Yawezekana umewahi kusikia kauli maarufu sana inasema; "Kosea yote usikosee ndoa" Katika thread hii nitakupa maana halisi na siri iliyojificha nyuma ya kauli hiyo hivyo ukiweza kunitajia tarehe yako na ya mwenza wako na herufi zenu za...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Zuchu atoke WCB haraka maana Diamond anatembelea nyota yake, hakuna mapenzi

    Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile alizomshirikisha zuchu, hivyo diamond kiuhalisia ni chawa wa chinichini wa zuchu. Kwakuwa zuchu Sasa...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaunti ya Nairobi yaandaa Muswada wa kufanya michezo ya kamari isichezwe nje ya hoteli za nyota tano na casino

    Kenya inaandaa muswada wa Sheria wa kufanya michezo ya kubeti na kamari ziwe zinachezwa kwenye hoteli zenye hadhi ya nyota tano na casino tu. Muda wa kucheza michezo hiyo ikiwa nis aa mbili usiku hadi saa 12 alfajiri Muswada umependekeza Kampuni za Mawasiliano kuondoa USSD codes ambazo...
  15. The Genius

    JamiiForums Tanzania Jackline Mahulwa Masanja: Nyota iliyozimwa kabla ya kuangaza

    Na Malisa GJ, Mara ya kwanza nilifahamiana naye nikiwa Lusaka, Zambia mwaka 2012. Alijitambulisha kuwa ni Mtanzania, mwanaharakati na mzalendo. Alikua mwanachama hai wa CHADEMA. Ndiye aliyenipa habari za kifo cha mwandishi Mwangosi aliyeuawa kikatili na Jeshi la Polisi. Baadae nikaja kumsikia...
  16. mgt software

    JamiiForums Tanzania Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

    Wana JF Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote. Msindani wake...
  17. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Nyota ya uzazi inavyotesa mahusiano yangu

    Wasalaam, Wanajamvi jana kuamkia leo usingizi umekua mgumu kwangu kutokana na changamoto ninayopitia katika swala la mahusiano ya mapenzi. Ikiwa ni muda mfupi toka nitengane na mke wangu tuliozaa watoto wawili kwa mapenzi yetu (japo yeye ndio aliyewahitaji mwanzoni mwa mahusiano yetu). Hali...
  18. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz

    Mwanasoshalati na mwanamuziki kutoka Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz. Alipokuwa kwenye mahojiano na Wasafi Media siku ya Jumatatu, Lyn alisema mahusiano yake na Diamond yalidumu kwa kipindi cha mwaka mmoja...
  19. O

    JamiiForums Tanzania January Makamba nyota yako inang'aa achana na wanaopinga

    Hii nchi ilikuwa imetumbukizwa katika shimo refu sana la Ukabila na kuabudu mtu (binadamu). Wanaomtusi makamba aidha ni wasukuma au waabudu watu ambao waliamini Tz ni Magufuli na Magufuli ni Tz, bahati mbaya wanachanganyikiwa mungu wao hayupo tena, Uhakika wa kupewa nafasi nyeti wameukosa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ataruhusu nyota ya January ing'ae?

    January ana mipango mingi inayohitaji fedha, lakini mmiliki wa fedha Ni asimu wake ambaye ni Mwigulu Nchemba, pesa ikichelewa kuidhinishwa miradi inachelewa na miradi isipopitishwa hazina na wizarani just kwa technicalities Januari anafeli. Kimuundo hizi Ni wizara mbili zinazojitegemea ambazo...
Back
Top Bottom